Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Watag mods wabadili kichwa cha uzi wako iwe ni CDM na sio wapinzani, kisha tuendelee na mjadala.Basi tuachane na neno wapinzani, tuseme Chadema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watag mods wabadili kichwa cha uzi wako iwe ni CDM na sio wapinzani, kisha tuendelee na mjadala.Basi tuachane na neno wapinzani, tuseme Chadema
Ulimuelewa Lissu alikuwa anazungumzia ubora katika nini wa magufuli? Ni katika kuuza rasilimali za umma tuu na si vinginevyo!Lissu anasema Magufuli alikuwa mzalendo kuliko Samia, mimi nauliza je aletwe Magufuli mwingine sababu ni mzalendo? Hayo ya kusema nataka wasio wana CCM wauawe sijayasema mimi, mimi nanukuu kauli za Lissu na wanachama wengine tu wa CDM
Rais ajaye ni Wakili Msomi Mwabukusi chuma toka Busokelo. Ni suala la muda tu.
labda atachaguliwa na mabwana zenu mliowahonga bandari dpwod.Kama Samia ni kiongozi mbaya basi UPINZANI wanapaswa kufurahi kwa vile WATAMSHINDA asubuhi na mapema.
Ajabu wao tena wanasikitika kuona Samia ni mbaya, hakubaliki na CCM itashindwa.
Wakisema hivyo uijuwe amewabana, na kinyume chake ndiyo ukweli kuwa Samia mpaka 2030
hayo majinga ya ccm hakuna haja ya kujibizana nayo kwa hoja ni kuyapiga za uso tu mpaka yapate adabu hata MZEE MSUYA pamoja na mwamba ni kada mkongwe wa ccm lakini alishayapuuza haya majingamajinga ya ccm maana anajua hayana hoja.Ulimuelewa Lissu alikuwa anazungumzia ubora katika nini wa magufuli? Ni katika kuuza rasilimali za umma tuu na si vinginevyo!
Jee kwa hilo tuu ndio unadhani yaweza kuwa sifa za mtu wa aina hiyo kuwa Rais?
Msikilize Tundu Lissu kwenye hii video ndio utajua ni kigegeu kiasi ganiUlimuelewa Lissu alikuwa anazungumzia ubora katika nini wa magufuli? Ni katika kuuza rasilimali za umma tuu na si vinginevyo!
Jee kwa hilo tuu ndio unadhani yaweza kuwa sifa za mtu wa aina hiyo kuwa Rais?
Mikopo Kausha damu mwishowake unaujua!!Waarabu wamesema watatawala wapi?
Kwani uliowataja ni chadema?Samia hadi 2030
Magufuli angekuwa mbaya Biteko asingekuwa Naibu Waziri mkuu
Mnyeti asingekuwa Naibu Waziri
Tulia asingekuwa Spika
Chalamila asingekuwa RC wa Jiji la Uchumi wa nchi
Samia: Mimi na Magufuli ni Kitu kimoja