Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukodoa macho ni tofauti na hii ya kiini cha jicho kurespond unapomulika na mwanga.Inakuaje kwa mtoto mwenye degedege....naskia hua nao wanakodoa macho mwanzo mwisho na pupil haiwi responsive, je ni kwel? Na unazungumziaje sasa hyo test?
Verbal response.Na baada ya ajali kutaka kujua damage ya brain ni kuinua miguu. Kama mgonjwa anaweza kuinua mgumu wa kulia according to command na wa kushoto, juchezesha vidole vya mguu akiwa amelala unajua ubongo bado uko alright
Hapa sijakuekewa vizuri hasa upande wa macho, kupungua na kuongezeka ndo inakuwaje hasa?mtu kufariki kunapimwa kuangalia muitikio wa ubongo, hapa unaangalia mboni za jicho ikiwa hazipungui au kuongezeka kutokana na mwanga basi ubongo wa huyo mtu umeshakufa na hatoamka,
Ndiyo mkuu Glasgow coma score hukoseiVerbal response.
Check out Glasgow coma score
Hiyo dawa inapatikana wap shekh, je inaruhusiwa mahospitalini?Kuna dawa moja yakisunna anapakwa kwenye pua, hiyo dawa kama upo hai baas unapiga chafya na kama umekufa haupigi chafya
Ndio maana waislam tunatakiwa baada ya kupiga chafya tuseme Alhamdulillah (ikiwa na maana ya kumshukuru mungu Kwa uhai) na hats Saydna Adam baada ya kupuliziwa upepo akapiga chafya na gibril akaitikia "yahamkallah"
Pupil size. responds to light.
Hizo CPR zipo mahosipitali yote?Moyo unaweza kusimama zikafanyika jitihada kama CPR na mtu akaamka..
Kuna watu na bahati zao unakuta moyo umesimama na ECG inasoma flat lakini akifanyiwa cpr moyo unarudi tena na anaishi kama kawaida..
Kwahio kabla ya kumtangaza mtu kafa lazima vitu vyote hivi vijaribiwe ili kuprove kama mtu kafa kweli. .
Kabisa mkuuKuna makala nilisoma zamani kidogo inasemekana kuwa katika nchi nyingi za kimaskini watu wengi wanazikwa wakiwa hai. Kutokana na uduni wa vifaa na wakati mwingine uhaba na ezembe wa wataalamu basi mtu anaeeza kuwa kwenye coma ila akatangazwa kuwa kafa. Wahudumu wa afya wanacheki pulses tuu trna manually wasipozipata wanasema mtu kafa kumbe wakati mwingine mtu huyo hajafa bado.. Mnakumbuka yile mchezaji mpira aliyeangukaga uwanjani akazimia (akawa in a state of death) kwa masaa 72? Basi yule angekuwa nchi zetu hizi ageshafukiwa aisee
Hapa sijakuekewa vizuri hasa upande wa macho, kupungua na kuongezeka ndo inakuwaje hasa?
Sio kweli...hizo propaganda za nchi za magharibi za kufanya tujione inferior..Kuna makala nilisoma zamani kidogo inasemekana kuwa katika nchi nyingi za kimaskini watu wengi wanazikwa wakiwa hai. Kutokana na uduni wa vifaa na wakati mwingine uhaba na ezembe wa wataalamu basi mtu anaeeza kuwa kwenye coma ila akatangazwa kuwa kafa. Wahudumu wa afya wanacheki pulses tuu trna manually wasipozipata wanasema mtu kafa kumbe wakati mwingine mtu huyo hajafa bado.. Mnakumbuka yile mchezaji mpira aliyeangukaga uwanjani akazimia (akawa in a state of death) kwa masaa 72? Basi yule angekuwa nchi zetu hizi ageshafukiwa aisee
Ina maana ukikohoa mochwari ni kosa kwanini wasikurudishe wodini upatiwe matibabu zaidi ,Tz ukute watu wengi wanazikwa wakiwa haiKumbe hufanywaje; maana nilipata kusikia kwamba wanaosumbua hutulizwa
Daktari wetu wazembe ilikuwaje haraka haraka hivyo wakifunike badala wakipatie o2Sitosahau siku Daktari walipomuua mtoto aliyezaliwa kwa uzembe alizimia baada yakuzaliwa wakakifunika kwa kufikiria amefariki watu wako katika harakati za mazishi siwakifunue kinapumua ila ilikuwa toolate baada ya kukosa hewa mda mrefu akafiriki ikawa kesi kubwa hospitali flani