Ukitumia jicho la tai, baada ya kufeli yale mapinduzi ya Oktoba 29 chini ya kivuli cha maandamano, kilichofanyika na kinachofanyika ni CLEAN UP!!!!!!!
Vifo vilitokea na vitaendelea kutokea plus wahusika wote kufikishwa mahakamani kama njia ya kifo ikishindikana. Lengo nafikiri ni kutoa LESSON!!!!!!!!!!!
Jichooooo laaa mbaaaliii saaanaa....isije kuwa michezo aende CDM kuimarisha upunzani fake wapate pesa na kutambuliwa kuwa kuna democracy???...1995 ya LYAYONGA....
Anafanya kitu kinaitwa “guilt tripping “emotional manipulation ya kufanya mtu au watu Wahisi au kujisikia vibaya kwa sababu kwa kumkosea mtu lengo la hii mbinu ni kucontrol au ku influence tabia ya mtu au watu hivyo kukwepa kuwajibika au kuwajibishwa..Hii mbinu inatumiwa sanaa,Hizi mbinu lazima Watanzania tujielimishe ili tuweze kukabiliana nazo,Kipindi hiki Dini na Jinsia zinatumika sana kuguilt trip watu,tujielimishe na kuelimishana ili tuweze kukabiliana bila kuleta utengano kwenye jamii.Kwann unapenda kumtetea samuya kwa kigezo cha dini wakati iko wazi huyo mtu ni INCOMPITENT??
Kwa hivyo unataka kutuambia ni waislam woote ni vilaza??
Sio kweli, waislam safi (wasio wanafki) wako weengi tu mfano Sheakh Ponda, Prof. Assad nk
Jikite kwenye uwezo wa huyu mama, yeye mwenyewe alishasema form four alifeli!!.
Huko ndiyo kuchochea Moto wakuiteketezs Tanganyika kama walivyo uswisi ushenzi hip muda mrefu sasa,CCM ni janga kwa taifa hili.Na. M. M. Mwanakijiji
Ni kweli Emanuel Nchimbi amekuwa kwenye CCM kwa muda mrefu sana. Wengi tunamjua toka akiwa Umoja wa Vijana wa CCM na kwa kwe
Tundu Lissu Aachiliwe Mara Moja bila ya masharti... CCM wapambane na mambo yao.
Atapewa kesi kama ya Lisu.Nchimbi atafikishwa mahakamani kwa kosa gani?
Yote yanawezekana kutokea kwa Nchimbi katika hii police state. Itahitajika nguvu kubwa sana ya umma kufanikisha mabadiliko maana kuna maadui wakubwa 2 wanaolitesa taifa kwa sasa - CCM dola na CCM mtandao huwezi pambana na moja ukaacha mwingine!Na. M. M. Mwanakijiji
Ni kweli Emanda mkubwa CCM ni kuwaondoa madarakani. Wataendelea kutusumbua hadi vitukuu vyetu.
Tundu Lissu Aachiliwe Mara Moja bila ya masharti... CCM wapambane na mambo yao.
Kwann unapenda kumtetea samuya kwa kigezo cha dini wakati iko wazi huyo mtu ni INCOMPITENT??
Kwa hivyo unataka kutuambia ni waislam woote ni vilaza??
Sio kweli, waislam safi (wasio wanafki) wako weengi tu mfano Sheakh Ponda, Prof. Assad nk
Jikite kwenye uwezo wa huyu mama, yeye mwenyewe alishasema form four alifeli!!.
Chanzo cha huu ujinga ni ujuaji wa Magufuli.Tukitaka tulisaidie taifa na kuwapa msaada mkubwa CCM ni kuwaondoa madarakani. Wataendelea kutusumbua hadi vitukuu vyetu.
Huyu ndi MM ninayemjuwa mimi.Na. M. M. Mwanakijiji
Tundu Lissu Aachiliwe Mara Moja bila ya masharti... CCM wapambane na mambo yao.
Alikuwa pekee yake. Wewe hukusikia Katibu Mkuu akisema wajumbe wa kamati Kuu kwa pamoja wamefanya maamuzi ya Kumfukuza.Na. M. M. Mwanakijiji
Ni kweli Emanuel Nchimbi amekuwa kwenye CCM kwa muda mrefu sana. Wengi tunamjua toka akiwa Umoja wa Vijana wa CCM na kwa k
Tundu Lissu Aachiliwe Mara Moja bila ya masharti... CCM wapambane na mambo yao.
Samiah ni ibilisi.Samia ni mzigo. Anatuharibia Tanganyika yetu.
Muda wa intervention umefika sasa.
Mlio karibu naye hebu fanyeni mambo.
Mnamkumbuka Indira Gandhi? 😉
Yaani tupo milioni 60+ halafu tunakubali kupelekeshwa na Samia?
Kaua maelfu ya Watanganyika na nyie mliopo huko mnamwangalia tu?
Shameful.
Na kadri wanavyofanya hivyo ndivyo wanavyotengeneza October 29 nyingine.Ukitumia jicho la tai, baada ya kufeli yale mapinduzi ya Oktoba 29 chini ya kivuli cha maandamano, kilichofanyika na kinachofanyika ni CLEAN UP!!!!!!!
Vifo vilitokea na vitaendelea kutokea plus wahusika wote kufikishwa mahakamani kama njia ya kifo ikishindikana. Lengo nafikiri ni kutoa LESSON!!!!!!!!!!!
Uhaini.Nchimbi atafikishwa mahakamani kwa kosa gani?
Halafu watu wanajifanya hawaoni. Hayo mambo yana maana kubwa sana.Kwa miaka kumi hii tumeshuhudia mambo mengi ambayo hapo kabla hatukuwahi kufikiri hata kwa bahati mbaya kwamba inawezekanaje??.
From kifo cha Rais akiwa Madarakani,kupigwa chini speaker,Kujiudhuru Vice presidents, Mauaji ya October 29,,ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu Nk..
Rais alishasema kua Katiba ni kitabu kidogo kisicho na maana yeyote,unafikiri nini tunaweza kutegemea zaidi?presidential term limit kuongezwa??
namna gani tunaweza kuwatoa madarakani??Kura?Jeshi?maombi??
Yajayo hata hayafurahishi..
Akiondolewa hadhi ya ubalozi anashtakiwa kama Dr SlaaAna kinga ya kutoshitakiwa...