Mungu ana sababu zake za kufanya hivyo i.e. kuumbaya mabaya na ubaya, sababu ambazo sisi wanadamu hatuwezi kuzijua.
Hii ni sawa na kusema "the lord works in mysterious ways" the ultimate surrender of the theist when cornered.
Unajuaje kwamba mungu ana sababu zake na si kwa sababu hakuna mungu?
Sijui bali naamini hivyo :becky:. And the good lord does work in mysterious ways.
Asante.
The belief extends to the mystery I take it.
You can believe there is a tribe of one eyed popobawa up the Kilimanjaro controlling the rain distribution in Africa, but saying you know this changes the whole issue.
Madness starts when verification ends.
Tafakari.
mkuu,verification goes with reasoning,dealing with facts,empirical data etc,are you telling us that believing is madness? hivi unapokunywa maji ya chupa ya ,kilimanjaro, si unaamini hayana sumu,is that madness? do you need to be mad in order to have faith/ i wonder!
veri
'Imani huweza kuhamisha milima',true/false?I suspect you haven't read post #25 and it's subsequent extrapolations.
If you are so much for empirical data, you would not believe in god because god cannot be proved empirically.
Your stance is self defeating.
'Imani huweza kuhamisha milima',true/false?
Milima ni nini?
Do you have empirical evidence to jusify this?
Unafahamu kitu inaitwa clairvoyance? Na hypnotism? Na levitation?
Naomba unionyeshe niliposema nimeoa. Usichanganye kwenda kutoa mkole Kazimzumbwi na kuoa.
Kuna post 1 ya mmu, jamaa mmoja alikuwa ameomba ushauri, kati ya watu walio-comment wewe pia ulikumo.
Kutokana na comment yako ilibidi nikuulize umeoa?
Ukasema ndiyo(kama nakumbuka vizuri).
Mbali ya hilo "ukipenda" unawezajibu kama swali liko relevant.
Suala la imani katika dini si gumu na ndiyo maana zikaitwa 'imani za kidini'. Sasa sijui kwa nini watu huwa wanachanganya imani na kujua.
Dini ni imani na ndiyo maana kuna waumini. Ni hivyo tu.
Naona hukumbuki vizuri, nilikwambia nimetoka kutoa mkoja. Zenji tena.
Mpaka Nyani akashikia bango.
Nashukuru tu kwa kunijibu in a polite way, maana kuna watu uliwashukia kama mwewe hapo awali.
Basi swali litakosa mantiki kama hujaoa.
Contrary to a held belief (there's that word again), I can be nice.
I just suffer no fools.
Thanks.
Hebu nisaidie hili pia,
Kuna channel fulani za kidini hasa za kiafrika, kuna watu waitwa prophets hawa huwa wanaongea na waumini wao na kusema mambo fulani juu ya hao waumini, kwa mfano, prophet anaweza kutaja majina ya ndugu wa muumini hata watano na akawa sahihi wakati hafahamiani na muhumini husika.
Hivi unaweza kuelezeaje incidence kama hiyo?
How do they know some things concerning the people not known to them?
Thanks.
Hebu nisaidie hili pia,
Kuna channel fulani za kidini hasa za kiafrika, kuna watu waitwa prophets hawa huwa wanaongea na waumini wao na kusema mambo fulani juu ya hao waumini, kwa mfano, prophet anaweza kutaja majina ya ndugu wa muumini hata watano na akawa sahihi wakati hafahamiani na muhumini husika.
Hivi unaweza kuelezeaje incidence kama hiyo?
How do they know some things concerning the people not known to them?
Hata Jim Jones of Jonestown massacre fame alikuwa ana pull stunts na waumini wake, nini kujua majina, yeye alikuwa anafanya deal na watu ionekane anaponya walemavu wasioweza kutembea waweze kutembea. Hiyo moja.
Halafu pili kutaja majina ya ndugu mbona hata waganga wa kienyeji wanatumia reverse psychology kukuambia matatizo yako "kabla" wewe hujawaambia? Hivi mtu akikwambia wewe una ndugu anaitwa John kama wewe ni mkristo umeenda kanisani utashangaa? Au akikwambia una ndugu yako anaitwa Atupele kama wewe ni Mnyakyusa utashangaa?
Hapo ni reverse psychology tu inatembea, mtu anakuvuta unamwambia mambo, halafu anayarudia, wewe unaona yeye kakwambia wewe.
For every so called miracle, the arrow of time has consistently demonstrated that there is a perfectly natural way of explaining it.
We only deem miracles as such due to the poverty of our minds.
Mi naona tuseme tu kwamba we are not yet able to explain the miracles just like u said.
So, are we existing by chance(accident), why?
Is there any general purpose for living?