Swali nani anaweza msaidia huyu dada tumechoka 😴πŸ˜ͺ

Mkuu aacha nikupe Siri...hakuna mchungaji anaweza toa majini kama kweli huyo mtu wako ana majini...elimu ya majini huwa inatolewa na masheik Tu ..yaan waaislam...kuna Ndugu yangu alikuwa na majini alitupiwa uko Zanzibar..akaja bara..alitemebezwa Sana kwa wagaga,wachungaji lakin wapi...Mungu si athuman sheikh mmoja kutoka Pemba ndo akamasaida akapona...mpka Leo ni mzima WA afya..HAO wengine watakulia pesa Tu ..njoo pm nikuelekeze...siitaji hata Mia yako mm
 
Awe na Imani na upande mmoja...

Aamini MUNGU pekee...

Asichanganye na waganga maana atapigwa zaidi...

NB: Aache zinaa
 
ajakutana na fundi
majini yana tabia, ikiwa mganga analitoa huwa linajificha akimaloza linarudi
mganga anatakiwa jua linapo jificha likitoka kwa muhusika,kule ndio apige pini sasa likikimbilia linakutana na kipigo

kutoa majini ya hivyo kuna hitaji mganga kweli sio porojo

NB: sio mganga wala simjui mganga wa kuyatoa
 
Unaonekana ushaenda Sana kwa waganga,ndomana wajua mbinu zaoπŸ‘Œ
 
Acha zako wewe,we funga kilokole🀣🀣🀣kwaresma haiwahusu nyie walokole.Mnaumizwa Sana na wakatoliki,ilhal wakatoliki hatuna time na nyie watoto wa kambo,mlojitenga,kina ishmael
 
Acha zako wewe,we funga kilokole🀣🀣🀣kwaresma haiwahusu nyie walokole.Mnaumizwa Sana na wakatoliki,ilhal wakatoliki hatuna time na nyie watoto wa kambo,mlojitenga,kina ishmael
shida ni kwamba, tunawaonea huruma,mmepotea, tunajaribu kuwarudisha, kwasababu kanisa hilo mlilonalo silo lile la mitume, kanisa la mitume mfano wake ni vile ukisoma kitabu cha Matendo ya Mitume, nakupa homework kasome kitabu icho mwanzo hadi mwisho. utagundua yafuatayo:

1. Kanisa la kwanza lilisimama kwa Nguvu ya Roho Mtakatifu, na lazima ujazwe Roho baada ya kuamini.

Matendo 19: 2 aka wauliza, β€œMlipoamini mlipokea Roho Mtakatifu?” Wakajibu, β€œHapana. Hatujawahi hata kusikia kuwa kuna Roho Mtakatifu.” 3 Ndipo Paulo akawauliza, β€œMlibatizwa ubatizo gani?” Wakajibu, β€œUbatizo wa Yohana.” 4 Paulo akasema, β€œYohana alipobatiza, aliwaambia watu watubu dhambi na kumwamini atakayekuja baada yake, yaani, Yesu.” 5 Waliposikia haya, wakabatizwa katika jina la Yesu. 6 Na Paulo alipoweka mikono yake juu yao, Roho Mtakatifu akawashukia , wakasema kwa lugha mpya na kutabiri. 7 Walikuwepo kama watu kumi na wawili.

2. Kanisa la Mitume hawajawahi kuomba kwa kupitia Maria wala kumwinua kwa namna yeyote, ni mtu wa kwaida tu. soma Matendo yote hutakuta icho kitu.

3. Kanisa la kwanza, waliamini katika kuokoka, lazima umkiri Yesu na uokoke, la kwenu linafukuza wanaookoka.

4. Kanisa la kwanza liliamini watu wanene kwa lugha, lakwenu mnasema ni mapepo.

5. kanisa la kwanza haliamini katika kuombewa ukifa ili usamehewe, unasamehewa kama ukitubu ukiwa hai, baada ya kifo ni hukumu. ninyi mnaombea wafu, mnaomba kwa kupitia wafu, mnaamini wafu wapo sehemu fulani watapeleka maombi yenu kwa Mungu.

6. Kanisa la kwanza, kama Yesu mwenyewe alivyosema, Ombeni kwa Jina langu, nanyi mtapokea, ninyi mnaomba kwa maria, na wafu wengine hadi ndugu zenu. hakuna njia nyingine ya kumfikia Mungu iwe katika maombi au chochote ila kwa njia ya Yesu Kristo pekee.

7. Maria mwenyewe, kwasababu aliuwepo miongoni mwa wale 120 waliompokea Roho Mtakatifu pale upper room siku ya pentecoste, aliamini watu wanatakiwa waokoke na alishirikiana na mitume kuhubiri ili watu waokoke, ninyi mnapinga wokovu na hata wale wanaookokea kwenu mnafukuza (karismatic).

sasa mnafunga nini? wakati hamjaokoka? hamna Mungu? imani yenu imeshikiliwa na vatican ambaye ni ishara mojawapo ya mpinga Kristo tangu zamani, na kwa sasa imeanza kuchipua kuonyesha makucha yote kwa kuruhusu ushoga. Mungu awasaidie. siku ukiondoka huko, utaona kwanini umepoteza muda miaka yote hiyo. kama neema ya Mungu utafanikiwa kabla hujafa, nakuombea kwa Mungu upate neema.

watu wengi mnapinga wokovu na njia iliyo sahihi, ila kwa mtu mwenye akili timamu, ukiona watu wanaokoka na maisha yanabadilika, jiulize kuna nini huko hadi watu wabadilike? jaribu kuokoka, ukiona wokovu mbaya acha. Biblia inasema Onjeni muone ya kuwa Bwana yu mwema, heri mtu yule anayemtumaini Bwana. Mjaribu Mungu kwa kuokoka uone kama kuna tofauti au walokole waongo. ila sio lazima, usipookoka ni hasara yako, ila kabla hujaondoka hapa duniani jaribu hata mara moja tu usije enda uendako ukaenda kukuta ulikuwa umepotea tulikushauri uje kwenye njia sahihi ukagoma na muda umepita hakuna kurudi nyuma.
 
Kama kote kachoka ajaribu kunyanduliwa mara kwa mara alafu alete mrejesho
 
Soma kwanza komenti tazama ipi inafaa ishi nayo hyo...sitaki niseme kitu lkn jaribu misaada ya watu ukiona umeshindwa kbsa rudi hapa mm nitakachofanya ni kukuelekeza sehem ya kwenda tu na wala sikupi namba yule mzee akishindwa hii kazi mm narudisha gharama zote

Istoshe gharama ya yule mzee ikizid laki 1 usilipe
Mjini hatutoagi code za mafanikio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu ana matatizo ya akili mnasingizia mapepo?! Mwambie kama yupo tayari akalipe psychiatrist mzuri ampe muongozo mbona atarudi saws tu kudadadeki.
Kweli kabisa
Haya mambo yapo.

Maana kutojizuia na kujiangusha ni moja ya dalili zinafanya watu moja kwa moja wahisi ni jini

Tena bahati nzuri au mbaya akafungwa kamba au minyororo akaikata! Wamshike wanaume wanne, saba halafu awadondoshe basi moja kwa moja watu wanahitimisha.

Kumbe tu ni ukichaa ambao ukilipuka basi conscious thought ya ubongo inaacha kuzuia(inhibit) hizo misuli zake

Kutoka kwangu
-Private consultant of the youth and the nation at large
 
Njoo inbox
 
Dawa ya mchawi naye awe mchawi litaisha kakufikishia nawe mtoleee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…