Swali kwa Wasioamini Mungu (Atheists) juu ya udhalimu wafanyao Watu kwa watu wengine

Kuna mtu kathibitisha Mungu yupo?

Au bado tunapigiana hadithi tu?
 
Kuna mtu kathibitisha Mungu yupo?

Au bado tunapigiana hadithi tu?
Hili mthibitishiwe mara ngapi ?

Kazi ipo kwenu mnaosema hayupo huku ushahidi hata wa UONGO hamna. Mimi siku mkithibitisha ya kuwa Mola hayupo na mimi nitakuwa Mkanamungu.
 
Sio ulisha jibiwa chenye akipo aki thibitishiki.
 
Ukitafakari kwa umakini unaona hili ni jibu ?

Napotaja ushahidi namaanisha atuonyeshe amejuaje ya kuwa Mola hayupo siyo aseme tu.

Maana yake ambacho hakipo kilitanguliwa na kuwepo kwanza. Sasa swali ni kuwa wamejuaje ya kuwa Mola hayupo ?

Jambo lingine ni kuwa swali hili hawawezi kujibu. Wanarukaruka tu.
 
Mungu anayeshindwa hata kushughulika na ongezeko la bei za mitandao

Hana sababu ya kutibitishwa
 
Back
Top Bottom