ilore
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 963
- 1,248
Daaaa ila wanasiasa siwezi kuwamini kamwe wamekaa Kama Malaya kabisa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha. Alipokuja chuma wakaanza kulia lia.Kipindi cha JK walisema nchi hii inahitaji Rais dikteta
Aje Magufuli mwingine sio? Msije mkakimbia nchi tenaAmpishe TU mwingine kwa hali ivyo sasa mambo yalivyo huku mitaani
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Wapinzani wanasema CCM ni mbaya ila kuna viongozi wenye afadhali kuliko wengine, mfano sasa hivi wanasema Samia ni mbovu kuliko viongozi wote wa CCM waliowahi kutokea.Wapinzani hawamuogopi mgombea yoyote toka CCM, hata ikiwezekana Magufuli afufuke wampe nafasi ya kugombea ni sawa. Tatizo la wapinzani sio mgombea yoyote wa CCM, bali kiongozi mlevi wa madaraka.
Sio wapinzani wote wanasema hivyo, hao ni baadhi ya wapinzani, na wanatumia uhuru wao wa kujieleza, ama kuna ubaya kwenye hilo?Wapinzani wanasema CCM ni mbaya ila kuna viongozi wenye afadhali kuliko wengine, mfano sasa hivi wanasema Samia ni mbovu kuliko viongozi wote wa CCM waliowahi kutokea.
Pia wanasema Ndugai ni shujaa na nabii aliyetabiri nchi kupigwa mnada
Waliwahi kusema pia Lowassa alikuwa bora kuliko Kikwete na Magufuli, wakasema tena Kikwete alikuwa bora kuliko Magufuli
Je Samia aachie kijiti 2025 amuachie japo mtu mwingine kama Magufuli ambaye atakuwa na afadhali?
Na huyo Magu mwingine ajaye atokee upinzani.Aje Magufuli mwingine sio? Msije mkakimbia nchi tena
Kiongozi mkubwa wa upinzani kama Lissu akisema jambo si anawakilisha chama?Sio wapinzani wote wanasema hivyo, hao ni baadhi ya wapinzani, na wanatumia uhuru wao wa kujieleza, ama kuna ubaya kwenye hilo?
Kwani kila mpinzani ni mwanachama wa CDM, au hujui upinzani ni nini boss?Kiongozi mkubwa wa upinzani kama Lissu akisema jambo si anawakilisha chama?
Haya ni aina ya maswali ya kijinga kweli. Yaani yanaonyesha Tanzania ina tabaka mbili za Wanaccm na wasio wana CCM.CCM walete Magufuli mwingine sio?
mlete mamako agombee chadema imnyoshe.Chadema wanasema afadhali aje Rais kama Magufuli kuliko Samia aendelee
Kama Samia ni kiongozi mbaya basi UPINZANI wanapaswa kufurahi kwa vile WATAMSHINDA asubuhi na mapema.Upinzani sasa hivi wanasema Samia ameshindwa uongozi na ni kiongozi mbaya kuwahi kutokea.
Yaani ni mbaya kuliko hata Magufuli waliyekuwa wanadai ni kiongozi mbaya zaidi.
Tundu Lissu mara kadhaa amesikika akimsifu Magufuli kwa uzalendo wake na kusema ataenda Chato kumwambia jinsi CCM na serikali aliyoiacha walivyomsaliti na kuharibu nchi.
So Samia akiwasikiliza na kuamua kumpisha mzalendo na chuma kingine chenye msimamo kama Magufuli wapinzani si mtafurahi ili hata CCM ikishinda nchi iwe salama zaidi?
Au mtaogopa na kukimbia tena?
View attachment 2739496
Wapi alipofeli? Amepotezaje Dira? Au mnasema tu baada ya kula makande na kuvuta bangi?Samia ameshindwa kuongoza nchi, anatakiwa kuwaachia wengine waongoze nchi, amefeli kwa kila namna, amepoteza kabisa dira na muelekeo.
Bwana Johnny Sack, swala si wapinzani tu. Huyo Lissu ama Mbowe wanatetea raslimali za nchi. Mnachowaza nyie ni uvyama na mawazo ya watu kama wewe hayawezi kwenda zaidi ya hapo. Tupo watz wengi tusioridhishwa na ugawaji wa rasilimali za nchi kwa wageni.Upinzani sasa hivi wanasema Samia ameshindwa uongozi na ni kiongozi mbaya kuwahi kutokea.
Yaani ni mbaya kuliko hata Magufuli waliyekuwa wanadai ni kiongozi mbaya zaidi.
Tundu Lissu mara kadhaa amesikika akimsifu Magufuli kwa uzalendo wake na kusema ataenda Chato kumwambia jinsi CCM na serikali aliyoiacha walivyomsaliti na kuharibu nchi.
So Samia akiwasikiliza na kuamua kumpisha mzalendo na chuma kingine chenye msimamo kama Magufuli wapinzani si mtafurahi ili hata CCM ikishinda nchi iwe salama zaidi?
Au mtaogopa na kukimbia tena?
View attachment 2739496