Swali la Uzalendo: What is The Magic of The Same Route? Precision Air Full Flight, ATCL Half Empty

The most important thing is leveraging the best from private sector without compromising the private sector.
 
Ila Umeongea ushubwada[emoji23][emoji23]..
 
Mimi Kama abiria napenda huduma ya Precision Air,kwa sababu linapozungumzwa neno MUDA"wanaelewa maana yake lakini, ATCL bado hawaelewi maana ya neno MUDA,Hata kama kuna breakdown PRECISION AIR wanatoa notification na apology on time,,ATCL Mambo yanaenda kibabe nauli iliyoandikwa sio hiyo utakayo ilipa Halafu kuna postipone za kushtukiza utaambiwa safari imehamishiwa kesho ☹️☹️🙁🙁wakati mambo yako inabidi uyamalize leo.

Mambo yangu mengi yameharibika kwa ajili ya ATCL na uzalendo nikaweka chini na kugeukia upande wa pili kwenye huduma ya uhakika, Inshort mkakati wa kibiashara haupo wanaliendesha shirika kisiasa na kwa sifa,.ukiangalia utendaji wake na jinsi linavyo sifiwa ni vitu viwili tofauti.
 
Paskal you need to think twice unaposema ATCL itabebwa na serikali, mara kwa mara mashirika ya ndege huwa mzigo mkubwa sana kwa serikali. Yale mashirika makubwa kama vile EMIRATES, Turkish airlines huwa yanapata msaada toka serikalini, Unafikiri serikali ya TZ itaibeba ATCL siku zote, Angalia South african airways inavyobebwa na serikali yao. Itafika kipindi ATCL nayo itakuwa mzigo mkubwa sana wa serikali hata kuubeba itashindwa matokeo yake ni kuubwaga chini
 
Mayala Pascal, Bila aibu naomba Precision ife! Nasema ife! Wakati ATCL haiko hewani, Precision walitumia vibaya sana monopoly ya kibiashara. Waliopandisha bei utadhani tunakwenda nje ya nchi. Walijiona wako safi sana wakati wana ndege kukuu sana. Kama ulikuwa mwangalifu kama mimi, ulikalia kiti chenye cushion cover ya plastic! Repaired several times! Kwangu mimi hata bila mashindano ya bei na bhla! bhla! za kunivutia kwa siku moja, Precision ni uamuzi wangu wa mwisho, ninapokosa ATCL. Siwezi kuacha ndege mpya nipande ndege iliyonunuliwa kwa mtu wa pili na wa tatu.

Route kubwa ya ndege kwa TZ ni Dar - MZ. Kilimanjaro -DAR ni ndogo na ndiko Precision walikoengemea. Ukitaka sababu ya Precision kuegemea huko tutajadili lakini Mwanza wanavizia masaa fulani tu! Let them die.
 
Heee,hiyo ya kubadirisiwa siti imeniboaaa! Mbona gani hayo,duh!
 
Wafanyieni kama mlivyomfanya Masha na FastJet yake
 
waache wanaoijua hii busness wajadili,wewe upakie abilia wachache uende sawa na alie jaza na route ni moja?that is magic.the law of large number will put ATCL out of busness.Ukiwa na wateja wengi hata ukapunguza gharama itakulipa tu ukiwa na wateja wachahche itakulazimu upandishe gharama ili kumit running costs.Unless uwe funded by other sources.
 
Sio kila business ni ya class ya watu wa aina moja mfano soda mitaani ni shilingi 500 hoteli ya kitalii shilingi elfu tatu
Anataka customer wachache material

Huwezi kwenda kujitia ohh Mimi ni business advisor nakushauri wewe mwenye hotel ya kitalii shusha bei yako ya soda uuze sana

Mfano uliotoa hauna mantiki
 
ATCL wamemkuta Precision Air kwenye route zake. Kuomba muda wa kuruka sawa sawa na Precision Air ni kuihujumu Precision Air. Na kama kuna jambo litakuja kuiua kabisa ATCL ni pale serikali itakapoamua kuibeba. ATCL wajiulize wanakwama wapi?
 
Jiulize kwa nini mtaani kwako hakuna wakala wa T-Pesa;serikali ya huyu mchunga ng'ombe mwenzako sijui lini itajua kuwa biashara haiendi hivyo wanavyotaka tuende
Meneja wa TTCL naye atasoma hii comment yako na atachekelea kwa sababu ya kipande cha mwisho cha sentensi yako!
 
Wareport precision air nao wafukuzwe kama fastjet. Kinachoangaliwa si zero competition?!
Hapo umemgusa Paskali,na ndio lengo lake kutoa taarifa na ushauri kuona namna ya kuwadhibiti Precision Air.Ni rahisi sana kuzisoma hisia za Paskali,ukisoma tu heading ya bandiko lake.
Nchi ya wazandiki
 
so you mean ATCL ni shirika la kifahari linataka wateja pontential tu? Ni lini wametangaza kupata faida na ikathibitika wapeta faida.Piga hesabu ndogo tu wewe unauza hiyo soda 1000 unauza kwa watu kumi na mwingine anauza 500 akauza kwa watu nani anapata faida?Hakuja wahi kuwepo business inayotamani kuwa wateja wachache.Labda mimi ni mshamaba sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…