Hata Kichina wakiweza
"Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?"
Nadhani swali limefanana hivi; kama Dunia inazunguka kasi hiyo, kwanini binaadam akiruka anatua palepale na si sehemu nyingine?
Tunasoma majibu yenu sehemu ya maoni. Karubuni
Swali lako lina msingi mzuri, lakini kuna sababu kadhaa za kisayansi zinazofanya ndege au helikopta zisifanye hivyo.
1. Ndege, Helikopta, na Atmosphere Vinazunguka Pamoja na Dunia: Dunia inazunguka kwa kasi ya takriban 1,674 km/h kwenye ikweta. Hata hivyo, si Dunia pekee inayozunguka — angahewa, ikiwa ni pamoja na ndege na helikopta, pia inazunguka pamoja na Dunia kwa kasi hiyo hiyo. Kwa sababu ya hili, kama ndege au helikopta itapaa juu, itabaki ikiendelea kusogea kwa kasi ile ile ya mzunguko wa Dunia.
2. Kanuni ya Inertia: Kanuni ya kwanza ya Newton ya mwendo inasema kwamba kitu chochote kilicho katika mwendo kitaendelea katika mwendo huo isipokuwa nguvu ya nje itumike kukibadilisha. Kwa kuwa ndege au helikopta tayari zina mwendo wa kasi ya mzunguko wa Dunia, zinahitaji nguvu kubwa sana ili kuzizuia zisisogee pamoja na Dunia.
3. Uhitaji wa Nguvu za Nje:Ili ndege au helikopta zisitii mwendo wa Dunia, zingehitaji nguvu ya nje (kama vile injini zenye nguvu) ili kuondoa mwendo huo. Hii haifanyiki kwa sababu ni ngumu mno na kinyume na kanuni za fizikia za kawaida.
Kwa hiyo, ndege au helikopta zinapaswa kuruka kwa kawaida ili kufika mahali zinapohitaji, kwa sababu ziko ndani ya angahewa inayozunguka pamoja na Dun
Japo nlikua sjui nakubaliana na ww"Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?"
Nadhani swali limefanana hivi; kama Dunia inazunguka kasi hiyo, kwanini binaadam akiruka anatua palepale na si sehemu nyingine?
Tunasoma majibu yenu sehemu ya maoni. Karubuni
Ahsante.ZVI ZAMIR mkuu nimependa sana ufafanuzi wako kwenye huu uzi, niko na swali kidogo ningependa kufahamu..
Mfano kikatengenezwa chombo cha anga mfano wa jet yenye speed kubwa zaidi ya speed ya dunia, ikazunguka dunia haraka na kurudi pale ilipoanzia kabla dunia haijamaliza mzunguko, hapo kitaalamu itakua nini kimetokea?!
Ndani ya anga hewa, sio nje mkuu.Ahsante.
Naomba kufahamu swali lako linajikita zaidi kwa JET inayozunguka dunia katika angahewa ya dunia au JET inayozunguka nje ya angahewa.?
Nakubaliana na wewe 100%....lakini Satellite si inaweza kuona huko mwisho wa dunia kupoje ? Au nazo haziwez kuona ? Maana zinazunguka na kuona kila pembe ya duniaVyema sana mkuu, pia kuhusu mwisho au ukingo wa dunia, kwanza kabisa watu wajue kwamba ndege haziruhusiwi kufika huko, na ule ukuta hakuna aliye fanikiwa kuvuka.
Endapo watu watavuka, basi watakutana na ardhi nyingine, mabara mengine ambayo yame zungukwa na Glass Dome.
Wazazi wako hawakupoteza ada bure.Hongera.Kwa kutumia kanuni ya Newton ya pili ya mwendo na uhifadhi wa nguvu (conservation of momentum).
Ndege (aeroplane) bado itakuwa imebeba uzito ule ule wa kilograms 1000 wa njiwa, hata kama watakuwa wanaruka ndani ya ndege bila kugusa sakafu.
Hii ni kwa sababu uzito wao bado utaathiri ndege hata kama wapo angani ndani ya ndege hiyo.
Kiaje inakuwa hivo?
Kwa hiyo, hata kama njiwa wanapaa ndani ya ndege, uzito wao bado unaathiri ndege kwa njia ya mgandamizo wa hewa, na ndege inabeba uzito wao wote wa kilogramu 1000.
- Njiwa wanatumia hewa ya ndani ya ndege kupaa: Wakati njiwa wanapaa, wanapiga mbawa zao, na kusababisha mgandamizo (pressure) wa hewa chini yao. Hewa hii inasukumwa chini na mbawa zao, na kisha inasukuma njiwa juu. Lakini kwa kuwa hiyo hewa iko ndani ya ndege, nguvu ya kusukuma hewa chini inahamishiwa sakafuni mwa ndege (aeroplane)
- Uhifadhi wa nguvu: Nguvu wanayotumia njiwa kupaa (kusukuma hewa) inasambazwa kwenye sakafu ya ndege. Hii ina maana kwamba hata kama hawagusi moja kwa moja sakafu, hewa wanayoisukuma chini bado inaleta shinikizo kwa ndege, na kwa hivyo uzito wao unahamishwa kwenye ndege.
- Mfano wa lifti: Fikiria uko kwenye lifti yenye mzigo mzito, na kisha ukaanza kuruka ndani ya lifti. Wakati unaruka, unatumia nguvu dhidi ya sakafu ya lifti ili kusukuma mwili wako juu. Hata kama umekatika kutoka kwenye sakafu kwa muda mfupi, lifti bado inabeba uzito wako kwa sababu nguvu unayotumia kuruka inatokana na lifti yenyewe. Vivyo hivyo sawa na njiwa ndani ya ndege.
Kwako mwalimu kashasha. 😊
Satellite zimewekwa na haohao ambao wanazuia watu wasione kilichopo huko mwisho, pia satellite zipo kwa lengo la kurubuni watu kwamba kuna Space au maisha nje ya dunia.Nakubaliana na wewe 100%....lakini Satellite si inaweza kuona huko mwisho wa dunia kupoje ? Au nazo haziwez kuona ? Maana zinazunguka na kuona kila pembe ya dunia
Bado hujanijibu swali mkuu, kwamba Satellite zinauona mwisho wa Dunia Au haziwezi kuona ?Satellite zimewekwa na haohao ambao wanazuia watu wasione kilichopo huko mwisho, pia satellite zipo kwa lengo la kurubuni watu kwamba kuna Space au maisha nje ya dunia.
Ushawahi kusikia kuhusu under sea cable, hii ndyo chanzo cha usambazaji wa internet na mawasiliano.
Mleta mada ishi hapa.Dunia haizunguki, dunia ni tambarare.
Maji hayapindi, maji hufuata level iliyo nyooka, pia asilimia 75 ya uso wa dunia ni maji.
Jua linazunguka kutoka mashariki kwenda magharibi.
Juu ya anga kuna kizuizi, hakuna anayeweza kutoka. Juu kuna maji chini kuna maji.
As above, so below.
Zinaweza kuona, lakini hawawezi kuruhusu kutoa picha hizo.Bado hujanijibu swali mkuu, kwamba Satellite zinauona mwisho wa Dunia su haziwezi kuona ?
Ndani ya anga hewa, sio nje mkuu
ZVI ZAMIR mkuu nimependa sana ufafanuzi wako kwenye huu uzi, niko na swali kidogo ningependa kufahamu..
Mfano kikatengenezwa chombo cha anga mfano wa jet yenye speed kubwa zaidi ya speed ya dunia, ikazunguka dunia haraka na kurudi pale ilipoanzia kabla dunia haijamaliza mzunguko, hapo kitaalamu itakua nini kimetokea?
hapana ila katikati patabaki sawa daima !Mshale wa saa ya mshale ukiuwekea Taa inayomulika chini katka ile point yake, je mwanga utamulika sawa katika namba zote?
😃Daaaaah! Aseee ulikuwa kajiniazi.
Wazo langu ni hiyo ndege itakuwa imebeba 1000kg maana njiwa watakuwa wanapuliza mabawa yao kwenda chini katika angahewa la ndegeni humohumo. Hiyo ni kwa ndege yenye hewa yake ndani kwa ndani tu.
Lakini kama ni helikopta na milango wamefungua hapo hesabu inabidi ifanywe. Usito utapungua maana kuna hewa wanaipuliza inatoka nje na nyingine inaingia ndani 😅😅😄😄😄😄