Post no #10 Kiranga kaeleza vizuri mno ni swala la kutafakari tu mkuu,,
Wanamuachia
Hapa mpaka nikajiuliza ameeleza nini hapa mpaka unasema ametoa maelezo mazuri ?Wanamuachia Mungu kazi ya kusaidia. Mtu anakosa msaada.
Hii si kweli sababu imani hiyo huamrisha watu wafanye mema, na huonyesha ubora wa watu kufanua mema, kwahiyo ukiona watu wanafanya maovu ujue hawaifanyii kazi imani hiyo. Hii nayo ni aina ya upotoshaji.Kwa hivyo, imani ya kuwepo kwa Mungu mara nyingine inakwamisha mema kufanyika.
Hili swali rahisi sana, sababu watu hao wamepewa uhuru wa kuchagua kufanya mema au maovu. Ndiyo maana utakuta mtu anaamini hilo na anaiba, anazini na mfano wake.Pia, naweza kukuuliza, mbona leo watu wengi wanasema wanaamini kuna Mungu na hukumu na bado wanafanya maasi mengi sana tu?
Sasa kwa wale ambao mkono wa sheria ulikuwa mfupi kwao na haukuwafikia kifo ndiyo "karma" kwao ? Na wale waliodhulumiwa na wao malipo yao ni nini na faraja yao huipata wapi ? Hitimisho la hapa ni kuwa Ubudha ukijengeka katika msingi wa ujinga na matamanio na si elimu na ithibati.Na zaidi, kuna watu wengi sana kama baadhi ya Buddhists ambao hawaamini Mungu yupo, wao wanaamini katika "karma" tu,
Swali la msingi ni je ubaya unaupimaje na uzuri unaupimaje...? Maana wapo wanao kufa kabla ya kuyadiriki mazuri yao na mabaya yao kwa mujibu wa hiyo Karma.kwamba, ukifanya mambo mazuri, mazuri yatakurudia, na ukifanya mambo mabaya, mabaya yatakurudia.
Uzuri wa maisha unaupimaje ?Na hawa jqmii zao zinaenda vizuri tu bila kuhitqji uwepo wa Mungu? Tena wengine wanaishi vizuri kuliko jqmamii zinazoamini uwepo wa Mungu
Hujajibu nilicho kiuliza.Survive for fitness hata Simba anaingaika kila siku huku na kule ili apate kuwa mfalme wa nyika ila ukileta vurugu anakubutuwa
Iko hivi hapa duniani lazima watu wababe wanyonge wakatili wapole wachawi wema wanafki waoga wajasiri wawepo ili kuweza kubalance maisha hao wababe wezi wenye kufldhulumu ndiio wajanja habari za duniani zinaisha hapa hapa duniani
Huko siko, angalia nilichokiuliza.Kwaiyo ndugu jurjan unataka wenzio wakaungue ndo ufurahi naona watu mtaumia sana siku ya ukumu Mungu akiwasamehee.wa kina nduli na osama.
Kwa hiyo unataka kusema hizi fujo zinazofanyika hapa duniani zinafanywa na atheists?Asilimia kubwa ya binadamu wakiamini na wakiwa na uhakika hakuna hukumu baada ya kifo, kwamba zaidi ya hizi hukumu za duniani hakuna kitakachoendelea dunia inaweza kuwa uwanja wa fujo na mahali hatari sana.
Ni heri watu waendelee kuamini kuna hukumu baada ya kifo.
Kwanza nakuweka sawa, kwenye baya na zuri tumetoka, tuko pale ambapo ubaya umetokea,wakana Mungu wao wanasemaje juu ya hili ? Kwamba ni sawa tu kadhia iishie hapo ? Au kipi huzuia uovu usitokee ?Kama ulikuwa ukidhani huruma au kujua jambo baya na lipi zuri kunahitaji kumuamini mungu utakua unakosea
Naomba unithibitishie ya kuwa Wanyama hawajui maana ya Mungu ?Wanyama wana experience emotions, wana feel love, wanahisi huzuni na tena bila hata kujua nini maana ya mungu
Swali ni kuwa Atheists wana mchango gani katika kuondoa fujo hizi ? Naona swali la msingi mnalikwepa.Kwa hiyo unataka kusema hizi fujo zinazofanyika hapa duniani zinafanywa na atheists?
Niambie wewe unaelewaje maana ya Mungu halafu nitatumia maelezo hayo hayo kukanusha kwa wanyama ili nikuthibitishieKwanza nakuweka sawa, kwenye baya na zuri tumetoka, tuko pale ambapo ubaya umetokea,wakana Mungu wao wanasemaje juu ya hili ? Kwamba ni sawa tu kadhia iishie hapo ? Au kipi huzuia uovu usitokee ?
Suala lakujua zuri na baya, hili alisjatuwekea Mola katika fitra, yaani umbile la asili, ila kuhusu muongozo ndiyo lazima ufate amri zake. Laki si kila zuri utalijua kupitia hali hiyo.
Lakini, kumjua Mola na kutii amri zake, humfanya mtu ajue lipi baya aliache na lipi zuri alifanya na kwanini na hatima yake ni nini ? Jambo ambao kwa akili pekee haiwezi kukusaidia.
Naomba unithibitishie ya kuwa Wanyama hawajui maana ya Mungu ?
Huu utoto kila siku huwa nakwambia unatakiwa uuache, unachotaka ni kupoteza bila sababu ya msingi, swali langu liko wazi na hutakiwi uegemee maelezo yangu ili uonyeshe ukweli wa unachokisema, hii unathibitisha ya kuwa huna ushahidi.Niambie wewe unaelewaje maana ya Mungu halafu nitatumia maelezo hayo hayo kukanusha kwa wanyama ili nikuthibitishie
Ukinieleza habari za Mungu wewe umezijulia wapi na ni Mungu gani ambaye unamjua na mimi nitakueleza vizuri namna gani wanyama hawajui Mungu
Mchango wa atheist ni pamoja na kuwaelimisha watu wapate kujua kweli na kupendana bila tofauti zao za kidini na kuwa organize wote kama ndugu na sio kuwajengea matabaka kama ambavyo waislam hudai "muislam ndugu yake ni muislam"Swali ni kuwa Atheists wana mchango gani katika kuondoa fujo hizi ? Naona swali la msingi mnalikwepa.
Haya mafundisho tunayapata wapi au Atheist gani katika wakubwa wa ma Atheist husema haya uliyo yaandika. Ndiyo maana nataka nione Atheist hulizungumzia vipi tukio la Adolf Hitler.Mchango wa atheist ni pamoja na kuwaelimisha watu wapate kujua kweli na kupendana bila tofauti zao za kidini na kuwa organize wote kama ndugu na sio kuwajengea matabaka kama ambavyo waislam hudai "muislam ndugu yake ni muislam"
Sio sawa kumuua kwa kumpiga mawe mwanamke aliyezini kwasababu kila maisha yana thamani
Lakini hata swali nalo linaweza kuwa jibu, sio kila swali u aloulizwa lina lenga kumpa faida muulizaji sometimes linakupa faida wewe kwasababu linakuwa na jibu ndani yake kutoka kwenye swali ulilouliza kablaHuu utoto kila siku huwa nakwambia unatakiwa uuache, unachotaka ni kupoteza bila sababu ya msingi, swali langu liko wazi na hutakiwi uegemee maelezo yangu ili uonyeshe ukweli wa unachokisema, hii unathibitisha ya kuwa huna ushahidi.
Sada unachotakiwa ni kusimama mwenyewe na kuonyesha ukweli wa unachokidai kwa hoja zako.
Jambo haliwi baya eti kwasababu sehemu fulani wameandika ni baya.Haya mafundisho tunayapata wapi au Atheist gani katika wakubwa wa ma Atheist husema haya uliyo yaandika. Ndiyo maana nataka nione Atheist hulizungumzia vipi tukio la Adolf Hitler.
Kwamba kwani ni uongo Muislamu si ndugu yake Muislamu ? Kuna undugu wa kinasaba na undugu wa kidini.
Siyo sawa kivipi ? Zinaa ni jambo jema au baya ? Kama ni baya, ni njia ipi sahihi ya kuondoa zinaa katika uso huu wa dunia ? Je njia hiyo naipata wapi toka kwenye mafundisho ya Atheists ?
Wewe ni Atheists ?
Ni wakati gani swali huwa jibu ?Lakini hata swali nalo linaweza kuwa jibu, sio kila swali u aloulizwa lina lenga kumpa faida muulizaji sometimes linakupa faida wewe kwasababu linakuwa na jibu ndani yake kutoka kwenye swali ulilouliza kabla
Hakuna niliposhindwa kufanya hivyi, ila itifaki lazika izingatiwe. Unapo hitaji maelezo fulani ili ujibu swali, ni dhahiri ya kuwa wewe hujui ukichokiegemea zaidi ya kupotezea watu muda.Kama wewe umeshindwa kueleza namna ulivyomjua mungu basi wacha mi nikubashirie
Kila kiumbe kinazaliwa katika hali ya Uislamu, yaani kikiwa katika umbile ka Uislamu, si Uislamu wa sheria bali hali ya kuupokea ukweli wa kuwa hapana Mola a apasae kuabudiwa kwa haki ila Mola na yeue ndiye muumbaji.Wewe ni muislamu, ulizaliwa na wazazi ambao walikuwa wanaabudu katika uislamu. Ulipozaliwa ukiwa mdogo ulianza kupewa malezi ya kidini kwa kufundushwa kusoma vitabu vya dini (na hapo ndipo ulipoanza kujua maana ya Mungu) na kuanzia hapo kwasababh we ni muislamu ukajua Mungu wako ni Allah
Maana yake kutokujua kwako njia gani kumekufanya ujue ya kuwa hamjui Mola ? Mimi nitakuuliza kwanini Fisi wanaishi hivyo wanavyoishi kama hawafati nidhamu ya aliyewafanya wawepo duniani ?Ukisema fisi anajua maana ya Mungu inabidi utueleze katumia njia gani?
Fisi ni katika Hawmyawahi na jambo la dini ka Majini na Binadamu peke yao.Kwamba fisi alizaliwa na wazazi ambao walikuwa dini gani kisha naye akaja kurithi hiyo dini?
Nyani na mfano wa wanyama tayari Mola ameshawawekea nidhamu ya maisha. Soma mwenendo wa nyuki ndiyo utajua ya kuwa wanamjua Allah au hawamjui.tuseme nyani alikuwa anasoma elimu ya dini na ndio maana akajua maana ya Mungu
Wanyama wanajua maana ya Mola muumba anae paswa kuabudiwa kwa haki wala hana mshirika.Wanyama wanajua maana ya Mungu gani kati ya Miungu 5000 inayotajwa na dini tofauti tofauti?
Hapa tunawazungumzia Atheist na mfumo wao, maana yake huitwi Atheist bila kuwa na imani ya kumkataa muumba huku ukiwa huna ushahidi juu ua hilo. Kwa maana nyingine Atheism ni imani kama zilivyo imani nyingine.Jambo haliwi baya eti kwasababu sehemu fulani wameandika ni baya.
Hatuhitaji kitabu cha muongozo kujua lipi baya ama lipi zuri, tunahitaji "emapthy" ya kushare feelings anazopitia mwenzako
Halafu kwenye ishu ya zinaa kama kumpiga mawe mzinifu na njia bora inayotokomeza zinaa mbona bado zinaa ipo haijaisha?
Na tena hii si mpaka uwafume wakizini ndio unawapiga mawe?
Sasa imagine kama wame advance wanazini kwa kificho bila wewe kuwafuma, je utasema umetokomeza zinaa au adhabu yako imewafundisha mbinu mpya ya kujificha bila kusanukiwa?
Kwa hiyo unataka kusema hizi fujo zinazofanyika hapa duniani zinafanywa na atheists?
nijiangalie vp Sasa zaidi ya nijijuavyo,jibu swaliJiangalie wewe mwenyewe kisha tafakari, utapata jibu.
Mi navyoona hapo watu wanaepuka mabaya kwa kuhofia adhabu ya serikali na sio mungu. Kwasababu kuna watu wamefunzwa kuwa mungu wao ni pendo husamehe kila kosa hata kama dhambi zako ni nyekundu kama damu atazibadili kuwa thelujiHizo fujo zinafanyika na watu ambao wengi, labda 95% wanaamini kuna malipo ya aina fulani baada ya kufa kwao na wanaamini wanatetea haki zao dhidi ya dhulma jambo ambalo linakubalika na baadhi ya dini au tafsiri mbalimbali za maandiko ya kidini. Imagine kusingekuwa na dini aina ya fujo ambazo zingetamalaki, mauaji holela, wizi bila hofu, ubakaji bila aibu au hofu,!
Huenda nguvu kubwa sana ingebidi itumike kuiweka jamii katika utaratibu.
Kama huo ulioulizaNi wakati gani swali huwa jibu ?
Swali langu liko wazi na halijibiwi na swali sababu, halina kinyume chake.
Hata kujibu swali kwa mtindo wa swali nayo ni itifakiHakuna niliposhindwa kufanya hivyi, ila itifaki lazika izingatiwe. Unapo hitaji maelezo fulani ili ujibu swali, ni dhahiri ya kuwa wewe hujui ukichokiegemea zaidi ya kupotezea watu muda.
Kila kiumbe kinazaliwa katika hali ya Uislamu, yaani kikiwa katika umbile ka Uislamu, si Uislamu wa sheria bali hali ya kuupokea ukweli wa kuwa hapana Mola a apasae kuabudiwa kwa haki ila Mola na yeue ndiye muumbaji
Kisha wazazi wake humfanya mtoto kuwa Mmajusi, au Mkristo au Myahudi. Hili huja baadae.
wanyama hawana commonsense halafu nataka uniambie ni aina gani ya mungu ambaye anajulikana na wanyamaMaana yake kutokujua kwako njia gani kumekufanya ujue ya kuwa hamjui Mola ? Mimi nitakuuliza kwanini Fisi wanaishi hivyo wanavyoishi kama hawafati nidhamu ya aliyewafanya wawepo duniani ?
Hii ni kwa mtazamo wa kiislamu bila shaka.Fisi ni katika Hawmyawahi na jambo la dini ka Majini na Binadamu peke yao.
Kwanza kwanini swali lako lijikite kwenye "nani"?Kinachonifanya nijue ya kuwa Fisi anamjua Mola ni kuwa maisha ya fisi katika nidhamu si sawa na maisha ya Mbu ay Simba.Sababu tunaambiwa kuna wadudu wakizaliwa au viumbe wakizaliwa mzazi wake hufa,swali nani anaemfundisha na mwenendo wa kuishi kama ambao mzazi wake aliishi?
Nyani gani? we umejuaje?Nyani na mfano wa wanyama tayari Mola ameshawawekea nidhamu ya maisha. Soma mwenendo wa nyuki ndiyo utajua ya kuwa wanamjua Allah au hawamjui.
weka uthibitishoWanyama wanajua maana ya Mola muumba anae paswa kuabudiwa kwa haki wala hana mshirika.
Nyani hamjui Mola wa Mahindu sababu huliwa na Binadamu na mfano wake.