SWALI: Kwani wanaume wa Dar wana tofauti gani na wa mikoa mingine?

Wanaume wa dar na wa kanda ya ziwa hawachekani.
1.wanaume wa dar wengi ni maba...ha.
2.wanaume wa kanda ya ziwa wengi ni wash..ba kupindukia.
 
Kama mnasema jogoo hawiki

Ajitolee mmoja tumfanyie majaribio
Mtaona alafu issue ya kuzarau wanaume wa dar

Mnaanza kuleta habari za wamekufa wamasai mia na mchaga mmoja nyambaaafu
 
Heri mimi nimehamia Dodoma.
Lakini kwa muda huu bado serikali ipo Dar, shauri yenu mtafungiwa vinokia vyenu.
 
kweli wanume wa dar mnajua mipasho aroo kwa style hii asee kazi ipoo
 
Hao wake zenu wanapokuja dar hadi huruma tunavowapakua akirudi huko kabadilika unaanza kumpiga migumi.
Tukisafiri sisi ndo kabisa wala hatuna haja ya kutongoza akisikia tu umetoka dar basi tayari mtoto kesha loa.
 
kweli wanume wa dar mnajua mipasho aroo kwa style hii asee kazi ipoo
Siyo mipasho ndo uhalisia..... Wanajifanya wajanja wa mikoani wakati kila kitu kinatoka huku..... Hela huku, vocha za mitandao yote huku, mafuta ya magari na ya taa yoote ni huku... Sasa nyinyi huo ujasiri mnaupata wapi? Ngoja tutazuia siku moja halafu mwone umuhimu wa vidume vya Dar..... Ujanja mwiiiingiiii mbele Giza...... Wake zao ndo usiseme wakija huku tunavyowafanya hadi huruma.....
 
Mkuu umesahau na hili"Tumewageuza Ng'ombe wa shamba kutwa kutulimia siye tunakula na kuwatupia Cash"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…