Wasiofikiri vizuri ndo watamuelewa,Sipendi watu wanafiki kama huyu nduguWachache sana watamuelewa paschal Mayalla katika thread hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasiofikiri vizuri ndo watamuelewa,Sipendi watu wanafiki kama huyu nduguWachache sana watamuelewa paschal Mayalla katika thread hii
"In a time of deceit telling the truth is a revolutionary act" -George Orwell. Mungu atusaidie sana watanzaniaWanabodi.
Huu ni uzi kuhusu Swali la Morality: Jee ni Lazima Kuusema Kila Ukweli Unaousikia?. Kwenye Medani za Siasa, Kabla ya Kuusema Ukweli Tunausikia, Jee Tutangulize Mbele Maslahi ya Taifa Kwa Kuupima Kwanza, Ukweli Huo Una Matokeo Gani, au Ukisikia Lolote, Lisema Tuu kwa Sababu ni la Ukweli?.
Jee Ili Kupata Manufaa ya Kisiasa, Jee ni Lazima Wanasiasa Wetu, Tupoliticise Kila Kitu?.
Declaration of interest.
Mimi Paskali ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, na kanuni kuu ya mwana habari, (carninal rule ni " tell the truth, no matter what!", hivyo mimi mtu mkweli daima, na ni muumini wa ile ahadi ya mwana TANU " Nitasema kweli daima, fina kwangu mwiko", ila katika kuusema ukweli au kuandika ukweli, pia ninatanguliza maslahi ya taifa kwa kujiuliza jee ukweli huu ukisemwa, utajenga, au utabomoa?.
Ukiona japo ni ukweli lakini utabomoa, then ukweli huo, siusemi, kama ukweli niliousema kwenye bandiko hili
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe ...
Hii Kamata Kamata ya Kila Waompinga Magufuli, Ni Magufuli Anawatuma au Wanajipendekeza Tuu?.
My honest opinion, ingawa ni kweli rais Magufuli apendi critics, mimi nilimsikia mwenyewe kwa masikio yangu toka kwenye kinywa chake na sio kwa kuhadithiwa kuwa anapenda challenge, ila hizo challenge ziwe ni ukosoaji wa kweli wenye nia njema, hivyo naamini hizi kamata kamata zinazoendelea ma kuwakamata karibu kila wanasiasa wanaompinga rais Magufuli, siamini kama ni Magufuli anawatuma!, naamini hivyo ni kazi ya polisi ambao wana jikomba komba tuu ili kuonekana wanafanya kazi.
Kwenye siasa za multipasim duniani kote, kazi ya the opposition ni kuopose kila kitu kinachofanywa na chama tawala hata kiwe ni kitu kizuri namna gani!, that is their right, kupinga, ndio maana wanaitwa wapinzani. Na serikali zote zinazoheshimu demokrasia ya kweli, lazima zikubali kupingwa.
Nimeishi kidogo UK na US, na Uswiss. Uingereza pale Times Squire katibu kila ni maandamano. US ulle mtaa jirani na Capitol Hill kuna uwanja unakuwa huru kupinga chochote, Uswiss uwanja huru wa kupinga, ni pale uwanja wa wazi nje ya ukumbi wa Bunge, the The Bundes House. Hivyo sioni mantiki ya sababu zozote wanaompinga rais kubughudhiwa!, this is not demokracy, Tanzania sio nchi ya kidikiteta!.
Wito kwa IGP, Kamanda Sirro, controll vijana wako watekeleze majukumu yao kwa sheria taratibu na kanuni na sio kwa kutaka kujipendekeza au kujikomba komba!.
Rais Magufuli, somo la managing diversity kwa Serikali yako ...
Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti ...
Jee Wapinzani Kazi yao ni Kupinga Tuu Kila Kitu au Kukosoa Tuu Hakuna Kupongeza Hata kwa Mazuri?.
Japo kazi ya upinzani ni kupinga na kukosoa, lakini tunapokuja kwenye issues muhimu kwa maslahi ya taifa, maslahi yataifa ndio yanatangulizwa mbele, sisi sote kama Watanzania, we stand as one, tunakuwa watu wamoja, hakuna tena siasa za vyama, wala siasa za watu, tunaitanguliza mbele Tanzania, kila kitu kinafuatia baadae.
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A ...
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni ...Kuzuia Mchanga wa Dhahabu, Magufuli Anastahili Pongezi. Tusiishie ...
Kwenye Haki za Wanyonge, Magufuli ni Kama Khalifa Mkuu Harun El ...
Conclusion
Namalizia kwa haya maswali ya msingi, japo kuhusu ni hoja za morality kusema kweli daima, lakini Jee ni Lazima Kuusema Kila Ukweli Unaousikia?. Kwenye Medani za Siasa, Kabla ya Kuusema Ukweli Tunausikia, Jee Tutangulize Mbele Maslahi ya Taifa Kwa Kuupima Kwanza, Ukweli Huo Una Matokeo Gani, au Ukisikia Lolote, Lisema Tuu kwa Sababu ni la Ukweli?. Jee Ili Kupata Manufaa ya Kisiasa, Jee ni Lazima Wanasiasa Wetu, Tupoliticise Kila Kitu?.Sio lazima kusema kila unachosikia hata kama ni ni kweli!.
Wasalaam.
Paskali
Rejea.
Jee Aachwe Aseme Tuu, By "Taking The Bitter With The Sweet", Or ...
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public ...
Je, wajua amri za Rais sio final and conclusive?. Zinaweza kupigwa ...
Tusimlaumu Rais Magufuli Kwa Kila Kosa, Rais Yeye Hana Kosa Bali ...
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishwa The ...
Rais Kusitisha Uzazi wa Mpango Kwa"Fyatueni Watoto wa Kutosha",Ni ...
Kitendo cha kuita nchi majirani zako kuwa ni "vinchi" ni uungwana ...
Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna Vichaa ...
Nimetishwa, Kushitushwa na Kuogopeshwa na Kauli Hii ya Rais ...
Hoja ya Udikiteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi ...
Mkuu Mzee Mwanakijiji, Rais Magufuli Sio Alfa na Omega. Rais Sio ...
Ni kweli kaka yangu pascal lakini liko tatizo kubwa la kiukoo ambalo litaigarimu familia nzima ya watanzania (Tabia ya makuzi)hujenga desturiWanabodi.

Mkuu Kimbakuli, karibu mtaa huu, hapa nimezungumzia hii hoja yako ya sio lazima kuusema kila ukweli unaousikia.Sio kila ukweli lazima usemwe, especially kwa watawala. Mtawala ni mtu ambae anaongoza watu wenye itikadi tofauti, dini tofauti, makabila tofauti, makundi mbalimbali na n.k. Sasa priority no.1 ya mtawala anayeongoza makundi tofauti lazima iwe ni kuwaleta pamoja watu wote, makundi yote yajisikie amani. sasa kunaweza kukawa na ukweli ambao unaleta msuguano baina ya makundi anayoongoza haina haja ya kuusema kama hauleti faida yoyote ni bora ukabaki nao ili unaowatala wafeel kama wewe ni kiongozi wa wote sio mbaguzi.
Mfano, katika kipindi cha Rais Obama akiwa madarakani aliutambua mji wa Tel aviv kama ndio mji mkuu Israel na hii ilikuwa ni kwa ajili ya kuharmonize mambo ili aonekane hajalalia upande wa Israel wala Palestina. Sasa amekuja mtu wa type ya hao viongozi waropokaji wasiofikiria madhara kabla ya kuongea kabwabwaja kwamba Jerusalem ndio mji mkuu wa Israel na anahamishia ubalozi wake kule tofauti na tamko la UN, tofauti na EU na Africa hali iliyopelekea machufuko na mimia ya watu kuuawa kwa ajili ya tamko la mtu mmoja tu. Obama sio kwamba alikuwa hajui kwamba mji mkuu wa Israel ni Jerusalem lakini kwa ajili ya kuleta amani ili watu wasiuane alichagua Telaviv
Sasa kipi bora ukweli unaoleta machafuko na mauji au kutumia diplomasia ya mazungumzo inayoleta amani na furaha baina ya pande mbili au zaidi hasimu.
Ushauri wangu, kiongozi huwa anajua mambo mengi sana ya nchi kwa sababu analetewa taarifa xa kijiinterejensia na wanausalama lakini kiongozi hana budi kukaa na ukweli wake moyoni kama hauna faida kwa taifa, hana budi kukaa kimya kama ukweli wake ni wa kibaguzi dhidi ya makundi anayoyaongoza.
Amani na upendo kwanza
Ukweli usio na faida badae
LoveTz
Untill when kama unakiri kuwa Jerusalem ni capital city ya Israel? This has to come to an end, UKWELI usemwe! as long as ni ukweli! watu wauzoee ukweli.Mkuu Kimbakuli, karibu mtaa huu, hapa nimezungumzia hii hoja yako ya sio lazima kuusema kila ukweli unaousikia.
P.
Mkuu Baija, nchi inaongozwa kama familia, hata wewe ukiwa nyumbani, kama mtoto wa kiume unaejitambua, siku mama yenu amesafiri kwenda kijijini kwao kusalimia, huku nyuma baba akaingiza mgeni, na ukamuona. Kumbe yule mgeni aliacha chumbani kwa baba nguo yeke fulani, bila baba kujua, ama kwa kusahau kwa bahati mbaya ama kwa makusudi ili mwenye nyumba ajue hayuko peke yake.Paskali, mwanzoni nilidhani na wewe huwajui "Wasiojulikana" na Wasiojulikana. Lakini nimeacha imani hiyo. Unawajua wote wa aina mbili na ndo maana unakimbilia kukosoa thread yangu badala ya kujikita na maswali niliyouliza.
Nimesoma huku nacheka, japo sikuamini sana.Mkuu Baija, nchi inaongozwa kama familia, hata wewe ukiwa nyumbani, kama mtoto wa kiume unaejitambua, siku mama yenu amesafiri kwenda kijijini kwao kusalimia, huku nyuma baba akaingiza mgeni, na ukamuona. Kumbe yule mgeni aliacha chumbani kwa baba nguo yeke fulani, bila baba kujua, ama kwa kusahau kwa bahati mbaya ama kwa makusudi ili mwenye nyumba ajue hayuko peke yake.
Mama aliporudi, kukaibuka ugomvi mkubwa kati ya baba na mama kuhusu hiyo nguo imetoka wapi na imeachwa na nani?.
Baba kamwambia mama hamjui mwenye nguo hiyo wala hajui imeingiaje,labda watoto au msichana wa kazi alijichanganya.
Kwa vile wewe uliona picha nzima, jee utamweleza mama ukweli wa ulichoona?.
Hiyo ndio essence ya wasiojulikana hawa
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!. - JamiiForums
Kama baba amesema hajui nguo imefikaje, who are you kusema imefikaje?.
Kama yule aliyemshikia Nape bastola naye hajulikani mpaka leo anatafutwa na polisi, what are the chances kuwabaini julikana wa Lissu?.
Wana familia bora, wanamwamini baba mwenye nyumba, hata kama wewe ulimuona mgeni wa baba, lakini hukumshuhudia wakati akiivua hiyo nguo na kuiacha uvunguni mwa kitanda chumbani kwa baba, hivyo kama baba kasema hajui, then it migh be true, baba hajui, na hiyo nguo iliachwa siku nyingi nyuma na mgeni mwingine ambaye hata wewe hukumuona.
Hivyo sio lazima kuusema kila ukweli unaousikia.
P
Huhitaji kuwaamini binadamu, bali muamini Mungu tuu, kwa sisi binadamu hapa duniani, unachotakiwa sio kuamini bali kuukubali ukweli.Nimesoma huku nacheka, japo sikuamini sana.
Umeisahau kanuni ya ethical consideration?Mimi Paskali ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, na kanuni kuu ya mwana habari, (cardinal rule ni " tell the truth, no matter what!", hivyo mimi ni mtu mkweli daima, na ni muumini wa ile ahadi ya mwana TANU " Nitasema kweli daima, fitna kwangu mwiko", ila katika kuusema ukweli au kuandika ukweli, nasema na kuandika kwa kutumia responsible journalism kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa kwa kujiuliza jee ukweli huu ukisemwa, utajenga, au utabomoa?.
Kwenye hili sio kweliKwenye siasa za multipartisim duniani kote, kazi ya the opposition ni kupinga, kuopose kila kitu kinachofanywa na chama tawala hata kiwe ni kitu kizuri namna gani!, that is their right, kupinga, ndio maana wanaitwa wapinzani. Na serikali zote zinazoheshimu demokrasia ya kweli, lazima zikubali kupingwa.
Mkuu Zawadini, asante kunikumbusha hili neno, umenirudisha darasani kwenye darasa la journalism, kwamba katika kuusema ukweli, lazima uzingatie ethics za mahali ulipo, huo ukweli utakaousema. lazima uwe ethical, kitu kikiwa unethical, hata kama ni kweli sii lazima ukiseme!.Umeisahau kanuni ya ethical consideration?
Sii kweli kivipi?.Kwenye hili sio kweli
Mkuu vyama vya upinzani vipo/vinakuwepo kwa ajili ya kuikumbusha serikali/chama tawala kwa yale serikali ya chama tawala inachokifanya hasa inapokosea. Na kimsingi kinatakiwa/vinatakiwa kupongeza pale inapofanya vyema. Hufanya hivi wakiongojea nao kushika hatamu za serikali. Wenyewe wanaviita government in waiting. sio sahihi kusema vipo kupinga kila kitu. Ikitokea hivyo huenda wakawa wamesahau majukumu yao.Sii kweli kivipi?.
P
We ni kilaza uliebahatika kusomaMkuu Baija, nchi inaongozwa kama familia, hata wewe ukiwa nyumbani, kama mtoto wa kiume unaejitambua, siku mama yenu amesafiri kwenda kijijini kwao kusalimia, huku nyuma baba akaingiza mgeni, na ukamuona. Kumbe yule mgeni aliacha chumbani kwa baba nguo yeke fulani, bila baba kujua, ama kwa kusahau kwa bahati mbaya ama kwa makusudi ili mwenye nyumba ajue hayuko peke yake.
Mama aliporudi, kukaibuka ugomvi mkubwa kati ya baba na mama kuhusu hiyo nguo imetoka wapi na imeachwa na nani?.
Baba kamwambia mama hamjui mwenye nguo hiyo wala hajui imeingiaje,labda watoto au msichana wa kazi alijichanganya.
Kwa vile wewe uliona picha nzima, jee utamweleza mama ukweli wa ulichoona?.
Hiyo ndio essence ya wasiojulikana hawa
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!. - JamiiForums
Kama baba amesema hajui nguo imefikaje, who are you kusema imefikaje?.
Kama yule aliyemshikia Nape bastola naye hajulikani mpaka leo anatafutwa na polisi, what are the chances kuwabaini julikana wa Lissu?.
Wana familia bora, wanamwamini baba mwenye nyumba, hata kama wewe ulimuona mgeni wa baba, lakini hukumshuhudia wakati akiivua hiyo nguo na kuiacha uvunguni mwa kitanda chumbani kwa baba, hivyo kama baba kasema hajui, then it migh be true, baba hajui, na hiyo nguo iliachwa siku nyingi nyuma na mgeni mwingine ambaye hata wewe hukumuona.
Hivyo sio lazima kuusema kila ukweli unaousikia.
P
For this thread only umeondoa credibility yako for goodWe ni kilaza uliebahatika kusoma
I wonder how people can be this stupid !!!!
Mifano ya kitoto haina hata mashiko yani
Sasa hapa Tanzania hizo waiting govts zinafanya hayo uliyosema au VINASHINIKIZA maoni yao kukubalika?Mkuu
Mkuu vyama vya upinzani vipo/vinakuwepo kwa ajili ya kuikumbusha serikali/chama tawala kwa yale serikali ya chama tawala inachokifanya hasa inapokosea. Na kimsingi kinatakiwa/vinatakiwa kupongeza pale inapofanya vyema. Hufanya hivi wakiongojea nao kushika hatamu za serikali. Wenyewe wanaviita government in waiting. sio sahihi kusema vipo kupinga kila kitu. Ikitokea hivyo huenda wakawa wamesahau majukumu yao.