Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Siamini katika kuamini.
Which means unaamini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siamini katika kuamini.
'Faith starts where reasoning ends'.
Tafakari.
Walio serious wanajua hawajui, na hivyo going with tradition for the sake of respect for culture and harmony is not offensive even to them, it is actually showing respect. Honoring their dubious rituals for the common goal of honoring a common friend.
Ni kama mkristo kuvua viatu akiingia msikitini. Haina maana anaamini katika kuvua viatu kabla ya kuingia nyumba ya ibada, ina maana anaheshimu kanuni za Waislam kuvua viatu kabla ya kuingia msikitini.
What is to feel?
What is "feeling"? Scholars gani hao wanaoamini it's the heart that creates feelings? How does the heart create magnetic force? What has magnetic forces to do with "feelings"?
Where are your sources? Are these scholars published in any reputable journal? Peer reviewed? Theory/ hypothesis yao inaitwaje? Una link zozote online?
Wana tofauti yoyote na watu kama "The Flat Earth Society"?
Which means unaamini!
Ooppa gangnam style!
Kuamini is inescapable as long as you are human
That's an axiomatic truth.
Unaamini baba yko alihusuka ww kutungwa mimba?
Ushaacha usia ukifa uzikweje au umeaacha tu, kumbe utakua unatusumbua kupeleka mzoga wako kanisani.
Unaamini baba yko alihusuka ww kutungwa mimba?
atakuwa ni mpinga kristo na lazama ana namba 666 usoni.
Siamini katika kuamini.
Kwa iyo huamini katika kuamini mwanaume anahusika?
Familia yangu inajua. Na sioni hili linakuhusu vipi. Unaposema "utakua (sic) unatusumbua" ntakuwa nawasumbua wewe na nani? Kwa minajili gani?