Swali nani anaweza msaidia huyu dada tumechoka 😴😪

Swali nani anaweza msaidia huyu dada tumechoka 😴😪

Mtafutieni mafuta ya mzeituni hayatalitoa ila yatalituliza ajipake na kunywa asubuhi na jioni.

Akiweza Kwa kujipaka achanganye na vitunguu swaumu vilivyotwangwa.

Atapata afueni kubwa.

Kumtoa jini mara nyingi itahusisha kafara la Damu, Kwa hivyo ukienda Kwa mganga akakuagiza mnyama kuna uwezekano mgonjwa wako atapona.

Kuokoka ni sawa ila kutalituliza hilo jini ikiwa hatotenda dhambi na akawa mwombaji sana.

Kutoka ni mpaka ampate Mtumishi mwenye kipawa Cha uponyaji, siwazungumzii Hao maarufu unaowajua...!
 
Huyu dada anajini kali sana amepitia kila mahali halitoki tumechoka kumsaidia je nani anayeweza kumsaidia maana linamfungia kila kitu chake . Hata atakaje lipo tu.

Kumuomba Mungu . Kachoka . Kwa waganga amechoka mijusi minyoka mikila kitu anatumiwa .

Aisee.
Nina ndyeki, nipe huyo binti nimtoe kafara kwa ndyeki wangu
 
Back
Top Bottom