Swali la Uzalendo: What is The Magic of The Same Route? Precision Air Full Flight, ATCL Half Empty

Sasa leo narudi na Precision Air, ndege yake ya ATR from JRO to Dar, it's full!. Flight time ya ATCL na Precision is almost the same, kwanini ndege yetu ya umma iruke half empty, halafu a private flight, Precision Air, ijae
Sijamaliza kusoma story, lakini ngoja nami nikudokeze nilichokina:

Tarehe 27 Oct, nilisafiri na ATCL kutoma mwanza to dsm, wakati wa booking online taarifa ilikuwa inaonesha kiwa bado nafasi mbili, nilitegemea nikute ndege imejaa au iwe na only one seat empty, ukweli haikuwa hivyo, niliona more than six empty seats. Nili book kutoka dsm tarehe 29 oct flight ya asubuhi. Baadae nikapata issue ya kufanya siku hiyo , so , nika enda dsm eaport ku change ili niondoke jioni, nikaambiwa niongeze 90,000, nika ghairi nikaona niondoke tarehe 30 asubuhi, nikaambiwa niongeze 70,000- i thought wanani oveecharge because kuna demand kubwa, ajabu kesho nilipoboard, ndege ilikuwa half full

Najiuliza, kwanini bei inakuwa juu wakati wako halffull⁉️
 
Naomba nikiri, mimi sio mtaalamu wa mauzo ya ticket za ndege, ila nime-train na ku-practices mauzo ya bidhaa na huduma kupitia kampuni kadhaa.

Kuna wakati bei ya huduma inakuwa msingi wa mauzo ili kupata faida ya moja kwa moja; hapo bei inaweza isishuke hata sh. 100

Kuna nyakati unashusha bei ili kuondoa bidhaa au huduma itoke ili kuvutia ujio wa kitu kipya.

Kuna wakati unalegeza bei ili kupenya sokoni, wateja wajue utamu na ubora wa huduma au bidhaa unayouza ili kutengeneza brand loyalty.

Msingi wa hoja zangu, marketing should be very very dynamic and not static.

Kama kuna wateja wanaenda point B na booking ya seats haijajaa, kwanini bei isilengezwe ili kuwavutia wateja kununua huduma?

Kuna bahati "sijui niipe jina gani" ambayo ATC, TRA, TBS, BRELA, NEMC, TIC, BOT, Treasury na....

Hawa wote wanapata mshahara tarehe 23 au 24 au 25 vyovyote vile bila kujali mauzo ya bidhaa au huduma;
Kubwa katika yote bila kuja customers satisfaction ili mteja "nawakubali" kwa ubora ikiwamo kuwa na promotions hasa kwa mashirika ya kibiashara.

Naomba isionekane mambo haya yameanza awamu ya 5; nataka ifahamike mambo haya yameanza zamani na kuna watu hasa ofisi za serikali "kujiona" as wao wako so privileged.

Kujisahau huku kunapelekea innovation kuwa very low na ukipima output ya productivity, creation of new products and services haiendani na kasi ya dunia.

Haina maana kuchulia poa ndege kusafiri half full then inaonekana kawaida.

Fastjet akiwa anatamba peke yake, alikuwa ana ujeuri, hakubali mizigo, hàtoi chai, kubadilisha ticket ni sawa na kununua nyingine mpya; siku kaja ATC wateja waliachana nae maana walikuwa washamchoka.

ATC, msijenge taswira ambayo mtatufanya Watanzania tutamani "anajae" huenda akakidhi shauku za wateja wenu hapa Tanzania.

Heri ya mwaka mpya wakuu.
 
Tayari figisu zimeshafanyika
 

Attachments

  • Screenshot_20210104-151438_Twitter.jpg
    76.9 KB · Views: 6
  • IMG_20210104_151423.png
    23.4 KB · Views: 6
Tatizo ni magu kuingiza chuki binafsi kwenye unafiri wa anga, kama alivyo apa kuangamiza upinzani pia ameapa kuiua Precision Air na biashara nyingine kubwa za watu flani asiowapenda.ATCL itakufa by 2025 huku PA ikibaki angani. Until then tuebdelee kutawaliwa ki-imla.
 
"Dua la kuku halimfikii mwewe"
 
PLC

Wachache sana tunajua hii.

Hata Jiwe hajui hili..
Unakuta ATCL inapewa upendeleo huku precision inahujumiwa..

Au Serikali inataka taasisi za umma ziweke hela BOT wakati wakipewa mgao wa faida na NMB wanatangaza..hawajui Nmb nayo ni public owned na serikali ina hisa moja Kwa moja
 
PW Wana code share na KQ na Etihad
 
Mkuu Gama , nadhani kuna tatizo fulani kwenye mfumo wa online booking ya ATCL, kuna kitu kiliwahi nikuta, nikawashauri, badala ya ndege kusafiri half empty, bora wafanye over booking.
Nisome hapa
P
 
ATCL sipandi hata bure! Nili book flight 8pm ZNZ-DAR ilitakiwa ichukue dak20 mwisho wa siku nikaambiwa nitafika Dar siku ya pili 9am yaani masaa 13 baadae via KIA na ENT. Nikapanda boti siku ya oili 7am saa 8.30am niko Dar Posta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…