Swali kwa wapinzani: Je, Samia agombee 2025 au ampe kijiti chuma kingine kama Magufuli?

Swali kwa wapinzani: Je, Samia agombee 2025 au ampe kijiti chuma kingine kama Magufuli?

Lissu anasema Magufuli alikuwa mzalendo kuliko Samia, mimi nauliza je aletwe Magufuli mwingine sababu ni mzalendo? Hayo ya kusema nataka wasio wana CCM wauawe sijayasema mimi, mimi nanukuu kauli za Lissu na wanachama wengine tu wa CDM
Ulimuelewa Lissu alikuwa anazungumzia ubora katika nini wa magufuli? Ni katika kuuza rasilimali za umma tuu na si vinginevyo!
Jee kwa hilo tuu ndio unadhani yaweza kuwa sifa za mtu wa aina hiyo kuwa Rais?
 
Kama Samia ni kiongozi mbaya basi UPINZANI wanapaswa kufurahi kwa vile WATAMSHINDA asubuhi na mapema.

Ajabu wao tena wanasikitika kuona Samia ni mbaya, hakubaliki na CCM itashindwa.

Wakisema hivyo uijuwe amewabana, na kinyume chake ndiyo ukweli kuwa Samia mpaka 2030
labda atachaguliwa na mabwana zenu mliowahonga bandari dpwod.
 
Ulimuelewa Lissu alikuwa anazungumzia ubora katika nini wa magufuli? Ni katika kuuza rasilimali za umma tuu na si vinginevyo!
Jee kwa hilo tuu ndio unadhani yaweza kuwa sifa za mtu wa aina hiyo kuwa Rais?
hayo majinga ya ccm hakuna haja ya kujibizana nayo kwa hoja ni kuyapiga za uso tu mpaka yapate adabu hata MZEE MSUYA pamoja na mwamba ni kada mkongwe wa ccm lakini alishayapuuza haya majingamajinga ya ccm maana anajua hayana hoja.
 
Wanaohujumu mafuta ya Petroli hapa nchini ni serikali ya Samia,CCM ni mafisadi👇
 
Samia hadi 2030

Magufuli angekuwa mbaya Biteko asingekuwa Naibu Waziri mkuu

Mnyeti asingekuwa Naibu Waziri

Tulia asingekuwa Spika

Chalamila asingekuwa RC wa Jiji la Uchumi wa nchi

Samia: Mimi na Magufuli ni Kitu kimoja
Kwani uliowataja ni chadema?
 
Back
Top Bottom