Swali Muflisi: Kwani Hawa Walitoka Wapi?

Wenye akili wamekuelewa mzee wasio elewa watauliza maswali!
 
Mkuu kuwa muwazi, au kuna agenda unaificha!

Vilio vyote vya waTz kwa sasa umesikia kuna mtu anazitaja sababu kuwa zinasababishwa na Uzanzibari wa Rais?

Kwa hiyo ufisadi wa kina Mwinyi hadi Magufuli, kwako ndiyo shamba darasa unalotumia kuunga mkono ufisadi wa Serikali ya Rais Samia?

Katika waandishi wabobezi na ninao waheshimu sana katika Jf ni pamoja na wewe Mzee Mwanakijiji, imekuwaje leo, kuna nini kimekupata!

Nashindwa kujizuia kuamini mzee aliyekula chumvi nyingi namna hiyo leo kugeuka kuwa chawa!

Yawezekana bwana, dunia hii ni duara, lolote laweza kutokea na kwa muda wowote.

Maana mtu anaweza kubadili dini siku zake za mwisho akiwa hoi mahututi kitandani akipambania uhai na mauti, ama kutoa maagizo ya ujenzi wa nyumba yake wakati huo kaburi lake likichimbwa!
 
Na mbwa ni mtanzania au sio mtanzania?
 
Baelezee baelezee !
Wengi humu vijana wanadhani hii migogoro imeanzia kipindi cha Mama 😆🤣🤦🏽‍♂️

Hatari sana !
 
Mmmh !
 
Unataka kutetea kitu gani?
Huenda anataka kusema kuwa tatizo sio ubara ama uvisiwani bali uchama. Japokuwa mimi nasema matatizo yote yaaanzia kwa wananchi ( the majority) na kuishia hapo hapo kwa wananchi ... maana vyama ni function ya wananchi ... as long as wananchi hawana uelewa wa kutosha wa civic rights , hata chama gani kitawale , nothing spectacular will happen. Tuendelee kusubiria
 
Kwako wewe wizi wa Mali za umma na kashfa na ubadhirifu ni mambo yapasayo kuzoeleka sio🤔
 
Kipindi kile alipoteza Stan Katabaro.

Sijui kipindi hiki wamejipanga kumpoteza nani tena.
 
Ufisadi ni ufisadi kweli lakini ufisadi wa kuuza sehemu ya nchi kwa wageni ni sawa na uhaini. Ni kuuza nchi kama chief Mangungo wa Msowero alivyofanya kwa Carl Peters. Wanaofanya hivi hawatakiwi kuchekewa bali kuchukuliwa hatua
 
Kuna tofauti kubwa sana, kashfa za Mwinyi na Samia zinagusa power ya utaifa, sovereignty, unawapa wageni eneo la square km 1500 wageni na kuondoa wananchi. Hizo kashfa zingine zinaongeleka. Hii inagusa moja kwa moja utaifa.
I second you...hakuna taifa lolote linalostawi bila ustawi wa watu wa taifa husika. Kuhamisha kwa nguvu watu wa taifa lako ili kupisha wageni wawekeze ni uzwazwa na yeyote anayrlitazama hili kwa jicho la husda basi ni mzandiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…