Makwachinga
Member
- Jul 29, 2015
- 50
- 45
Wapunguze nauli, nauli zipo juu Sana.Je, customer care?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapunguze nauli, nauli zipo juu Sana.Je, customer care?
ATCL nauli zipo juu kuliko precisian air? tetetete, ni poor customer care + ubabe wa watumishi wakeWapunguze nauli, nauli zipo juu Sana.
Ila Umeongea ushubwada[emoji23][emoji23]..Lengo la ndege sidhani kama ni kujaza tu abiria chukulia ATCL mepakia abiria 50 kwa laki nne nauli hapo ni milioni 20
PRESSISION AIR akapakia kwa nauli ya elfu sitini abiria 100 atapata milioni sita nani zaidi hapo?
ATCL kamzidi kwa milioni 14 nzima
Wanabodi,
Japo hoja hii inge fit best kwenye Jukwaa la Habari Mchanganyanyiko, lakini kwa vile hii ni issue ya political economy ya uchumi wa nchi, nimeshuka nayo kwenye Jukwa la Siasa.
Naomba nianze na declaration ya uzalendo, mimi ni mdau mkubwa wa Shirika letu la Ndege, ATCL, hivyo ukiozungumzia tatizo lolote la ATCL, unaweza kuonekana sio Mzalendo.
Sasa wakati we are talking off now, naomba nikuache na huu uthibitisho wa uzalendo wangu kwa ATCL
Paskali
Update
Continuation...
The Story Behind.
Siku ya Ijumaa niliongea na mdau wangu muhimu aitwae Abdul Malik Mollel mwenye Global Education Link GEL, wakala Mkuu wa vyuo vya nje Tanzania. Alikuwa na shughuli yake ya kifamilia itakayo fanyika Jumamosi, Mt. Meru Hotel.
Nikaamua kumjoin, kitu cha kwanza ni usafiri hivyo nikatembelea bookings za ATCL na Precision Air ku book a return ticket.
Nikakuta Precision Air wana offer fulani, nika book my return ticket with Precision Air, flight ya saa 9:00, kufika saa 10:00, shughuli ni saa 12:00 jioni. Reporting time ni saa 7.
Kwa vile ni Jumamosi, sio siku ya kazi, nikajua hakuna foleni, hivyo nikaamsha saa 6:00. Huwezi amini nikakutana na foleni ya ajabu njiani. Reporting time ikanikutia njiani.
Kufika Airport ni saa 8:30, check in window inafungwa 40 min before take off!, bembeleza, bembeleza na wewe!, no way!.
Wakaniambia their next flight ni saa 19:30hrs usiku kufika saa 21:hrs, nitakuta shughuli imekwisha. Hivyo nikaamua kucheki ATCL, nikakuta, wana flight saa 18:00,hrs kufika 19:00hrs. Hivyo nikaamua ku board ATCL kwenda lakini nitarudi na ile booking yangu ya Precision Air.
Kweli saa 18:00hrs tukaruka na ATCL, ndege ya Bombardier Q400, ndege ilikuwa half full or half empty!. Bei zao ni nzuri, na sasa wanatoa bites na drinks. Kitendo cha our national flag carrier, kidenge chenyewe ni Bombardier to fly half empty, kwa route ya JRO kwa watu wenye pesa!, ile midege ya Airbus na Dreamliner itajaa kweli au zinaozea kwenye parking?. What is wrong hadi ndege zetu hazijai?!.
Sasa leo narudi na Precision Air, ndege yake ya ATR from JRO to Dar, it's full!. Flight time ya ATCL na Precision is almost the same, kwanini ndege yetu ya umma iruke half empty, halafu a private flight, Precision Air, ijae!. What is the Magic behind?. Hili la kurusha ndege mbili za mashirika mawili shindani on the same direction at the same times, sio kuleta hasara kwa both of them?. Kitakacho kuja kutokea in a near future, ni ATCL itabebwa, ita survive, Precision Air will just die a natural death na leaves behind ATCL kutawala a domestic market, na with no competition, hapa sasa ndipo mapembe yatachomoza na kitakacho fuata ni kilio na kusaga meno kwa Wasafiri wa Ndege wa Tanzania on domestic routes.
Ili mashirika yote mawili yajiendeshe kwa faida, kuwepo a standardized fares, kama ATC is half empty, abiria hao wakajaze Precision na abiria wa Precision Air wafaulishwe kwenye ATCL, hivyo kurusha ndege moja full na kugawana mapato kuliko nsidege mbili half empty wote wawili mnakula hasara!.
Paskali
Rejea
Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136!
Wanabodi, Makali ya Uchumi wa Magufuli, yanazidi kukaza, leo shirika la ndege la Precision Air, limepunguza wafanyakazi 136 wakiwemo cabin crew 10!. Najua wengi humu mtasema hali hii imechangiwa na kufufuka kwa ATCL na ushindani toka Fastjet, lakini this is not the case, nimepanda zote, ATCL...www.jamiiforums.com
ATCL kufufuka kisasa zaidi, kwa nguvu zaidi -- na kutawala tena soko!
Wanabodi, Lile Shirika letu la Ndege, ATCL, lililokuwa mkao wa kifo, baada ya kuwa hoi bin taaban huku jeneza la kuizika rasmi likiwa limeishaandaliwa, hatimaye sasa litafufuka, kwa kuibuka kisasa zaidi, kwa nguvu zaidi na kurejea katika utawala wa soko la biashara ya ndege nchini (regain the...www.jamiiforums.com
Usafiri wa Anga: Jee Tunaibiwa Au...?!.
Wanabodi, Kuna hili nimelishuhudia kwenye usafiri wetu wa anga wa kimataifa, ndio maana nauliza ni tunaibiwa, au tunasaidiwa kwa sababu wenyewe hatuwezi?. Kwenye usafiri huu wa kimataifa, kila nchi inapewa haki ya international routes na protection ya local routes ili kulinda mashirika ya nchi...www.jamiiforums.com
Je, ATCL inahujumiwa kibiashara? Tutumie a political will kuinusuru au tuiache iangamizwe na ushindani?
Wanabodi, Declaration of Interest Kuhusu Uzalendo. Naomba ku declare interest yangu kuhusu uzalendo wangu kwa nchi yangu, kwa sababu, ukiibua hoja yoyote humu, kuhusu utendaji usioridhisha wa mashirika yetu ya umma ya kizalendo, utanyooshewa vidole kwa kutuhumiwa wewe sio mzalendo. Ile siku...www.jamiiforums.com
ATC Sasa Yaanza Kuleta Heshima ya Nchi, Yapunguza Tanzania Kufanywa Shamba la Bibi, FastJet Yapumulia Mashine, Soon Itafungasha Virago!.
Wanabodi, Japo mimi ni miongoni mwa wale tuliopinga ununuzi wa ndege kwa cash money, na serikali yetu kufanya matumizi makubwa kama haya ya manunuzi makubwa kwa kutumia fedha za umma bila idhini ya Bunge, kwa sababu fedha za umma zinaongozwa na sheria, taratibu na kanuni, mtu hata ukiwa nani...www.jamiiforums.com
fNdege ya ATCL yachelewa kuondoka ndani ya muda; watoa ufafanuzi!
Wanabodi, Leo nikiwa abiria wa ndege yetu kwenda Bukoba, ndege imecheleweshwa for 45 good minutes kwa sababu zilizo nje ya uwezo wa ATCL, ikiwemo baadhi ya abiria, ambao walifika on time, akiwemo waziri mmoja, lakini wakajikuta wakicheleweshwa kucheck in, kulikopelekea ndege kuchelewa kidogo...www.jamiiforums.com
Wanabodi,
Japo hoja hii inge fit best kwenye Jukwaa la Habari Mchanganyanyiko, lakini kwa vile hii ni issue ya political economy ya uchumi wa nchi, nimeshuka nayo kwenye Jukwa la Siasa.
Naomba nianze na declaration ya uzalendo, mimi ni mdau mkubwa wa Shirika letu la Ndege, ATCL, hivyo ukiozungumzia tatizo lolote la ATCL, unaweza kuonekana sio Mzalendo.
Sasa wakati we are talking off now, naomba nikuache na huu uthibitisho wa uzalendo wangu kwa ATCL
Paskali
Update
Continuation...
The Story Behind.
Siku ya Ijumaa niliongea na mdau wangu muhimu aitwae Abdul Malik Mollel mwenye Global Education Link GEL, wakala Mkuu wa vyuo vya nje Tanzania. Alikuwa na shughuli yake ya kifamilia itakayo fanyika Jumamosi, Mt. Meru Hotel.
Nikaamua kumjoin, kitu cha kwanza ni usafiri hivyo nikatembelea bookings za ATCL na Precision Air ku book a return ticket.
Nikakuta Precision Air wana offer fulani, nika book my return ticket with Precision Air, flight ya saa 9:00, kufika saa 10:00, shughuli ni saa 12:00 jioni. Reporting time ni saa 7.
Kwa vile ni Jumamosi, sio siku ya kazi, nikajua hakuna foleni, hivyo nikaamsha saa 6:00. Huwezi amini nikakutana na foleni ya ajabu njiani. Reporting time ikanikutia njiani.
Kufika Airport ni saa 8:30, check in window inafungwa 40 min before take off!, bembeleza, bembeleza na wewe!, no way!.
Wakaniambia their next flight ni saa 19:30hrs usiku kufika saa 21:hrs, nitakuta shughuli imekwisha. Hivyo nikaamua kucheki ATCL, nikakuta, wana flight saa 18:00,hrs kufika 19:00hrs. Hivyo nikaamua ku board ATCL kwenda lakini nitarudi na ile booking yangu ya Precision Air.
Kweli saa 18:00hrs tukaruka na ATCL, ndege ya Bombardier Q400, ndege ilikuwa half full or half empty!. Bei zao ni nzuri, na sasa wanatoa bites na drinks. Kitendo cha our national flag carrier, kidenge chenyewe ni Bombardier to fly half empty, kwa route ya JRO kwa watu wenye pesa!, ile midege ya Airbus na Dreamliner itajaa kweli au zinaozea kwenye parking?. What is wrong hadi ndege zetu hazijai?!.
Sasa leo narudi na Precision Air, ndege yake ya ATR from JRO to Dar, it's full!. Flight time ya ATCL na Precision is almost the same, kwanini ndege yetu ya umma iruke half empty, halafu a private flight, Precision Air, ijae!. What is the Magic behind?. Hili la kurusha ndege mbili za mashirika mawili shindani on the same direction at the same times, sio kuleta hasara kwa both of them?. Kitakacho kuja kutokea in a near future, ni ATCL itabebwa, ita survive, Precision Air will just die a natural death na leaves behind ATCL kutawala a domestic market, na with no competition, hapa sasa ndipo mapembe yatachomoza na kitakacho fuata ni kilio na kusaga meno kwa Wasafiri wa Ndege wa Tanzania on domestic routes.
Ili mashirika yote mawili yajiendeshe kwa faida, kuwepo a standardized fares, kama ATC is half empty, abiria hao wakajaze Precision na abiria wa Precision Air wafaulishwe kwenye ATCL, hivyo kurusha ndege moja full na kugawana mapato kuliko ndege mbili half empty wote wawili mnakula hasara!.

Ndege ya ATCL yachelewa kuondoka ndani ya muda; watoa ufafanuzi!

Wewe si ndiyo upo CCM unatuliza tena badala ya kumuuliza Bashiru au Mwenyekiti wako!
Heee,hiyo ya kubadirisiwa siti imeniboaaa! Mbona gani hayo,duh!Watakujibu, Ila ninachokijua kila kampuni ina market strategy yake. Precision kwa sisi ambao hatufanyi serikalini huwa wanatuletea through travel agency package za kuridhisha including rewarding program ambako ATCL sijaona labda wanapeleka kwa mashirika yao ya umma. Kingine ni hiyo unaweza ukakuta ndege inapeleka viongozi wa serikali nyie mnawekwa Pembeni.
Mi kuna siku naenda Dodoma niko viti vya mbele kutokana na ticket yangu wakati wa ku board tukabadilishiwa siti zetu na kuwekwa nyuma bila apologies yaani I was so disappointed mpaka one of my colleague akampigia simu one of ATCL manager wanafuatia hicho kitu ndio aka apologise. So ATCL isijiendeshe kama hawana business plan na market strategy.
Labda umma na kisuPrecision air ni public listed company
Na wao ni shirika la umma pia
Wanabodi,
Japo hoja hii inge fit best kwenye Jukwaa la Habari Mchanganyanyiko, lakini kwa vile hii ni issue ya political economy ya uchumi wa nchi, nimeshuka nayo kwenye Jukwa la Siasa.
Naomba nianze na declaration ya uzalendo, mimi ni mdau mkubwa wa Shirika letu la Ndege, ATCL, hivyo ukiozungumzia tatizo lolote la ATCL, unaweza kuonekana sio Mzalendo.
Sasa wakati we are talking off now, naomba nikuache na huu uthibitisho wa uzalendo wangu kwa ATCL
Paskali
Update
Continuation...
The Story Behind.
Siku ya Ijumaa niliongea na mdau wangu muhimu aitwae Abdul Malik Mollel mwenye Global Education Link GEL, wakala Mkuu wa vyuo vya nje Tanzania. Alikuwa na shughuli yake ya kifamilia itakayo fanyika Jumamosi, Mt. Meru Hotel.
Nikaamua kumjoin, kitu cha kwanza ni usafiri hivyo nikatembelea bookings za ATCL na Precision Air ku book a return ticket.
Nikakuta Precision Air wana offer fulani, nika book my return ticket with Precision Air, flight ya saa 9:00, kufika saa 10:00, shughuli ni saa 12:00 jioni. Reporting time ni saa 7.
Kwa vile ni Jumamosi, sio siku ya kazi, nikajua hakuna foleni, hivyo nikaamsha saa 6:00. Huwezi amini nikakutana na foleni ya ajabu njiani. Reporting time ikanikutia njiani.
Kufika Airport ni saa 8:30, check in window inafungwa 40 min before take off!, bembeleza, bembeleza na wewe!, no way!.
Wakaniambia their next flight ni saa 19:30hrs usiku kufika saa 21:hrs, nitakuta shughuli imekwisha. Hivyo nikaamua kucheki ATCL, nikakuta, wana flight saa 18:00,hrs kufika 19:00hrs. Hivyo nikaamua ku board ATCL kwenda lakini nitarudi na ile booking yangu ya Precision Air.
Kweli saa 18:00hrs tukaruka na ATCL, ndege ya Bombardier Q400, ndege ilikuwa half full or half empty!. Bei zao ni nzuri, na sasa wanatoa bites na drinks. Kitendo cha our national flag carrier, kidenge chenyewe ni Bombardier to fly half empty, kwa route ya JRO kwa watu wenye pesa!, ile midege ya Airbus na Dreamliner itajaa kweli au zinaozea kwenye parking?. What is wrong hadi ndege zetu hazijai?!.
Sasa leo narudi na Precision Air, ndege yake ya ATR from JRO to Dar, it's full!. Flight time ya ATCL na Precision is almost the same, kwanini ndege yetu ya umma iruke half empty, halafu a private flight, Precision Air, ijae!. What is the Magic behind?. Hili la kurusha ndege mbili za mashirika mawili shindani on the same direction at the same times, sio kuleta hasara kwa both of them?. Kitakacho kuja kutokea in a near future, ni ATCL itabebwa, ita survive, Precision Air will just die a natural death na leaves behind ATCL kutawala a domestic market, na with no competition, hapa sasa ndipo mapembe yatachomoza na kitakacho fuata ni kilio na kusaga meno kwa Wasafiri wa Ndege wa Tanzania on domestic routes.
Ili mashirika yote mawili yajiendeshe kwa faida, kuwepo a standardized fares, kama ATC is half empty, abiria hao wakajaze Precision na abiria wa Precision Air wafaulishwe kwenye ATCL, hivyo kurusha ndege moja full na kugawana mapato kuliko ndege mbili half empty wote wawili mnakula hasara!.
Paskali
Rejea
Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136!
Wanabodi, Makali ya Uchumi wa Magufuli, yanazidi kukaza, leo shirika la ndege la Precision Air, limepunguza wafanyakazi 136 wakiwemo cabin crew 10!. Najua wengi humu mtasema hali hii imechangiwa na kufufuka kwa ATCL na ushindani toka Fastjet, lakini this is not the case, nimepanda zote, ATCL...www.jamiiforums.com
ATCL kufufuka kisasa zaidi, kwa nguvu zaidi -- na kutawala tena soko!
Wanabodi, Lile Shirika letu la Ndege, ATCL, lililokuwa mkao wa kifo, baada ya kuwa hoi bin taaban huku jeneza la kuizika rasmi likiwa limeishaandaliwa, hatimaye sasa litafufuka, kwa kuibuka kisasa zaidi, kwa nguvu zaidi na kurejea katika utawala wa soko la biashara ya ndege nchini (regain the...www.jamiiforums.com
Usafiri wa Anga: Jee Tunaibiwa Au...?!.
Wanabodi, Kuna hili nimelishuhudia kwenye usafiri wetu wa anga wa kimataifa, ndio maana nauliza ni tunaibiwa, au tunasaidiwa kwa sababu wenyewe hatuwezi?. Kwenye usafiri huu wa kimataifa, kila nchi inapewa haki ya international routes na protection ya local routes ili kulinda mashirika ya nchi...www.jamiiforums.com
Je, ATCL inahujumiwa kibiashara? Tutumie a political will kuinusuru au tuiache iangamizwe na ushindani?
Wanabodi, Declaration of Interest Kuhusu Uzalendo. Naomba ku declare interest yangu kuhusu uzalendo wangu kwa nchi yangu, kwa sababu, ukiibua hoja yoyote humu, kuhusu utendaji usioridhisha wa mashirika yetu ya umma ya kizalendo, utanyooshewa vidole kwa kutuhumiwa wewe sio mzalendo. Ile siku...www.jamiiforums.com
ATC Sasa Yaanza Kuleta Heshima ya Nchi, Yapunguza Tanzania Kufanywa Shamba la Bibi, FastJet Yapumulia Mashine, Soon Itafungasha Virago!.
Wanabodi, Japo mimi ni miongoni mwa wale tuliopinga ununuzi wa ndege kwa cash money, na serikali yetu kufanya matumizi makubwa kama haya ya manunuzi makubwa kwa kutumia fedha za umma bila idhini ya Bunge, kwa sababu fedha za umma zinaongozwa na sheria, taratibu na kanuni, mtu hata ukiwa nani...www.jamiiforums.com
Ndege ya ATCL yachelewa kuondoka ndani ya muda; watoa ufafanuzi!
Wanabodi, Leo nikiwa abiria wa ndege yetu kwenda Bukoba, ndege imecheleweshwa for 45 good minutes kwa sababu zilizo nje ya uwezo wa ATCL, ikiwemo baadhi ya abiria, ambao walifika on time, akiwemo waziri mmoja, lakini wakajikuta wakicheleweshwa kucheck in, kulikopelekea ndege kuchelewa kidogo...www.jamiiforums.com
Noted[emoji16][emoji16]ndo hapo
waache wanaoijua hii busness wajadili,wewe upakie abilia wachache uende sawa na alie jaza na route ni moja?that is magic.the law of large number will put ATCL out of busness.Ukiwa na wateja wengi hata ukapunguza gharama itakulipa tu ukiwa na wateja wachahche itakulazimu upandishe gharama ili kumit running costs.Unless uwe funded by other sources.Lengo la ndege sidhani kama ni kujaza tu abiria chukulia ATCL mepakia abiria 50 kwa laki nne nauli hapo ni milioni 20
PRESSISION AIR akapakia kwa nauli ya elfu sitini abiria 100 atapata milioni sita nani zaidi hapo?
ATCL kamzidi kwa milioni 14 nzima
Sio kila business ni ya class ya watu wa aina moja mfano soda mitaani ni shilingi 500 hoteli ya kitalii shilingi elfu tatuwaache wanaoijua hii busness wajadili,wewe upakie abilia wachache uende sawa naIo alie jaza na route ni moja?that is magic.the law of large number will put ATCL out of busness.Ukiwa na wateja wengi hata ukapunguza gharama itakulipa tu ukiwa na wateja wachahche itakulazimu upandishe gharama ili kumit running costs.Unless uwe funded by other sources.
Wanabodi,
Japo hoja hii inge fit best kwenye Jukwaa la Habari Mchanganyanyiko, lakini kwa vile hii ni issue ya political economy ya uchumi wa nchi, nimeshuka nayo kwenye Jukwa la Siasa.
Naomba nianze na declaration ya uzalendo, mimi ni mdau mkubwa wa Shirika letu la Ndege, ATCL, hivyo ukiozungumzia tatizo lolote la ATCL, unaweza kuonekana sio Mzalendo.
Sasa wakati we are talking off now, naomba nikuache na huu uthibitisho wa uzalendo wangu kwa ATCL
Paskali
Update
Continuation...
The Story Behind.
Siku ya Ijumaa niliongea na mdau wangu muhimu aitwae Abdul Malik Mollel mwenye Global Education Link GEL, wakala Mkuu wa vyuo vya nje Tanzania. Alikuwa na shughuli yake ya kifamilia itakayo fanyika Jumamosi, Mt. Meru Hotel.
Nikaamua kumjoin, kitu cha kwanza ni usafiri hivyo nikatembelea bookings za ATCL na Precision Air ku book a return ticket.
Nikakuta Precision Air wana offer fulani, nika book my return ticket with Precision Air, flight ya saa 9:00, kufika saa 10:00, shughuli ni saa 12:00 jioni. Reporting time ni saa 7.
Kwa vile ni Jumamosi, sio siku ya kazi, nikajua hakuna foleni, hivyo nikaamsha saa 6:00. Huwezi amini nikakutana na foleni ya ajabu njiani. Reporting time ikanikutia njiani.
Kufika Airport ni saa 8:30, check in window inafungwa 40 min before take off!, bembeleza, bembeleza na wewe!, no way!.
Wakaniambia their next flight ni saa 19:30hrs usiku kufika saa 21:hrs, nitakuta shughuli imekwisha. Hivyo nikaamua kucheki ATCL, nikakuta, wana flight saa 18:00,hrs kufika 19:00hrs. Hivyo nikaamua ku board ATCL kwenda lakini nitarudi na ile booking yangu ya Precision Air.
Kweli saa 18:00hrs tukaruka na ATCL, ndege ya Bombardier Q400, ndege ilikuwa half full or half empty!. Bei zao ni nzuri, na sasa wanatoa bites na drinks. Kitendo cha our national flag carrier, kidenge chenyewe ni Bombardier to fly half empty, kwa route ya JRO kwa watu wenye pesa!, ile midege ya Airbus na Dreamliner itajaa kweli au zinaozea kwenye parking?. What is wrong hadi ndege zetu hazijai?!.
Sasa leo narudi na Precision Air, ndege yake ya ATR from JRO to Dar, it's full!. Flight time ya ATCL na Precision is almost the same, kwanini ndege yetu ya umma iruke half empty, halafu a private flight, Precision Air, ijae!. What is the Magic behind?. Hili la kurusha ndege mbili za mashirika mawili shindani on the same direction at the same times, sio kuleta hasara kwa both of them?. Kitakacho kuja kutokea in a near future, ni ATCL itabebwa, ita survive, Precision Air will just die a natural death na leaves behind ATCL kutawala a domestic market, na with no competition, hapa sasa ndipo mapembe yatachomoza na kitakacho fuata ni kilio na kusaga meno kwa Wasafiri wa Ndege wa Tanzania on domestic routes.
Ili mashirika yote mawili yajiendeshe kwa faida, kuwepo a standardized fares, kama ATC is half empty, abiria hao wakajaze Precision na abiria wa Precision Air wafaulishwe kwenye ATCL, hivyo kurusha ndege moja full na kugawana mapato kuliko ndege mbili half empty wote wawili mnakula hasara!.
Paskali
Rejea
Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136!
Wanabodi, Makali ya Uchumi wa Magufuli, yanazidi kukaza, leo shirika la ndege la Precision Air, limepunguza wafanyakazi 136 wakiwemo cabin crew 10!. Najua wengi humu mtasema hali hii imechangiwa na kufufuka kwa ATCL na ushindani toka Fastjet, lakini this is not the case, nimepanda zote, ATCL...www.jamiiforums.com
ATCL kufufuka kisasa zaidi, kwa nguvu zaidi -- na kutawala tena soko!
Wanabodi, Lile Shirika letu la Ndege, ATCL, lililokuwa mkao wa kifo, baada ya kuwa hoi bin taaban huku jeneza la kuizika rasmi likiwa limeishaandaliwa, hatimaye sasa litafufuka, kwa kuibuka kisasa zaidi, kwa nguvu zaidi na kurejea katika utawala wa soko la biashara ya ndege nchini (regain the...www.jamiiforums.com
Usafiri wa Anga: Jee Tunaibiwa Au...?!.
Wanabodi, Kuna hili nimelishuhudia kwenye usafiri wetu wa anga wa kimataifa, ndio maana nauliza ni tunaibiwa, au tunasaidiwa kwa sababu wenyewe hatuwezi?. Kwenye usafiri huu wa kimataifa, kila nchi inapewa haki ya international routes na protection ya local routes ili kulinda mashirika ya nchi...www.jamiiforums.com
Je, ATCL inahujumiwa kibiashara? Tutumie a political will kuinusuru au tuiache iangamizwe na ushindani?
Wanabodi, Declaration of Interest Kuhusu Uzalendo. Naomba ku declare interest yangu kuhusu uzalendo wangu kwa nchi yangu, kwa sababu, ukiibua hoja yoyote humu, kuhusu utendaji usioridhisha wa mashirika yetu ya umma ya kizalendo, utanyooshewa vidole kwa kutuhumiwa wewe sio mzalendo. Ile siku...www.jamiiforums.com
ATC Sasa Yaanza Kuleta Heshima ya Nchi, Yapunguza Tanzania Kufanywa Shamba la Bibi, FastJet Yapumulia Mashine, Soon Itafungasha Virago!.
Wanabodi, Japo mimi ni miongoni mwa wale tuliopinga ununuzi wa ndege kwa cash money, na serikali yetu kufanya matumizi makubwa kama haya ya manunuzi makubwa kwa kutumia fedha za umma bila idhini ya Bunge, kwa sababu fedha za umma zinaongozwa na sheria, taratibu na kanuni, mtu hata ukiwa nani...www.jamiiforums.com
Ndege ya ATCL yachelewa kuondoka ndani ya muda; watoa ufafanuzi!
Wanabodi, Leo nikiwa abiria wa ndege yetu kwenda Bukoba, ndege imecheleweshwa for 45 good minutes kwa sababu zilizo nje ya uwezo wa ATCL, ikiwemo baadhi ya abiria, ambao walifika on time, akiwemo waziri mmoja, lakini wakajikuta wakicheleweshwa kucheck in, kulikopelekea ndege kuchelewa kidogo...www.jamiiforums.com
Meneja wa TTCL naye atasoma hii comment yako na atachekelea kwa sababu ya kipande cha mwisho cha sentensi yako!Jiulize kwa nini mtaani kwako hakuna wakala wa T-Pesa;serikali ya huyu mchunga ng'ombe mwenzako sijui lini itajua kuwa biashara haiendi hivyo wanavyotaka tuende
Hapo umemgusa Paskali,na ndio lengo lake kutoa taarifa na ushauri kuona namna ya kuwadhibiti Precision Air.Ni rahisi sana kuzisoma hisia za Paskali,ukisoma tu heading ya bandiko lake.Wareport precision air nao wafukuzwe kama fastjet. Kinachoangaliwa si zero competition?!
so you mean ATCL ni shirika la kifahari linataka wateja pontential tu? Ni lini wametangaza kupata faida na ikathibitika wapeta faida.Piga hesabu ndogo tu wewe unauza hiyo soda 1000 unauza kwa watu kumi na mwingine anauza 500 akauza kwa watu nani anapata faida?Hakuja wahi kuwepo business inayotamani kuwa wateja wachache.Labda mimi ni mshamaba sanaSio kila business ni ya class ya watu wa aina moja mfano soda mitaani ni shilingi 500 hoteli ya kitalii shilingi elfu tatu
Anataka customer wachache material
Huwezi kwenda kujitia ohh Mimi ni business advisor nakushauri wewe mwenye hotel ya kitalii shusha bei yako ya soda uuze sana
Mfano uliotoa hauna mantiki
Ndioso you mean ATCL ni shirika la kifahari linataka wateja pontential tu?