Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Upinzani sasa hivi wanasema Samia ameshindwa uongozi na ni kiongozi mbaya kuwahi kutokea.
Yaani ni mbaya kuliko hata Magufuli waliyekuwa wanadai ni kiongozi mbaya zaidi.
Tundu Lissu mara kadhaa amesikika akimsifu Magufuli kwa uzalendo wake na kusema ataenda Chato kumwambia jinsi CCM na serikali aliyoiacha walivyomsaliti na kuharibu nchi.
So Samia akiwasikiliza na kuamua kumpisha mzalendo na chuma kingine chenye msimamo kama Magufuli wapinzani si mtafurahi ili hata CCM ikishinda nchi iwe salama zaidi?
Au mtaogopa na kukimbia tena?