mpalapata hendeli
Member
- Nov 21, 2019
- 79
- 23
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna dawa moja yakisunna anapakwa kwenye pua, hiyo dawa kama upo hai baas unapiga chafya na kama umekufa haupigi chafya
Ndio maana waislam tunatakiwa baada ya kupiga chafya tuseme Alhamdulillah (ikiwa na maana ya kumshukuru mungu Kwa uhai) na hats Saydna Adam baada ya kupuliziwa upepo akapiga chafya na gibril akaitikia "yahamkallah"
Mkuu naomba kujua kma kunq dawa ya kisunn ya mtu mwenye matatizo a Figo. Mfano Figo kujaa maji.Kuna dawa moja yakisunna anapakwa kwenye pua, hiyo dawa kama upo hai baas unapiga chafya na kama umekufa haupigi chafya