Swali: Ni kitu gani kwenye mwili kikipimwa huwa kinathibitisha mtu kufariki?

Swali: Ni kitu gani kwenye mwili kikipimwa huwa kinathibitisha mtu kufariki?

Ooooh kumbe!!
Moyo unaweza kusimama zikafanyika jitihada kama CPR na mtu akaamka..
Kuna watu na bahati zao unakuta moyo umesimama na ECG inasoma flat lakini akifanyiwa cpr moyo unarudi tena na anaishi kama kawaida..

Kwahio kabla ya kumtangaza mtu kafa lazima vitu vyote hivi vijaribiwe ili kuprove kama mtu kafa kweli. .
 
Sitosahau siku daktari walipomuua mtoto aliyezaliwa kwa uzembe alizimia baada yakuzaliwa wakakifunika kwa kufikiria amefariki watu wako katika harakati za mazishi si wakifunue kinapumua ila ilikuwa too late baada ya kukosa hewa muda mrefu akafariki ikawa kesi kubwa hospitali fulani
 
Ukiona mgonjwa mahututi anakutuma maji basi ujue huyo kafa kwani anapokufa macho yake hugeuka hivyo hataki umuone ukirud tu basi yeye utamkuta wa baridi
 
mtu kufariki kunapimwa kuangalia muitikio wa ubongo, hapa unaangalia mboni za jicho ikiwa hazipungui au kuongezeka kutokana na mwanga basi ubongo wa huyo mtu umeshakufa na hatoamka,
Hii simple sana...watu kibao wanalala macho wazi na hawarespond change ya light (kulala kama sungura)
 
Hii simple sana...watu kibao wanalala macho wazi na hawarespond change ya light (kulala kama sungura)
Simple kuifanya au si jibu sahihi kuthibitisha hilo.?

Note that.
Mboni au kiini chako cha jicho cheusi kile ktkt ya jicho lako ambalo huruhusu mwanga kuingia ndani ya jicho kulingana na uhitaji wake huwa inatanuka na kusinyaa kulingana na kiasi cha mwanga, hvyo mwanga ukiwa mwingi husinyaa kupunguza kiasi cha mwanga na mwanga ukiwa kidogo hutanuka kuruhusu kiasi cha mwanga kuingia na kuwezesha jicho kuona vizuri.

Mtu kama amekufa ufanyaji huu wa kazi ktk jicho hupotea na kubaki kama ilivyo hivyo ukimulika kwa tochi ktk kiini cha jicho haitatanuka wala kusinyaa ukiwa unafanya kusogeza mwanga kwa karibu na kuupunguza kwa kuweka mbali lkn mboni itabaki kiini kitabaki kama kilivyo hakitanuki wala kusinyaa hapo utajua ubongo tayari umezima. ( dilated pupil )
 
Moyo unaweza kusimama zikafanyika jitihada kama CPR na mtu akaamka..
Kuna watu na bahati zao unakuta moyo umesimama na ECG inasoma flat lakini akifanyiwa cpr moyo unarudi tena na anaishi kama kawaida..

Kwahio kabla ya kumtangaza mtu kafa lazima vitu vyote hivi vijaribiwe ili kuprove kama mtu kafa kweli. .
Kama mashine haipo Je? Nadhani kuna miziko hai mingi
 
Kama mashine haipo Je? Nadhani kuna miziko hai mingi
Cpr unafanya kwa mikono tu hata wewe unaweza kujifunza ili siku ukimuona mtu mwenye cardiac arrest kadondoka na hapumui wala hana mapigo ya moyo unaweza kumsaidia na kuokoa maisha yake

CPRlogo.png

bffeb487e345d72d7fbf4c4c16b50814.jpg

ecd6c37085c705cd489ea98ee9b2cc0b.jpg
 
Heartbeat absence,
Pulse absence
pupil dilatation

Ila fanya cardiovascular resuscitation ukithibisha ivo hapo juu utakua tayari unadili na marehemu somebody
 
Mheshimiwa, ulisema akikubali kuingia kwenye jokofu tu, unahesabu mfu!

Najua hujakosea kusema hivyo(ningeweza kuuliza mtu akiwa hana fahamu kisha wakaamua tu kumpeleka jokofuni, atawezaje kupinga?) ila nahisi kuna neno unataka kutueleza hapa, tafadhali tujuze!

Kuna elimu ya ziada juu ya wafu sisi WAHUDUMU wa mochwari tunapata ikiwa ni pamoja na uzoefu... Huwa hatutegemei ripoti ya daktari moja kwa moja kwakuwa kuna watu wengi tu hufia wodini na kufufukia mochwari... Na hili si uzembe au kosa la doktar.. Hizo situation hutokea

Kwahiyo ukiachana na zile maiti za ajali zizoharibika kabisa au zile za kuchinjwa kama kuku... Hizi zingine lazima zikae sakafuni au kwenye kichanja kwa saa kadha kabla hujaamua kuzitia kwenye jokofu

Kingine huwa tunapima joto na kukakamaa kwa mwili.. Mwili hai haukakamai wala kupoteza joto wala rangi ya mwili haibadiliki

Mwisho ni dhana ya kukubali kuingia kwenye jokofu... Kuna maiti kila ukitaka kuitia kwenye jokofu unaghairi, unaghafilika au kinatokea kingine cha kufanya... Ukiona hivyo jua bado jamaa hajakubali kuondoka
 
Pupil size. responds to light.
Hii ndo Test ya Uhakikaa... Ukimulikwa na ilee tochi jichoni alafu Pupil zikabaki zimedilate bila kusinyaaa Jua hapoo tayarii mtu kavutaa..!! Lakini kwa kuangalia mapigo ya moyoo pekee wengi walizikwaa wakiwa haiiii...
 
mg4,
Inakuaje kwa mtoto mwenye degedege....naskia hua nao wanakodoa macho mwanzo mwisho na pupil haiwi responsive, je ni kwel? Na unazungumziaje sasa hyo test?
 
When the saints go marching in
Oh lord I want to be in that number.
 
Inanikumbusha maisha ya ICU, kifo ni kawaida sana. Ukitoka hapo unaweza kuwaza hivi hela unaweka za nini?
 
Pamojaa mkuu... Test ya mapigo ya moyoo hapo zamani kabla ya kuja hii ya PUPIL walizikaaa watu wengi sanaa wakiwa haii...
Na baada ya ajali kutaka kujua damage ya brain ni kuinua miguu. Kama mgonjwa anaweza kuinua mgumu wa kulia according to command na wa kushoto, juchezesha vidole vya mguu akiwa amelala unajua ubongo bado uko alright
 
Back
Top Bottom