Swali maalum litakalomtia hatiani mtuhumiwa wa Uhaini lilishaulizwa na Wakili Ajuaye

Swali maalum litakalomtia hatiani mtuhumiwa wa Uhaini lilishaulizwa na Wakili Ajuaye

Hivi unajua maana ya UHAINI au unabwabwaja kama mahakama inavyofanya.
Swali moja tu la wakili Ajuaye kwa mtuhumiwa wa uhaini ndio jibu la swali lako gentleman.

In fact,
majibu ya kibaraka na mtuhumiwa huyo wa uhaini dhidi ya swali la wakili Ajuaye, ndio yatakayo mtia hatiani huyo kibaraka na mtuhumiwa wa uhaini hatiani pasina kuacha chembe ya shaka šŸ’
 
Mkuu Kwa faida ya wengi ,wakili Ajuaye aliuliza swali gani
Gentleman, I'm sorry,
sitafanya hivyo.

Na inaonekana wengi humu hufuatilia mambo haya kama sinema tu na hawayatilii maanani, right?

nadhani ni vizuri kujishughulisha kidogo. Kuna mdau moja humu jukwaani, huandika flow yote ya mahojiona na majibuzano kati ya mtuhumiwa wa uhaini na mawakili wa jamuhuri. huenda wengi hawana time wala hawaoni umuhimu wa hayo.

Siku hiyo,
Wakili Ajuaye alikua na swali moja tu, ambalo majibu ya mtuhumiwa yalikua ni kitanzi kwake mwenyewe, kitu ambacho, wakili Ajuaye hakua na haja wala hakuhitaji tena kuuliza maswali mengine ya ziada kwa siku hiyo kwakua jibu la mtuhumiwa lilibeba almost maswali mengine yote šŸ’
 
Hakuna swali litakalomtia hatiani , sema serikali kama ilipanga kumhukumu itamhukumu ila itakuwa FEDHEHA KUBWA kwa Taifa lililopoteza matumaini , ni vema wafanye maamuzi kwa kutumia akili ili kuliokoa Taifa lililopoteza matumaini .
Yangu ni hayo na yanapaswa kuzingatiwa .
NB. HAKUNA MARIDHIANO BILA CHAMA KIKUU PINZANI KUSHIRIKI KATIKA MARIDHIANO HAYO.
 
Mimi swali lile nalifahamu kwasababu huwa nafuatilia post za Mwana jf Manyanza kila kesi inaposomwa,so jua kuwa si kila mtu anafuatilia kesi Ile,ila ungeweka hapa lile swali ingependeza zaidi..

Wakili Ajuaye aliuliza swali gani?
 
Na ukiziangalia kama futuhi lakini mtu anakufa kweli na anapotea mazima

Siasa ni mchezo mchafu

kufa utakufa tu gentleman,
na mwili wako na wangu vitaliwa mchangani, hakuna haja ya maringo.

siasa ni maisha,
kua na maisha masafi au machafu ni uamuzi binafsi wa mtu husika šŸ’
 
Hakuna swali litakalomtia hatiani , sema serikali kama ilipanga kumhukumu itamhukumu ila itakuwa FEDHEHA KUBWA kwa Taifa lililopoteza matumaini , ni vema wafanye maamuzi kwa kutumia akili ili kuliokoa Taifa lililopoteza matumaini .
Yangu ni hayo na yanapaswa kuzingatiwa .
NB. HAKUNA MARIDHIANO BILA CHAMA KIKUU PINZANI KUSHIRIKI KATIKA MARIDHIANO HAYO.
ok.šŸ’
 
relax gentleman,
mihemko useless jukwaani huku ukiwa pointless ni kosa la kimaadili..

ni ungwana kuhide empty head yako kuliko kujiexpose jukwaani kindezi hivyo gentleman šŸ’
Gentleman tulishakubaliana tuache mahakama ifanye kazi yake, sie tunasubiria zoezi likamilike, mahakama itoe hukumu, jambo lihitimishwe.

Hakuna marefu yasiyo na ncha ( mwisho). Muda si mrefu hii kesi itafikia tamati. Na imeendelea kuanika mambo mengi na uozo mwingi sana kwenye vyombo vyetu tunavyoviamini na vyente majukumu mazito kwa taifa letu.
 
kufa utakufa tu gentleman,
na mwili wako na wangu vitaliwa mchangani, hakuna haja ya maringo.

siasa ni maisha,
kua na maisha masafi au machafu ni uamuzi binafsi wa mtu husika šŸ’
Ni bora wakuache ufe mwenyew kuliko wakuue mkuu ndio maana kwenye maandiko tumeambiwa tusiuane kwa maana mtu afe mwenyew

Siasa sio maisha bali ni mchezo wa maisha
 
Gentleman tulishakubaliana tuache mahakama ifanye kazi yake, sie tunasubiria zoezi likamilike, mahakama itoe hukumu, jambo lihitimishwe.

Hakuna marefu yasiyo na ncha ( mwisho). Muda si mrefu hii kesi itafikia tamati. Na imeendelea kuanika mambo mengi na uozo mwingi sana kwenye vyombo vyetu tunavyoviamini na vyente majukumu mazito kwa taifa letu.
uko sahihi gentleman :KasugaYeah:
 
Mkata viuno
Na katika kujibu swali hilo moja tu la siku hiyo, mtuhumiwa wa uhaini alilijibu kwa mbwembwe na vizuri mno, na hapo ndipo alithibitisha kosa lake pasina kuacha chembe ya shaka mbele ya majaji wanaoskiza shauri hilo. Haya mengine yanayoendelea sasa ni katika kukamilisha ratiba tu za usikilizaji wa mashauri kwa mujibu wa sheria.
Lakini wakili Ajuaye, alishamaliza kazi.

Je,
unalikumbuka swali hilo muhimu sana, moja tu la siku hiyo la wakili msimu wa jamuhuri Ajuaye? Na wakili Ajuaye alipojibiwa swali hilo na mtuhumiwa, aliwaambia majaji kwamba alikua na swali moja tu kwa mtuhumiwa siku hiyo.:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
Umefufuka Kama Amini mahamba ulikufa baada ya Basha wako nae kuliwa kinyero pale vikolido vya lumumba Pole Sana Ila hujajifunza bado
 
Back
Top Bottom