Swali kwa wapinzani: Je, Samia agombee 2025 au ampe kijiti chuma kingine kama Magufuli?

Swali kwa wapinzani: Je, Samia agombee 2025 au ampe kijiti chuma kingine kama Magufuli?

So Samia akiwasikiliza na kuamua kumpisha mzalendo na chuma kingine chenye msimamo kama Magufuli wapinzani si mtafurahi ili hata CCM ikishinda nchi iwe salama zaidi?
Tutafurahi. Tunataka chuma chenye uchungu na rasilimali za nchi bila kujali chama kinachotoka

maccm na genge la wafuas wao makuwadi ya warabu koko dpworls ni mapumbavu ndio maana yanashangilia bandar kuuzwa au kugawiwa milele kwa mabwana zao.
 
Ni kweli 1992 vyama Vyote viliasisiwa na baba wa taifa kasoro Chadema tu ndio iliasisiwa na Watu waliompinga Nyerere akina Tuntemeke Sanga, Ngaiza, Edwin Mtei, Bob Makani, Mwaikambo nk...nk

Hawa mabwanyenye walikuwa Wapinzani wa kweli tofauti na akina Fundikira
Abdallah Fundikira alikuwa mpinzani mkubwa wa Nyerere !!
 
Ukiondoa udikteta wake na mambo mengine ya hovyo hovyo aliyoyafanya, I think the guy was so loyal to Tanganyikan's especially when comes to natural resources. He wanted to be shared equally and no room for abuse as we're seeing nowdays under Samia leadership.
 
Ili mikutano ya vyama vya siasa izuiwe au!! Au ili tuanze kuona watu wakiuawa au!! Au uhuru tulionao wa kukosa chochote upotee tena? Mungu tunusuru tusiridi tena huko tulikotoka awamu ya tano ikuwa ya kishetani
Chadema wanasema afadhali aje Rais kama Magufuli kuliko Samia aendelee
 
Ukiondoa udikteta wake na mambo mengine ya hovyo hovyo aliyoyafanya, I think the guy was so loyal to Tanganyikan's especially when comes to natural resources. He wanted to be shared equally and no room for abuse as we're seeing nowdays under Samia leadership.
Kwa hiyo aje Magufuli mwingine?
 
Upinzani sasa hivi wanasema Samia ameshindwa uongozi na ni kiongozi mbaya kuwahi kutokea.

Yaani ni mbaya kuliko hata Magufuli waliyekuwa wanadai ni kiongozi mbaya zaidi.

Tundu Lissu mara kadhaa amesikika akimsifu Magufuli kwa uzalendo wake na kusema ataenda Chato kumwambia jinsi CCM na serikali aliyoiacha walivyomsaliti na kuharibu nchi.

So Samia akiwasikiliza na kuamua kumpisha mzalendo na chuma kingine chenye msimamo kama Magufuli wapinzani si mtafurahi ili hata CCM ikishinda nchi iwe salama zaidi?

Au mtaogopa na kukimbia tena?

View attachment 2739496
Wapumbavu kama wewe tunawapuuza tu kafie mbele huko
 
Wapinzani wanasema ni rais mbovu kuwahi kutokea, asigombee 2025
Wapinzani hawamuogopi mgombea yoyote toka CCM, hata ikiwezekana Magufuli afufuke wampe nafasi ya kugombea ni sawa. Tatizo la wapinzani sio mgombea yoyote wa CCM, bali kiongozi mlevi wa madaraka.
 
Back
Top Bottom