Kwa hiyo umechukua hatua gani? Kama upo cdm nafuu ya ccm.Nashauri tuchukue hatua ya kuunda chama cha kuisadia TanzKupitia ccm, Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo umechukua hatua gani? Kama upo cdm nafuu ya ccm.Nashauri tuchukue hatua ya kuunda chama cha kuisadia TanzKupitia ccm, Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu!
Wenye akili wamekuelewa mzee wasio elewa watauliza maswali!Na. M. M. Mwanakijiji
Tanzania imewahi kukumbwa na kashfa kubwa tu zilizokuwa zinahusisha mali ya asili au mali ya umma (Hakuna mali ya serikali). Kashfa kubwa zaidi ambazo zilizizima katika taifa letu zilianza miaka mingi nyuma lakini hakuna ambayo iligusa akili na fikra za Watanzania kama ujio wa kashfa ya kuuzwa kwa eneo la mbuga ya Ngorongoro kwa wawindaji kutoka Dubai. Ngorongoro imekuwa ni mtego mkubwa kwa watawala wetu; mtego ambao ni jaribu ambalo hawawezi kulishinda. Hili nitakuja kulizungumzia baadaye inshallah.
Hayo yalifanyika wakati wa Mwinyi. Lakini baadaye yake akaja Mkapa na Kikwete. Hawa ni watu kutoka bara. Ukisikiliza watu wanavyozungumza leo utadhani kuwa wakati wa Mkapa na Kikwete hakukuwahi kutokea kashfa kubwa zilizohusisha mali za umma na mali asili. Na inawezekana tuna vijana wanaoingia mitandaoni siku hizi na kukuta kuna kashfa na wanadhani zimeanza leo. Niwakumbushe tu kashfa kadhaa nyingine:
-Kashfa ya Ununuzi wa Rada
- Kashfa ya Sukari
- Kashfa ya Meremeta
- Kashfa ya Deep Green Finance
- Kashfa ya Richmond
- Kashfa ya Dowans
- Kashfa ya EPA (escrow account) (humu kulikuwa na mambo ya Daud Balali - tushamsahau)
- Kashfa ya CIS
- Kashfa ya Kuuzwa Mgodi wa Makaa ya Mawe Kiwira
- Kashfa ya Ununuzi wa Airbus 320
Hizi ni chache tu; na zimetokea wakati wa "marais wa bara". Ufisadi ni ufisadi tu; haujalizi anayeufanya anatokea wapi. Tusimpinge au kupinga sera za Rais Samia sababu ya Uzanzibari wake. Hatukumpinga Mkapa sababu ya kabila lake au sehemu anayotoka; alijiuzia Kiwira!!! Kikwete hakupingwa sababu ya kuwa anatoka Msoga au mtu wa pwani! Kuna watu walimpinga Magufuli kwa sababu hawakukubaliana naye na of course hakuna aliyesema wanampinga kwa sababu ni Msukuma (sic) au kwa sababu anatoka Chato! Hakupingwa kwa sababu ya asili yake.
Ndugu zangu, kila Mzanzibari ni Mtanzania japo si kila Mtanzania ni Mzanzibari. Kila Mngoni (raia wa Tanzania) ni Mtanzania japo siyo kila Mtanzania ni Mngoni. Tukielewa hili tutaweza kujenga hoja za kupinga bila kuonekana ni wakabila mambo leo!
Ukijibiwa uni tag 😄Hivi hiyo rada bado ipo na inafanya kazi?
Kama ipo na inafanya kazi, ipo sehemu gani?
Nani keshawahi kuiona? Kuna hata picha yake?
Mkuu kuwa muwazi, au kuna agenda unaificha!Na. M. M. Mwanakijiji
Tanzania imewahi kukumbwa na kashfa kubwa tu zilizokuwa zinahusisha mali ya asili au mali ya umma (Hakuna mali ya serikali). Kashfa kubwa zaidi ambazo zilizizima katika taifa letu zilianza miaka mingi nyuma lakini hakuna ambayo iligusa akili na fikra za Watanzania kama ujio wa kashfa ya kuuzwa kwa eneo la mbuga ya Ngorongoro kwa wawindaji kutoka Dubai. Ngorongoro imekuwa ni mtego mkubwa kwa watawala wetu; mtego ambao ni jaribu ambalo hawawezi kulishinda. Hili nitakuja kulizungumzia baadaye inshallah.
Hayo yalifanyika wakati wa Mwinyi. Lakini baadaye yake akaja Mkapa na Kikwete. Hawa ni watu kutoka bara. Ukisikiliza watu wanavyozungumza leo utadhani kuwa wakati wa Mkapa na Kikwete hakukuwahi kutokea kashfa kubwa zilizohusisha mali za umma na mali asili. Na inawezekana tuna vijana wanaoingia mitandaoni siku hizi na kukuta kuna kashfa na wanadhani zimeanza leo. Niwakumbushe tu kashfa kadhaa nyingine:
-Kashfa ya Ununuzi wa Rada
- Kashfa ya Sukari
- Kashfa ya Meremeta
- Kashfa ya Deep Green Finance
- Kashfa ya Richmond
- Kashfa ya Dowans
- Kashfa ya EPA (escrow account) (humu kulikuwa na mambo ya Daud Balali - tushamsahau)
- Kashfa ya CIS
- Kashfa ya Kuuzwa Mgodi wa Makaa ya Mawe Kiwira
- Kashfa ya Ununuzi wa Airbus 320
Hizi ni chache tu; na zimetokea wakati wa "marais wa bara". Ufisadi ni ufisadi tu; haujalizi anayeufanya anatokea wapi. Tusimpinge au kupinga sera za Rais Samia sababu ya Uzanzibari wake. Hatukumpinga Mkapa sababu ya kabila lake au sehemu anayotoka; alijiuzia Kiwira!!! Kikwete hakupingwa sababu ya kuwa anatoka Msoga au mtu wa pwani! Kuna watu walimpinga Magufuli kwa sababu hawakukubaliana naye na of course hakuna aliyesema wanampinga kwa sababu ni Msukuma (sic) au kwa sababu anatoka Chato! Hakupingwa kwa sababu ya asili yake.
Ndugu zangu, kila Mzanzibari ni Mtanzania japo si kila Mtanzania ni Mzanzibari. Kila Mngoni (raia wa Tanzania) ni Mtanzania japo siyo kila Mtanzania ni Mngoni. Tukielewa hili tutaweza kujenga hoja za kupinga bila kuonekana ni wakabila mambo leo!
Braza unajichomoa nati😁Unataka kutetea kitu gani?
Na mbwa ni mtanzania au sio mtanzania?Na. M. M. Mwanakijiji

Baelezee baelezee !Na. M. M. Mwanakijiji

Muhimu ni kuelimisha wananchi.Kwa hiyo umechukua hatua gani? Kama upo cdm nafuu ya ccm.Nashauri tuchukue hatua ya kuunda chama cha kuisadia Tanz
Mmmh !Mkuu kuwa muwazi, au kuna agenda unaificha!
Vilio vyote vya waTz kwa sasa umesikia kuna mtu anazitaja sababu kuwa zinasababishwa na Uzanzibari wa Rais?
Kwa hiyo ufisadi wa kina Mwinyi hadi Magufuli, kwako ndiyo shamba darasa unalotumia kuunga mkono ufisadi wa Rais Samia?
Katika waandishi wabobezi na ninao waheshimu sana katika Jf ni pamoja na wewe Mzee Mwanakijiji, imekuwaje leo, kuna nini kimekupata!
Nashindwa kujizuia kuamini mzee aliyekula chumvi nyingi namna hiyo leo kugeuka kuwa chawa!
Yawezekana bwana, dunia hii ni duara, lolote laweza kutokea na kwa muda wowote.
Maana mtu anaweza kubadili dini akiwa hoi mahututi kitandani ama ama kutoa maagizo ya ujenzi wa nyumba yake wakati huo kaburi lake likichimbwa!
Kiitetea nchi siyo lazima uwe kwenye chama. Nchi zilizoendelea zote wanachama wa vyama vya siasa ni wachache mno. Kla unachoweza kufanya kwa kutumia chama unaweza kukifanya bila chama.Kwa hiyo umechukua hatua gani? Kama upo cdm nafuu ya ccm.Nashauri tuchukue hatua ya kuunda chama cha kuisadia Tanz
Huenda anataka kusema kuwa tatizo sio ubara ama uvisiwani bali uchama. Japokuwa mimi nasema matatizo yote yaaanzia kwa wananchi ( the majority) na kuishia hapo hapo kwa wananchi ... maana vyama ni function ya wananchi ... as long as wananchi hawana uelewa wa kutosha wa civic rights , hata chama gani kitawale , nothing spectacular will happen. Tuendelee kusubiriaUnataka kutetea kitu gani?
Mashamba ya miti huko iringaArdhi gani ya Iringa? Aliuza kwa nani?
Nakumbuka kashfa ya Nyerere ya kuuza meli wakati Waziri alikuwa Mwingira; ilikuwa kashfa ya Rajpar, na Waziri alifukuzwa kazi.
Kashiba Bange huyo!! AsaliUnataka kutetea kitu gani?
Katiba ya wapi..Katiba ya Muungano haitambui "nchi" ya ZanzibarKatiba haikuruhusu kuichukulia hivyo.
Ufisadi ni ufisadi kweli lakini ufisadi wa kuuza sehemu ya nchi kwa wageni ni sawa na uhaini. Ni kuuza nchi kama chief Mangungo wa Msowero alivyofanya kwa Carl Peters. Wanaofanya hivi hawatakiwi kuchekewa bali kuchukuliwa hatuaNa. M. M. Mwanakijiji
Tanzania imewahi kukumbwa na kashfa kubwa tu zilizokuwa zinahusisha mali ya asili au mali ya umma (Hakuna mali ya serikali). Kashfa kubwa zaidi ambazo zilizizima katika taifa letu zilianza miaka mingi nyuma lakini hakuna ambayo iligusa akili na fikra za Watanzania kama ujio wa kashfa ya kuuzwa kwa eneo la mbuga ya Ngorongoro kwa wawindaji kutoka Dubai. Ngorongoro imekuwa ni mtego mkubwa kwa watawala wetu; mtego ambao ni jaribu ambalo hawawezi kulishinda. Hili nitakuja kulizungumzia baadaye inshallah.
Hayo yalifanyika wakati wa Mwinyi. Lakini baadaye yake akaja Mkapa na Kikwete. Hawa ni watu kutoka bara. Ukisikiliza watu wanavyozungumza leo utadhani kuwa wakati wa Mkapa na Kikwete hakukuwahi kutokea kashfa kubwa zilizohusisha mali za umma na mali asili. Na inawezekana tuna vijana wanaoingia mitandaoni siku hizi na kukuta kuna kashfa na wanadhani zimeanza leo. Niwakumbushe tu kashfa kadhaa nyingine:
-Kashfa ya Ununuzi wa Rada
- Kashfa ya Sukari
- Kashfa ya Meremeta
- Kashfa ya Deep Green Finance
- Kashfa ya Richmond
- Kashfa ya Dowans
- Kashfa ya EPA (escrow account) (humu kulikuwa na mambo ya Daud Balali - tushamsahau)
- Kashfa ya CIS
- Kashfa ya Kuuzwa Mgodi wa Makaa ya Mawe Kiwira
- Kashfa ya Ununuzi wa Airbus 320
Hizi ni chache tu; na zimetokea wakati wa "marais wa bara". Ufisadi ni ufisadi tu; haujalizi anayeufanya anatokea wapi. Tusimpinge au kupinga sera za Rais Samia sababu ya Uzanzibari wake. Hatukumpinga Mkapa sababu ya kabila lake au sehemu anayotoka; alijiuzia Kiwira!!! Kikwete hakupingwa sababu ya kuwa anatoka Msoga au mtu wa pwani! Kuna watu walimpinga Magufuli kwa sababu hawakukubaliana naye na of course hakuna aliyesema wanampinga kwa sababu ni Msukuma (sic) au kwa sababu anatoka Chato! Hakupingwa kwa sababu ya asili yake.
Ndugu zangu, kila Mzanzibari ni Mtanzania japo si kila Mtanzania ni Mzanzibari. Kila Mngoni (raia wa Tanzania) ni Mtanzania japo siyo kila Mtanzania ni Mngoni. Tukielewa hili tutaweza kujenga hoja za kupinga bila kuonekana ni wakabila mambo leo!
I second you...hakuna taifa lolote linalostawi bila ustawi wa watu wa taifa husika. Kuhamisha kwa nguvu watu wa taifa lako ili kupisha wageni wawekeze ni uzwazwa na yeyote anayrlitazama hili kwa jicho la husda basi ni mzandiki.Kuna tofauti kubwa sana, kashfa za Mwinyi na Samia zinagusa power ya utaifa, sovereignty, unawapa wageni eneo la square km 1500 wageni na kuondoa wananchi. Hizo kashfa zingine zinaongeleka. Hii inagusa moja kwa moja utaifa.