Swali maalum litakalomtia hatiani mtuhumiwa wa Uhaini lilishaulizwa na Wakili Ajuaye

Mimi swali lile nalifahamu kwasababu huwa nafuatilia post za Mwana jf Manyanza kila kesi inaposomwa,so jua kuwa si kila mtu anafuatilia kesi Ile,ila ungeweka hapa lile swali ingependeza zaidi..

Wakili Ajuaye aliuliza swali gani?
Ok 🐒
 
Straight talk,
Swali moja : Nia ya kutenda kosa inathibitishwa na tendo?
Jibu: Siyo kweli.
Msingi wa swali hili upo katika kupata hoja katika makosa makubwa ambayo huhitaji kuthibitika kwa "nia (Mens Rea) na tendo (Men's Reus)". Lazima nia na kitendo vithibitike Ili kupata hoja kuntu.

Jibu lililotolewa : Msingi wake upo katika kuutaka upande wa mashtaka kuwajibika kuthibitisha nia kwa kutenganisha na kitendo chenyewe. Jibu hili pia lililenga kuweka mpaka kati ya kilichofanyika na kilichokusudiwa jambo ambalo ni msingi wa utetezi wa makosa mazito.

Tukifikiri kwa kina swali hili moja lilikuwa ni swali muhimu sana na jibu lililotolewa lilikuwa ni muhimu kwa sababu swali hili na jibu lake ni msingi muhimu wa utetezi wa makosa mazito.
 
Straight talk,
Swali moja : Nia ya kutenda kosa inathibitishwa na tendo?
Jibu: Siyo kweli.
Msingi wa swali hili upo katika kupata hoja katika makosa makubwa ambayo huhitaji kuthibitika kwa "nia (Mens Rea) na tendo (Men's Reus)". Lazima nia na kitendo vithibitike Ili kupata hoja kuntu.

Jibu lililotolewa : Msingi wake upo katika kuutaka upande wa mashtaka kuwajibika kuthibitisha nia kwa kutenganisha na kitendo chenyewe. Jibu hili pia lililenga kuweka mpaka kati ya kilichofanyika na kilichokusudiwa jambo ambalo ni msingi wa utetezi wa makosa mazito.

Tukifikiri kwa kina swali hili moja lilikuwa ni swali muhimu sana na lililotolewa lilikuwa ni jibu muhimu kwa sababu swali hili na jibu lake ni msingi muhimu wa utetezi wa makosa mazito.

Mkuu umeuwa kabisa 🤠
 
Ccm ni zaidi ya mashetani ndo maana mkifa watu wanashangilia.
Lakini gentleman,
kuishi ni Kristo na kufa ni faida.

In fact,
maombolezo hua ni sherehe ya mwisho ya maisha ya mwendazake na ndio maana tunakula ubwabwa 🐒
 
Na katika kujibu swali hilo moja tu la siku hiyo, mtuhumiwa wa uhaini alilijibu kwa mbwembwe na vizuri mno, na hapo ndipo alithibitisha kosa lake pasina kuacha chembe ya shaka mbele ya majaji wanaoskiza shauri hilo. Haya mengine yanayoendelea sasa ni katika kukamilisha ratiba tu za usikilizaji wa mashauri kwa mujibu wa sheria.
Lakini wakili Ajuaye, alishamaliza kazi.

Je,
unalikumbuka swali hilo muhimu sana, moja tu la siku hiyo la wakili msimu wa jamuhuri Ajuaye? Na wakili Ajuaye alipojibiwa swali hilo na mtuhumiwa, aliwaambia majaji kwamba alikua na swali moja tu kwa mtuhumiwa siku hiyo.:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
Imaonekana binadam mwezio akipata matitizo wewe unafurahi, hio sio roho ya binaadam
 
Siku si nyingi mtaanza kukinywea kikombe

Mmedhurumu na kuuwa wengi mbwa nyie
 
achana na ramli au porojo useless gentleman jikite kwenye hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi 🐒
 
Imaonekana binadam mwezio akipata matitizo wewe unafurahi, hio sio roho ya binaadam
kwani gentleman,
wewe na wenzako mmeacha kuzomea na kushangilia misiba ya ndugu,jamaa na marafiki zenu wenye maoni tofauti na yenu? Au chama hakiwalipi tena kwa kazi hiyo?

Na ikiwa mtuhumiwa katiwa hatiani kwa mujibu wa sheria ambazo ziko tangu uhuru, kuna cha kushangaza kweli hapo au kufurahia?🐒
 
Mawakili wa serikali ni wameonyesha uwezo mdogo sana,hakuna swali la maana wanalouliza
 
Na katika kujibu swali hilo moja tu la siku hiyo, mtuhumiwa wa uhaini alilijibu kwa mbwembwe na vizuri mno, na hapo ndipo alithibitisha kosa lake pasina kuacha chembe ya shaka mbele ya majaji wanaoskiza shauri hilo. Haya mengine yanayoendelea sasa ni katika kukamilisha ratiba tu za usikilizaji wa mashauri kwa mujibu wa sheria.
Lakini wakili Ajuaye, alishamaliza kazi.

Je,
unalikumbuka swali hilo muhimu sana, moja tu la siku hiyo la wakili msimu wa jamuhuri Ajuaye? Na wakili Ajuaye alipojibiwa swali hilo na mtuhumiwa, aliwaambia majaji kwamba alikua na swali moja tu kwa mtuhumiwa siku hiyo.:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
Screenshot_20260902-120602~2.png
 
Back
Top Bottom