Swali la kizushi kwa Kiranga.

Swali la kizushi kwa Kiranga.

Mkuu tiger hapa naona unataka kuharibu imani za watu, maana humu humu kuna wakristo hawaamini katika hili la christmass sasa sijui unatka Kiranga aseme nini hapa

Mbona swali liko wazi mkuu, point si X-mas hapo, we subiri mwenyewe anakuja.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hapa haitaji hata IGWE aje maana ukisoma post Zote Kiranga hawajamuweza hata kwa point moja. shida yetu hapa watu tunaongea kwa imani na Kiranga keshawaambia haamini akatika kuamini

Yeah..kwenye hii mijadala mara zote upande wa kina Kiranga,Bwaxxlo,Moshdar,Introvert etc... wanaibuka kidedea kwa hoja nzito nzito_upande wa kina sisi i.e mgen,H1N,igwe,kiby,gavana,ally kombo,matumbo etc,etc...mara zote hatuna hoja zaidi ya kuwatishia kuwa wasipoamini watachomwa moto na kuwaita majina na hovyo mara tunawaita god haters,wapagani,wasiostaarabika....LO!
 
Kiranga mwenyewe anakiri kuwa imani haiepukiki.
Kwahiyo hata "upagani" waweza kuwa "imani" kwa namna nyingine.

Ukiambiwa "sumu haiepukiki, ukinywa maji yaliyosafishwa kabisa yatakuwa na sehemu ndogo ya sumu, hata usipovuta sigara hiyo hewa unayovuta ina kiasi kidogo cha sumu".

Hiyo inamaanisha uende kutafuta dawa ya panya na kuinywa kwa sababu sumu haiepukiki?
 
Yeah..kwenye hii mijadala mara zote upande wa kina Kiranga,Bwaxxlo,Moshdar,Introvert etc... wanaibuka kidedea kwa hoja nzito nzito_upande wa kina sisi i.e mgen,H1N,igwe,kiby,gavana,ally kombo,matumbo etc,etc...mara zote hatuna hoja zaidi ya kuwatishia kuwa wasipoamini watachomwa moto na kuwaita majina na hovyo mara tunawaita god haters,wapagani,wasiostaarabika....LO!

Vijana wadogo wanaochipukia siku hizi wanaona ukweli. Hata wakienda misikitini/ makanisani wanaenda kiutamaduni tu.

Reason will prevail no doubt, the history of progress shows you cannot keep the truth under the wraps, my fear is it might take us too long. While others are devising futuristic technologies, we will be stuck praying.
 
Yeah...kuna ukweli hapa...call them church goer.
 
Ukiambiwa "sumu haiepukiki, ukinywa maji yaliyosafishwa kabisa yatakuwa na sehemu ndogo ya sumu, hata usipovuta sigara hiyo hewa unayovuta ina kiasi kidogo cha sumu".

Hiyo inamaanisha uende kutafuta dawa ya panya na kuinywa kwa sababu sumu haiepukiki?

Ningeshukuru kama ungenijibu habari ya existance ya Jesus kwanza.
 
Kuna jamaa yangu jamii ya akina Kiranga,ananiambia kila mara kuwa habari za Yesu ni hadithi za kutunga...eti hata wanahistoria huo wanaosema ni ushahidi ni abrakadabrah...anyway ngoja Kiranga aje naye atoe mtizamo wake kuhusu hili.

My take:..atupe na mtazamo wake kuhusu mtume mohamed existance pia.
 
Kanisani kuna mafunzo mengi tu mazuri. Na utapeli wa hali ambayo haijafikiwa pengine popote.

Nikiwa katika mood au sababu ya kujumuika na watu, naweza kwenda si kanisani tu, bali hata kwenye ma temple ya dini nyingine.Nimejifunza umuhimu wa kuhoji kutoka kwa Socrates as much as nilivyojifunza kutoka kwa Lord Buddha. Nimejifunza kwamba majibu ya ukristo hayatoshelezi kutoka kwa Thomas Aquinas, St. Augustine na Anselm. Nikijaliwa kuingia kanisani nikakuta mhubiri/ mchungaji aliyesoma hawa waandishi wa classics na kuwatumia katika mahubiri yake mahubiri yanakuwa as much kuhusu dini as kuhusu philosophy na theology.

Nitachukua mazuri na kuacha mabaya. Na of course kuangalia maktaba zao na ikiwezekana kumuomba mchungaji tupate one on one.

Kujifunza ni rahisi zaidi kama unachanganyika na watu usiokubaliana nao kuliko unaokubaliana nao.

Miye si atheist anayechukia dini moja kwa moja, naiona dini kama mtumbwi uliotuvusha mto wa ujinga, sasa hatuna haja na mtumbwi huu kwa sababu tushavuka mto wa ujinga lakini tunaendelea kuubeba, unakuwa mzigo usio wa lazima.
kuanzia leo unakuwa binaadamu ninayemuheshimu katika ubongo wangu kwa sababu mpo wachache kama ninyi mnaoitafuta kweli ya haki mungu akujaze uhai.kama yupo lakini.
 
Existance is not a word.

"Kiranga hana historia ya kukimbia swali hapa"
Hebu jibu swali langu mkuu, swali langu limeanza page number 7 ila mpaka sasa hujajibu.
Yesu wa kwenye gospel aliwahi kuwepo kweli hapa duniani?
 
Kuna jamaa yangu jamii ya akina Kiranga,ananiambia kila mara kuwa habari za Yesu ni hadithi za kutunga...eti hata wanahistoria huo wanaosema ni ushahidi ni abrakadabrah...anyway ngoja Kiranga aje naye atoe mtizamo wake kuhusu hili.

My take:..atupe na mtazamo wake kuhusu mtume mohamed existance pia.

Hataki kujibu hilo swali na sababu anayo mwenyewe.
 
Ukiambiwa "sumu haiepukiki, ukinywa maji yaliyosafishwa kabisa yatakuwa na sehemu ndogo ya sumu, hata usipovuta sigara hiyo hewa unayovuta ina kiasi kidogo cha sumu".

Hiyo inamaanisha uende kutafuta dawa ya panya na kuinywa kwa sababu sumu haiepukiki?

Point yangu ni kwamba, hata upagani ni imani.
Kama si kweli thibitisha vinginevyo.
 
Kwanza wastaarabu wameacha kusema neno "upagani". The word is incendiary in it's condescension.

Pili kukosa imani hakuwezi kuwa imani kama kutojua kusoma kusivyo kusoma au kusimama kusivyo kukimbia.
 
"Kiranga hana historia ya kukimbia swali hapa"
Hebu jibu swali langu mkuu, swali langu limeanza page number 7 ila mpaka sasa hujajibu.
Yesu wa kwenye gospel aliwahi kuwepo kweli hapa duniani?

Kiranga hana historia ya kukimbia swali kama ulivyosema.Ila swali halijaulizwa bado, kwa sababu kuna neno limechapiwa.

Sahihisha neno, uliza swali vizuri, sio tu litajibiwa, linaweza kuandikiwa kitabu cha sura 36 kama chemba za Wu-Tang Clan.

Unaweza hata kujifunza the correct spelling.
 
Madness starts when verification ends.

Tafakari.
mimi siamini katika dini,ila nina swali unaamini uwepo wa dhana mungu na dini unazichukuliaje,kuhusu mungu mimi sina kawaida ya kuamini wala kukanusha kitu ambacho sikielewi kwa uchache au kiundani.ninapenda kuthibitisha hasa kwa kuona.
 
1. Kuwepo kwa dhana ya mungu na kuwepo kwa mungu ni vitu viwili tofauti. Unaweza kuwa na dhana ya "pembe tatu yenye pembe nne" lakini hii haimaanishi kwamba kuna pembe tatu yenye pembe nne.

2. Sitaki kuamini, nataka kuelewa. Dini ni jaribio la binadamu ama kuwatawala binadamu wengine au ku make sense ya vitu asivyovijua. It is also a shorthand for morality that doesn't always get morality right.

3.Kuona si kuthibitisha.Unaweza kwenda katikati ya jangwa la Sahara ukaona chemchemi ya maji, ukafikiri umethibitisha kwa kuona, kumbe ni mirage tu, hakuna chemchemi ya maji. Appearance could be deceiving.
 
Kiranga unajibu maswali kwa sawali mpaka mtu ajue jinsi ya kukuuliza lazima aliphrase swali mara kibao
 
1. Kuwepo kwa dhana ya mungu na kuwepo kwa mungu ni vitu viwili tofauti. Unaweza kuwa na dhana ya "pembe tatu yenye pembe nne" lakini hii haimaanishi kwamba kuna pembe tatu yenye pembe nne.

2. Sitaki kuamini, nataka kuelewa. Dini ni jaribio la binadamu ama kuwatawala binadamu wengine au ku make sense ya vitu asivyovijua. It is also a shorthand for morality that doesn't always get morality right.

3.Kuona si kuthibitisha.Unaweza kwenda katikati ya jangwa la Sahara ukaona chemchemi ya maji, ukafikiri umethibitisha kwa kuona, kumbe ni mirage tu, hakuna chemchemi ya maji. Appearance could be deceiving.
mzee unatisha sana umezikazia hisia zangu sasa naamini kumbe wengi wetu dini za ni kwa sababu ya wazazi wao.zaidi ya elimu uliyosomea naiona hekima yenye ujazo sana moyoni mwako.unajiamini unajibu kwa utulivu bila papara niishie hapa maana nastaajabia uwepo wa watu kama ninyi ulimwenguni.bahati mbaya mnapingwa sana maana akili za wengi zimeshaozeshwa na dini nyeupe.
 
Well said mkuu...hata mimi namkubali sana huyu jamaa,..wapo wachache wa aina yake i.e wale wanaoweza kukaa na wanaamini kwa kukaririshwa halafu waweze kuelimishana kwa hekima na busara huku wakitoa hoja za nguvu...wengi tumejifunza mengi kutoka kwake.
 
Kiranga hana historia ya kukimbia swali kama ulivyosema.Ila swali halijaulizwa bado, kwa sababu kuna neno limechapiwa.

Sahihisha neno, uliza swali vizuri, sio tu litajibiwa, linaweza kuandikiwa kitabu cha sura 36 kama chemba za Wu-Tang Clan.

Unaweza hata kujifunza the correct spelling.

tupe mtazamo wako mkuu
 
Back
Top Bottom