SWALI: Kwanini watu wenye ibada pasipo na ukristo na Uislamu. Mbona dini zao ziko na pesa ?

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
2,858
Reaction score
5,123
SWALI :

kwa nini watu wenye ibada pasipo na ukristo na uislamu.mbona dini zao ziko na pesa ?

Naomba wasomi mtupe jibu je Kuna Siri Gani hapa .

Atotoa jibu zuri Kuna zawadi ya group kuingizwa free la kulipia ili kuchota marifa zaidi na Utambuzi zaidi na zaidi .

Swali la kwanza ameshinda ......
1750320312645.jpg
hivyo namchunguza kuingia kwenye group.

Niko nae in box Sasa ili nikampee mwanga wa kweli sio udako .
 
Dini zisizo za Ukristo na Uislamu zina pesa nyingi kwa sababu

Zimekuwa na historia ndefu ya kuungana na madhehebu, na utawala at the same time,,zina mifumo imara ya usimamizi wa mali na michango

Zina mtazamo wa kiroho unaoruhusu mali kuwa sehemu ya ustawi wa kiroho na kijamii

Zinatumia fursa za kimataifa na mfumo wa utawala wenye nguvu kulinda na kukuza rasilimali.
 
👏🏾👏🏾 Saafi kwa kujalibu

Mwingine🤷🏽‍♂️
 
Historia ya Kiuchumi na Kisiasa*
  • Watu wengi walioko kwenye dini kama Uyahudi, Ubudha, au Utao walihusishwa mapema na biashara, fedha, elimu, na taaluma za kiufundi.
  • Nchi kama Japan, Korea Kusini, na China (ambazo hazijajengwa juu ya Ukristo au Uislamu) zilifanya mageuzi ya viwanda mapema na kuweka mkazo mkubwa kwenye elimu na maendeleo ya kiteknolojia.

Utamaduni wa Kijamii na Maadili ya Kazi*
Kwa mfano, Wajapani na Wakorea huchukulia kazi kama wajibu wa kimaadili, si tu njia ya kipato.

- Nchi nyingi zisizo na wafuasi wengi wa Uislamu au Ukristo (kama vile Singapore, China, Korea Kusini) zimewekeza pakubwa kwenye elimu bora, sayansi na teknolojia, jambo linalowaweka kwenye nafasi nzuri ya kufanikiwa kiuchumi.

C&P
 
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Mwingine 🤷🏽‍♂️
 
Back
Top Bottom