Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Wapinzani wanasema ni rais mbovu kuwahi kutokea, asigombee 2025Samia hadi 2030
Wapinzani gani?Wapinzani wanasema ni rais mbovu kuwahi kutokea, asigombee 2025
CCM walete Magufuli mwingine sio?Samia ameshindwa kuongoza nchi, anatakiwa kuwaachia wengine waongoze nchi, amefeli kwa kila namna, amepoteza kabisa dira na muelekeo.
Huwasikiii Chadema? Wanasema wao ndio wapinzani pekee, vyama vingine ni matawi ya CCMWapinzani gani?
Vipi aachie kijiti ama agombee 2025?Kama anajiamini kweli, basi afanye marekebisho hata kwenye Tume ya uchaguzi tu kwa kuanzia!! Yaani iwe huru. Halafu aone matokeo yake.
Agombee kwani ana sifa?Vipi aachie kijiti ama agombee 2025?
Ni kweli 1992 vyama Vyote viliasisiwa na baba wa taifa kasoro Chadema tu ndio iliasisiwa na Watu waliompinga Nyerere akina Tuntemeke Sanga, Ngaiza, Edwin Mtei, Bob Makani, Mwaikambo nk...nkHuwasikiii Chadema? Wanasema wao ndio wapinzani pekee, vyama vingine ni matawi ya CCM
2025, ccm haipo asema Bwana mtaambiwa mara ngapi msikiee , kama uchaguzi ukifanyika no ccm ilisha kuwa asema BwanaUpinzani sasa hivi wanasema Samia ameshindwa uongozi na ni kiongozi mbaya kuwahi kutokea.
Yaani ni mbaya kuliko hata Magufuli waliyekuwa wanadai ni kiongozi mbaya zaidi.
Tundu Lissu mara kadhaa amesikika akimsifu Magufuli kwa uzalendo wake na kusema ataenda Chato kumwambia jinsi CCM na serikali aliyoiacha walivyomsaliti na kuharibu nchi.
So Samia akiwasikiliza na kuamua kumpisha mzalendo na chuma kingine chenye msimamo kama Magufuli wapinzani si mtafurahi ili hata CCM ikishinda nchi iwe salama zaidi?
Au mtaogopa na kukimbia tena?
View attachment 2739496
Kumbe hana?Agombee kwani ana sifa?
Aje Magufuli mwingine?2025, ccm haipo asema Bwana mtaambiwa mara ngapi msikiee , kama uchaguzi ukifanyika no ccm ilisha kuwa asema Bwana
CCM kama wanaweza walete Katiba Mpya na Tume Huru ya uchaguzi, mengine watuachie wenye nchi.CCM walete Magufuli mwingine sio?
So Samia agombee au ampe kijiti mwingine ambaye ataleta hivyo?CCM kama wanaweza walete Katiba Mpya na Tume Huru ya uchaguzi, mengine watuachie wenye nchi.
Kipindi cha JK walisema nchi hii inahitaji Rais diktetaPamoja na utopolo wa ccm ila wapinzani wana tatizo la kutokuwa na sera inayowatambulisha.
Ni kama wanasubiri ccm ndo iwape sera ya kuipigania kupitia aina ya kiongozi na mfumo wa siasa wa ccm uliopo kwa wakati huo.
Lowasa hafai-Lowasa anafaa
JK dhaifu tunataka raisi asiyecheka na mali za uma-JPM dikteta uchwara
Samia mgeni rasmi maridhiano nchi sasa imekombolewa kutoka kifungoni - Nitaenda kwenye kaburi la JPM kulia sijui kufanyaje.
Ili mikutano ya vyama vya siasa izuiwe au!! Au ili tuanze kuona watu wakiuawa au!! Au uhuru tulionao wa kukosa chochote upotee tena? Mungu tunusuru tusiridi tena huko tulikotoka awamu ya tano ikuwa ya kishetaniUpinzani sasa hivi wanasema Samia ameshindwa uongozi na ni kiongozi mbaya kuwahi kutokea.
Yaani ni mbaya kuliko hata Magufuli waliyekuwa wanadai ni kiongozi mbaya zaidi.
Tundu Lissu mara kadhaa amesikika akimsifu Magufuli kwa uzalendo wake na kusema ataenda Chato kumwambia jinsi CCM na serikali aliyoiacha walivyomsaliti na kuharibu nchi.
So Samia akiwasikiliza na kuamua kumpisha mzalendo na chuma kingine chenye msimamo kama Magufuli wapinzani si mtafurahi ili hata CCM ikishinda nchi iwe salama zaidi?
Au mtaogopa na kukimbia tena?
View attachment 2739496