Daaah...mkuu waonee huruma uwasitiri kidogo.Wanapenda vya bure, kuuza sura, umbea, kuazima nguo, kusifia Bakharesa , Diamond na Ali Kiba kutwa, Sifa bila kitu mifukoni, wapenda shobo hata kama ni wakubwa, Wanapenda Pesa nyingi kwa kazi laini.
Ni bashite na Mura ndio wanaombea nguvu za kike[emoji12] [emoji14] [emoji13]Aaah kijana unataka tuje tukusaidie kupambana na panya road au unataka tuje kufanya nini
Mbona bashite ndo anawaendesha mpaka wanaomba msaada kwa mange kimambiNi bashite na Mura ndio wanaombea nguvu za kike[emoji12] [emoji14] [emoji13]
Mbavu zangu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wanaume wa dasaramu
Pole mkuu!!Mbavu zangu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ulishalala nao kitandani wakakushindwa?Tatizo wanaume wa dar wabovu kitanfani wako lazy sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ngoja wapite hapa mkuu mimi simo!!Wanaume wa Dar wakienda kuoga wanafungia taulo kifuani.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naomba jamani ndugu zetu wa mikoani msituunganishe kwenye kundi moja na waliozaliwa hapa dar maana wengine tupo dar kikazi tu ila tabia za hawa baadhi ya wenyeji kiukweli zinatutia hofu
Wakata majani ya mifugo a.k.a shamba boyWanagongewa na nani maana wake zao wako dar hawako mkoani
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Alafu mwisho wa siku wanakuja kuanza kulalamika eti.... Ohhh sina nguvu za kufanya heshima ndani.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mara.... Ohhh natafuta dawa za kuongeza nguvu za sijui ninini..[emoji13] [emoji13] [emoji13]