Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
- #81
Hawatakimbilia tena nje?Wamlete tena haraka san, cz wapinzani watazid kuimarika na kutokwa na hofu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawatakimbilia tena nje?Wamlete tena haraka san, cz wapinzani watazid kuimarika na kutokwa na hofu!!
Yeye nani?Kwanini yeye Mwenyewe kasemaje? Naona itakuwa ngumu kumsemea!
Kiongozi mwenye falsafa kama za Magufuli,Anatakiwa kiongozi mwenue sifa zakuongoza wananchi sio kiongozi mwenye sifa za rais mwingine.Kuchagua rais kwasababu anafanana na rais fulani huo ni ujinga.Nchi inatakiwa itoke kwenye ujinga wakutegemea kiongozi mmoja kwenye kila kitu.
Lissu anasema Magufuli alikuwa mzalendo kuliko Samia, mimi nauliza je aletwe Magufuli mwingine sababu ni mzalendo? Hayo ya kusema nataka wasio wana CCM wauawe sijayasema mimi, mimi nanukuu kauli za Lissu na wanachama wengine tu wa CDMHaya ni aina ya maswali ya kijinga kweli. Yaani yanaonyesha Tanzania ina tabaka mbili za Wanaccm na wasio wana CCM.
Kwamba Magufuli kwa vile alikuwa anawapoteza wasio wanaccm, anashambulia wasio wanaccm kwa risasi na vifungo basi kwao ni mzuri hana shida na inafaa aje mwingine kama yeye!
Huu ni upumbavu au unyani kama alivyowahi sema Mtikila.
Yaani sasa hivi ccm sio sera tena bali ni kikundi fulani (kama vile kundi la shetani) ambalo maslahi yao kwanza kwani wengine ni wageni nchi hii.
Kwa mujibu wa Chadema, ACT, CUF, NCCR, na wengine ni matawi ya CCM, ama?Kwani kila mpinzani ni mwanachama wa CDM, au hujui upinzani ni nini boss?
Rudisheni kwanza Bandari zetu, hatuna shobo na sijui chuma sijui mbao?!. Tunahitaji Bandari zetu mlizouza kifisadi.Upinzani sasa hivi wanasema Samia ameshindwa uongozi na ni kiongozi mbaya kuwahi kutokea.
Yaani ni mbaya kuliko hata Magufuli waliyekuwa wanadai ni kiongozi mbaya zaidi.
Tundu Lissu mara kadhaa amesikika akimsifu Magufuli kwa uzalendo wake na kusema ataenda Chato kumwambia jinsi CCM na serikali aliyoiacha walivyomsaliti na kuharibu nchi.
So Samia akiwasikiliza na kuamua kumpisha mzalendo na chuma kingine chenye msimamo kama Magufuli wapinzani si mtafurahi ili hata CCM ikishinda nchi iwe salama zaidi?
Au mtaogopa na kukimbia tena?
View attachment 2739496
Nimejipendekeza wapi boss kuuliza tu mtazamo wa wapinzani ni kujipendekeza?Bwana Johnny Sack, swala si wapinzani tu. Huyo Lissu ama Mbowe wanatetea raslimali za nchi. Mnachowaza nyie ni uvyama na mawazo ya watu kama wewe hayawezi kwenda zaidi ya hapo. Tupo watz wengi tusioridhishwa na ugawaji wa rasilimali za nchi kwa wageni.
Tuseme kila mtu ajipendekeze kama wewe, na tusipaze sauti kwenye raslimali zetu, wajukuu zako wataishije, au nao wataishi kwa kujipendekeza kama wewe?
Kwa hiyo Chadema hamumpingi sana? Au ule mtazamo wa Lissu kuwa Magufuli ni bora kuliko Samia hamumuungi mkono?Huyo ni pimbi hajui kuwa asilimia kubwa ya wanaompinga mma Abdul ni maccm na hata yeye mwenyewe aliwahi kusema kuwa wapinzani wake ni wenye kuvaa mashati ya kijani.
Kama Katiba hii hii isipobadilika, ni afadhali Magufuli mwingine aje au Samia aendelee?ishu ni katiba wala sio rais. weka katiba ya warioba na tume huru kisha acha rais samia aendelee tena na wabunge/ mawaziri wake afu tuone.
Hawatakimbilia tena Ubelgiji na Canada?Wamlete tena haraka san, cz wapinzani watazid kuimarika na kutokwa na hofu!!
Kama Katiba hii hii isipobadilika, ni afadhali Magufuli mwingine aje au Samia aendelee?
Asiegopa kifo nan? Ushanusurika kifo na mtesi wako kashika madaraka utaacha kimbia? Au ulitaka wabaki wapambane na mmiliki wa majeshi? Yaani ww hata ungekoswakoswa tu na risasi natumai mpaka leo ungeona bongo kama jehanam, usingetia mguu!!Hawatakimbilia tena Ubelgiji na Canada?
Kwani ni Magufuli alitaka kuwaua?Asiegopa kifo nan? Ushanusurika kifo na mtesi wako kashika madaraka utaacha kimbia? Au ulitaka wabaki wapambane na mmiliki wa majeshi? Yaani ww hata ungekoswakoswa tu na risasi natumai mpaka leo ungeona bongo kama jehanam, usingetia mguu!!
Hahahahahahahahahahahahahajahahahahahaha......Rais ajaye ni Wakili Msomi Mwabukusi chuma toka Busokelo. Ni suala la muda tu.
Huyu hajiwezi ndio shida. Angekuwa na sauti ya mamlaka na kusimamia rasilimali ingekuwa sawa. Sasa yeye yupo pamoja na watesi wetu wezi na mafisadi, wazembe kazini yuko nao bega kwa bega. Vyeti feki wote anawa hostMbona mama yuko fresh hiv mnataka malaika ndio awaongeze au.yule mlisema dictator huyu kaja kaeka mambo yote mliokua mnalalamika bdo mnaleta chuki
Jibu swali dogo, kila mpinzani ni mwanachama wa CDM?Kwa mujibu wa Chadema, ACT, CUF, NCCR, na wengine ni matawi ya CCM, ama?
Basi tuachane na neno wapinzani, tuseme ChademaJibu swali dogo, kila mpinzani ni mwanachama wa CDM?