Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Na katika kujibu swali hilo moja tu la siku hiyo, mtuhumiwa wa uhaini alilijibu kwa mbwembwe na vizuri mno, na hapo ndipo alithibitisha kosa lake pasina kuacha chembe ya shaka mbele ya majaji wanaoskiza shauri hilo. Haya mengine yanayoendelea sasa ni katika kukamilisha ratiba tu za usikilizaji wa mashauri kwa mujibu wa sheria.
Lakini wakili Ajuaye, alishamaliza kazi.
Je,
unalikumbuka swali hilo muhimu sana, moja tu la siku hiyo la wakili msimu wa jamuhuri Ajuaye? Na wakili Ajuaye alipojibiwa swali hilo na mtuhumiwa, aliwaambia majaji kwamba alikua na swali moja tu kwa mtuhumiwa siku hiyo.
Mungu Ibariki Tanzania.