Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,047
Wanaume wa dar hawawezi round zaidi ya moja
Kiepe yai kishawabomoa
Kiepe yai kishawabomoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli wanume wa dar mnajua mipasho aroo kwa style hii asee kazi ipooTumeanza kuamka sasa wanaume wa dar... Mnasemaje nyie mijibwa ya mikoani..... Mkija huku mnatutilia aibu sana.chakula cha familia nzima wewe peke yako unafuta. . Hata mjipendekeze vipi hatuwakaribishi...mkija mnakera sana. Eti nipeleke uwanja wa Taifa ooh Mara baharini, Mara daraja lilijengwa baharini daaah tunawachoka kweli mkija huku..... Sisi tukija huko Dada zenu hata hatutongozi.wakijua tuu wa dar hahaaaaa mpk unawakimbia eti nyinyi mnanuka vikwapa halafu mnawasugua kama mnapiga mswaki... Kumbe wenzenu tunabembelaza... Kushikanashikana tuu ni masaa mawili bado mchezo wenyewe.nyie kulima tuu kama mang'ombe.... Viazi mnalima nyie cc tunavitengeza halafu mkija tunawapiga bei za maana... Wanaume wa mikoani mtaendelea kuwa wamikoani tuu... Na mtaendelea kuwa washamba tuu... Na sasa hivi mkitaka kuja huku mtakuwa mnalipia kwanza pale chalinze mnakuja mnatumalizia hewa tuu
Ohooo unawagusa pabaya mkuu ujue hahahaaaaMwanaume wa dar anatongoza huku anang'ata kucha
Mkuu kwani uongo ...[emoji3] [emoji3] wanaamka saa 4 mchana wanapata kiepe ongezea na broiler
Siyo mipasho ndo uhalisia..... Wanajifanya wajanja wa mikoani wakati kila kitu kinatoka huku..... Hela huku, vocha za mitandao yote huku, mafuta ya magari na ya taa yoote ni huku... Sasa nyinyi huo ujasiri mnaupata wapi? Ngoja tutazuia siku moja halafu mwone umuhimu wa vidume vya Dar..... Ujanja mwiiiingiiii mbele Giza...... Wake zao ndo usiseme wakija huku tunavyowafanya hadi huruma.....kweli wanume wa dar mnajua mipasho aroo kwa style hii asee kazi ipoo
Siyo mipasho ndo uhalisia..... Wanajifanya wajanja wa mikoani wakati kila kitu kinatoka huku..... Hela huku, vocha za mitandao yote huku, mafuta ya magari na ya taa yoote ni huku... Sasa nyinyi huo ujasiri mnaupata wapi? Ngoja tutazuia siku moja halafu mwone umuhimu wa vidume vya Dar..... Ujanja mwiiiingiiii mbele Giza...... Wake zao ndo usiseme wakija huku tunavyowafanya hadi huruma.....kweli wanume wa dar mnajua mipasho aroo kwa style hii asee kazi ipoo
[emoji22] [emoji22] [emoji22] Baba yake kama yu hai Mungu ampe uvumilivu ila kama Hayupo hai basi ajue huko alipo katuachia NZIGO huku Tanzania.Sasa mkuu unategemea mwanaume kama [emoji116] [emoji116] anashindwa kuakimbia panyaroad!!!! View attachment 496553
Msukuma huyoHahahaahhahahaahahahahaha uwiii mbavu zangu mwenzenu
Mkuu umesahau na hili"Tumewageuza Ng'ombe wa shamba kutwa kutulimia siye tunakula na kuwatupia Cash"Siyo mipasho ndo uhalisia..... Wanajifanya wajanja wa mikoani wakati kila kitu kinatoka huku..... Hela huku, vocha za mitandao yote huku, mafuta ya magari na ya taa yoote ni huku... Sasa nyinyi huo ujasiri mnaupata wapi? Ngoja tutazuia siku moja halafu mwone umuhimu wa vidume vya Dar..... Ujanja mwiiiingiiii mbele Giza...... Wake zao ndo usiseme wakija huku tunavyowafanya hadi huruma.....
Mkuu Mimi nimeshindwa kuwaelewa kabisa wanajiona kama wapo sijui mbingu ya wapiMkuu umesahau na hili"Tumewageuza Ng'ombe wa shamba kutwa kutulimia siye tunakula na kuwatupia Cash"