Swali la kizushi kwa Kiranga.

Swali la kizushi kwa Kiranga.

Halafu na mi nina swali kwa Kiranga ila sio la kizushi. Sijui niulize?
 
Last edited by a moderator:
Walio serious wanajua hawajui, na hivyo going with tradition for the sake of respect for culture and harmony is not offensive even to them, it is actually showing respect. Honoring their dubious rituals for the common goal of honoring a common friend.

Ni kama mkristo kuvua viatu akiingia msikitini. Haina maana anaamini katika kuvua viatu kabla ya kuingia nyumba ya ibada, ina maana anaheshimu kanuni za Waislam kuvua viatu kabla ya kuingia msikitini.

What is to feel?

What is "feeling"? Scholars gani hao wanaoamini it's the heart that creates feelings? How does the heart create magnetic force? What has magnetic forces to do with "feelings"?

Where are your sources? Are these scholars published in any reputable journal? Peer reviewed? Theory/ hypothesis yao inaitwaje? Una link zozote online?

Wana tofauti yoyote na watu kama "The Flat Earth Society"?

About the respect think nimekuelewa.
Now let me find the source for u concerning feelings.
 
Which means unaamini!

Siamini katika kuamini. The human condition predicates kuamini as far as the current body of reputed facts indicates, due to reducibility and fallibility of primary axioms. Kuamini is inescapable as long as you are human, otherwise you would not be able to step.

But I realize what is the current inescapable amount of belief that is necessary for stepping, and I don't want to employ an iota more than what is required for this.

I am honest and cognizant enough to say that show me one who say they do not believe anything, and I will show you a liar or someone not sophisticated enough to know the basic nature of the human condition.

But at the same time, this does not mean I should not repudiate belief.

The history of human development intellectually converges towards knowledge and from belief. Convergence is the key idea. And one can employ the minimal amount of belief while moving away from belief and converging towards the asymptotic point of perfect knowledge, or whatever version of that point is practical for building the Kigamboni bridge for example.

Hence, siamini katika kuamini.

The trouble with the currently employed dosage of belief is that it is medieval if not ancient altogether.
 
That's an axiomatic truth.

Which is not to say it is infallible, because axioms are by definition self affirming.

This further confirms that belief is inescaple, which is an axiomatic truth, that is to say that it is a qualified truth, that is to say that it is not an absolute truth. Which further reinforces "belief is inescapable" in a quirky and ironic way.

Just like a straight line need not be 180 degree, or a triangle 360 degrees, or a right angle 90 degrees, because all these are axiomatic truths based on and therefore qualified by Euclidean geometry.

The more you try to run away altogether from belief, the more you find the goal to be as elusive as some cryptographic map in some Dan Brown novel, ever elusive.

The most one could hope for is reducing the amount of belief in a system as much as possible.

Heisenberg's Uncertainty Principle shows that at a certain point, our ability to attain knowledge and eliminate belief is squashed by the quantum probabilistic nature of the universe. We believe, per the currently available body of knowledge.

To debunk that as a poverty of our current state of science is our challenge. Best tackled by converging towards knowledge and away from belief, as much as possible, and gradually.

Hence.

Siamini katika kuamini.
 
Ushaacha usia ukifa uzikweje au umeaacha tu, kumbe utakua unatusumbua kupeleka mzoga wako kanisani.
 
Ushaacha usia ukifa uzikweje au umeaacha tu, kumbe utakua unatusumbua kupeleka mzoga wako kanisani.

Familia yangu inajua. Na sioni hili linakuhusu vipi. Unaposema "utakua (sic) unatusumbua" ntakuwa nawasumbua wewe na nani? Kwa minajili gani?
 
atakuwa ni mpinga kristo na lazama ana namba 666 usoni.
 
atakuwa ni mpinga kristo na lazama ana namba 666 usoni.

Napoleon The Devil incarnate himself. Watoto wadogo wakikataa kula waambie shetani Kiranga anakuja usipokula chakula chako.

How about that?

Yesu angekuwa anaishi leo angekuwa heckled na some PETA activist for lack of compassion.

Na alipoulaani Mtini usiozaa that was quite a case of "blaming the victim". Hardly godly.
 
Familia yangu inajua. Na sioni hili linakuhusu vipi. Unaposema "utakua (sic) unatusumbua" ntakuwa nawasumbua wewe na nani? Kwa minajili gani?

lakini Kiranga wewe ungependa uzikwe kama mkristo au wakufukie tu kama kuku aliekufa kwa kideri
 
Last edited by a moderator:
lakini Kiranga wewe ungependa uzikwe kama mkristo au wakufukie tu kama kuku aliekufa kwa kideri

Unajuaje kama napenda kuzikwa?

Au una assume assume tu kwamba kwa sababu kijijini kwenu kila mtu anazikwa na Kiranga naye atataka kuzikwa?
 
Back
Top Bottom