Moyo unaweza kusimama zikafanyika jitihada kama CPR na mtu akaamka..Ooooh kumbe!!
Hii simple sana...watu kibao wanalala macho wazi na hawarespond change ya light (kulala kama sungura)mtu kufariki kunapimwa kuangalia muitikio wa ubongo, hapa unaangalia mboni za jicho ikiwa hazipungui au kuongezeka kutokana na mwanga basi ubongo wa huyo mtu umeshakufa na hatoamka,
Simple kuifanya au si jibu sahihi kuthibitisha hilo.?Hii simple sana...watu kibao wanalala macho wazi na hawarespond change ya light (kulala kama sungura)
Kama mashine haipo Je? Nadhani kuna miziko hai mingiMoyo unaweza kusimama zikafanyika jitihada kama CPR na mtu akaamka..
Kuna watu na bahati zao unakuta moyo umesimama na ECG inasoma flat lakini akifanyiwa cpr moyo unarudi tena na anaishi kama kawaida..
Kwahio kabla ya kumtangaza mtu kafa lazima vitu vyote hivi vijaribiwe ili kuprove kama mtu kafa kweli. .
Cpr unafanya kwa mikono tu hata wewe unaweza kujifunza ili siku ukimuona mtu mwenye cardiac arrest kadondoka na hapumui wala hana mapigo ya moyo unaweza kumsaidia na kuokoa maisha yakeKama mashine haipo Je? Nadhani kuna miziko hai mingi
Shukrani mkuuCpr unafanya kwa mikono tu hata wewe unaweza kujifunza ili siku ukimuona mtu mwenye cardiac arrest kadondoka na hapumui wala hana mapigo ya moyo unaweza kumsaidia na kuokoa maisha yakeView attachment 692856
Mheshimiwa, ulisema akikubali kuingia kwenye jokofu tu, unahesabu mfu!
Najua hujakosea kusema hivyo(ningeweza kuuliza mtu akiwa hana fahamu kisha wakaamua tu kumpeleka jokofuni, atawezaje kupinga?) ila nahisi kuna neno unataka kutueleza hapa, tafadhali tujuze!
Hii ndo Test ya Uhakikaa... Ukimulikwa na ilee tochi jichoni alafu Pupil zikabaki zimedilate bila kusinyaaa Jua hapoo tayarii mtu kavutaa..!! Lakini kwa kuangalia mapigo ya moyoo pekee wengi walizikwaa wakiwa haiiii...Pupil size. responds to light.
Lakini anakodoa macho huku amekaza misuli mingine na bado anamove viungo vyake... So hicho ni kipimo tosha kuonesha yupo hai!Inakuaje kwa mtoto mwenye degedege....naskia hua nao wanakodoa macho mwanzo mwisho na pupil haiwi responsive, je ni kwel? Na unazungumziaje sasa hyo test?
Na baada ya ajali kutaka kujua damage ya brain ni kuinua miguu. Kama mgonjwa anaweza kuinua mgumu wa kulia according to command na wa kushoto, juchezesha vidole vya mguu akiwa amelala unajua ubongo bado uko alrightPamojaa mkuu... Test ya mapigo ya moyoo hapo zamani kabla ya kuja hii ya PUPIL walizikaaa watu wengi sanaa wakiwa haii...