Eeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tuzo ya malkia wa chit chat ni yako peke yakoMalkia wa chit chat meme
Yap ila ntakuwa nashika namba 3 au 4 hukoEeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tuzo ya malkia wa chit chat ni yako peke yako
Ahsante sana Kaka ake. Nafurahi kujiona katika list yako. Be blessed.
Halafu namba moja na mbili ashike nani? Unakataa nafasi yako dada?Yap ila ntakuwa nashika namba 3 au 4 huko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila kweli.... But itakuwa anatimiza ahadi yake na Nalendwa kuwa watakuwa wanakuja huku mtaani kuchunguliaHahahahahaaa.
Nimeshtukia maana anaweza kuanza kushuka data za mabonu ya Nyuklia hapa
Basi vizuri tu no problemHalafu namba moja na mbili ashike nani? Unakataa nafasi yako dada?
Ahaaa hapo sawa, kashamtag akija hewani atakuja hapa pia[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila kweli.... But itakuwa anatimiza ahadi yake na Nalendwa kuwa watakuwa wanakuja huku mtaani kuchungulia
Ahsante sana sana sana Wa nyumbani.
Ahahahha sasa najisifiaje mie mke mwema wa watuHapana niwekee voice note sijaamini kabisa wakunyumba unajisifia mwenyewe
Na Mimi ni mr chitchatEeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tuzo ya malkia wa chit chat ni yako peke yako
Naomba na mm niseme hawa wote ni malkia wangu wa nguvuuuu
Thanks malkia wangu wa nguvu