Swali nani anaweza msaidia huyu dada tumechoka 😴πŸ˜ͺ

Mwambie anione
 
Mwambie anitafute pm
 
Kama kweli analo jini korofi. uniletee. Kuna njia za kupita
 
Hela ipo tumsaidie
 
Mwambie huyo Dada kua mganga asiye na longolongo wala tamaa nipo hapa,njoo PM nione picha yake ili nijue kabisa kua matibabu yake yanahitaji tuanzie sehemu gani ya mwili wake,kupona ni uhakika kabisa,

Nakaribisha maswali na maoni toka kwake.
 
Mtu ana matatizo ya akili mnasingizia mapepo?! Mwambie kama yupo tayari akalipe psychiatrist mzuri ampe muongozo mbona atarudi saws tu kudadadeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…