Swali nani anaweza msaidia huyu dada tumechoka 😴πŸ˜ͺ

Mtafutieni mafuta ya mzeituni hayatalitoa ila yatalituliza ajipake na kunywa asubuhi na jioni.

Akiweza Kwa kujipaka achanganye na vitunguu swaumu vilivyotwangwa.

Atapata afueni kubwa.

Kumtoa jini mara nyingi itahusisha kafara la Damu, Kwa hivyo ukienda Kwa mganga akakuagiza mnyama kuna uwezekano mgonjwa wako atapona.

Kuokoka ni sawa ila kutalituliza hilo jini ikiwa hatotenda dhambi na akawa mwombaji sana.

Kutoka ni mpaka ampate Mtumishi mwenye kipawa Cha uponyaji, siwazungumzii Hao maarufu unaowajua...!
 
Nina ndyeki, nipe huyo binti nimtoe kafara kwa ndyeki wangu
 
Umeshampeleka kwenye makanisa ya kilokole?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…