Matusi yameisha? Bavicha bana wewe unadhani ukinituka mie takasirika wala kurudisha tusi? Hauna tusi jipya kamanda?Lete habari, hujasikia fununu kuwa DPPccm anampango wa kukata rufaa dhidi ya hukumu ya mahakama kuu kanda ya Tabora?
mtazamo wangu ni mgando na wala hautetereki!mtuzamo wako ni narrow/tunnel shaped.Siwezi kuingia kwenye mtego wa kutafuta sympathy kwa watanzania kisa ni ugomvi wenu katika majadiliano ya amani ya congo!Huo ni mtazamo wako na nimawazo mgando!
Uhusiano wa kidiplomasia utamsaidia nini mtu wa Kagera au Kigoma
ambaye hana amani na nchi yake kisa wahamiaji haramu ambao wanafanya
vitendo vya ujambazi hebu tafakari kwanza mkuu.
Mkuu usitake kunitisha kwamba kumtetea Mwanakijiji kunaweza kunitia katika matatizo nisiyoyatarajia, mimi simtetei Mwanakijiji, natetea ukweli, mimi sio muoga, I am ready to die for the truth, tell them that Mjuni ​is ready to stand for the truth and even to die for it.Kumbe hujui Mwanakijiji alifanya uchochezi gani baada ya tragic news za kutoka Zanzibar!!!
Mwambie yeye mwenyewe akutumie. Kumbe wewe humjui vizuri Mwanakijiji, basi ni bora ujiweke naye mbali kumtetea huyu mtu hatari kunaweza kukutia kwenye matatizo usiyoyatarajia...
Kumbe hujui Mwanakijiji alifanya uchochezi gani baada ya tragic news za kutoka Zanzibar!!!
Mwambie yeye mwenyewe akutumie. Kumbe wewe humjui vizuri Mwanakijiji, basi ni bora ujiweke naye mbali kumtetea huyu mtu hatari kunaweza kukutia kwenye matatizo usiyoyatarajia...
Ukikasirika si utakosa buku 7?Matusi yameisha? Bavicha bana wewe unadhani ukinituka mie takasirika wala kurudisha tusi? Hauna tusi jipya kamanda?
Mkuu usitake kunitisha kwamba kumtetea Mwanakijiji kunaweza kunitia katika matatizo nisiyoyatarajia, mimi simtetei Mwanakijiji, natetea ukweli, mimi sio muoga, I am ready to die for the truth, tell them that Mjuni ​is ready to stand for the truth and even to die for it.
Unaona sasa unajiuma uma; huwezi kusema. Wewe ndiye uliyetuhumu wewe ndiyo uthibitishe. Wazo hili pia ni gumu kuingia kichwani mwako.
jokaKuu,Mzee Mwanakijiji,
..kwani sheria za Tz zinasemaje kuhusu suala la "illegals"?
..mimi nadhani Mwalimu angefuata sheria za Tz jinsi ya ku-deal na "illegals."
..kwa mfano, hivi mlitegemea Mwalimu angecheka na mtu yeyote yule, raia ,au "illegals," ambaye ameingiza mifugo kwenye misitu ya hifadhi?
..je, Mwalimu angetoa siku 14 kwa majambazi, raia au "illegals," wasalimishe silaha zao? Jasusi atakumbuka jinsi Mwalimu alivyopeleka askari wa JWTZ kushughulikia wale wahuni waliojitangazia uhuru na jamhuri yao kule Mara.
..Kwa hiyo jibu langu ni kwamba Mwalimu angezingatia sheria za Tanzania. Hawa tunaoshughulika nao sasa hivi siyo wakimbizi, ni wahamiaji haramu.
..Kwa mtizamo wangu, tusimkatishe tamaa Raisi Kikwete. Badala yake tum-challenge ashughulike na wahamiaji haramu popote pale ktk Jamhuri yetu.
The question is: have you seen any other people apart from the Banyarwanda going home? Nitajie ni Wahima wangapi, Wajaluo na Wachiga walioondoka tangu hili tangazo la Kikwete. Kwa mujibu wa Mwananchi ya leo, wanaoondoka ni Wanyarwanda peke yao. Prove me wrong!Mkuu kuna tofauti kubwa kati ya "Mkimbizi" na "Mhamiaji Haramu (illegal immigrants)".......besides....wanaondoka si illegal immigrants wa kutoka Rwanda pekee (msi-take advantage ya uhasama wa JK na PK ili kukuza issue ambayo haipo).......Wahima, Wachiga and the likes wako Rwanda na Uganda pia, kuna Waganda, Wajaluo pia ambao ni wahamiaji haramu.......they will go out of our country as well......amri ya JK ni across the board.......
Mchuma janga hula na wa kwao!!, janga lipi sasa?, kueleza maoni yangu na kutetea ukweli?Ohoo shauri yako. Mchuma ganga, hula na wa kwao...
Hii ni dalili kuwa unaona aibu kwa chuki ulizoanza kuzisambaza. Watu wanaokusoma humu na waliosoma thread yako ambayo ilibidi ifutwe immediately kwa kueneza chuki mbaya,wanaona jinsi malengo yako yasivyo mema. Ndio maana mgomo wako wa simu UMEFELI...
Kuna thread moja iliorodhesha baadhi ya harakati zako za kuchochea chuki na vurugu nchini. Sasa kwenye ile list umeongeza harakati nyingine ya kutetea wahamiaji haramu wanaoua watanzania. Kwa hiyo updated list toka kwenye thread inayoelezea fitina zako kwa nchi yetu ya awali inakuwa hivi:
Miongoni mwa vurugu alizochochea Mwanakijiji ni pamoja na :
kutetea wahamiaji haramu wanaoua watanzania
kuhamasisha walimu wasifundishe wanafunzi
Kuhamasisha madaktari wasitibie wagonjwa
Kuhamasisha watu wasilipe kodi
Kumchochea Kadinali Pengo aanzishe vita
Kuhamasisha watanzania kususia mchakato wa Katiba Mpya
Kuhamasishwa wananchi waikataze serikali kununua mitambo ya kuzalisha umeme
Kusambaza habari za uongo juu ya Rais wa Nchi
Kuhamasisha chama cha siasa kuanzisha kikundi cha vurugu
Kuhamasisha watu waukatae Muungano
Kuhamasisha wananchi wakatae kushiriki shughuli za maendeleo.
Na wewe usipotukana utakosa cheka Bombastik pale makao makuu kino?Ukikasirika si utakosa buku 7?
Muulize invisible au mwambie mzushi mwenzako Yericko akusaidie kuuliza kwa modsAh! yule mfuasi mwenzenu wa shetani Mohamed Saidi! kwani ile haikuwa ID yako nyingine?
Hii ni dalili kuwa unaona aibu kwa chuki ulizoanza kuzisambaza. Watu wanaokusoma humu na waliosoma thread yako ambayo ilibidi ifutwe immediately kwa kueneza chuki mbaya,wanaona jinsi malengo yako yasivyo mema. Ndio maana mgomo wako wa simu UMEFELI...
Kuna thread moja iliorodhesha baadhi ya harakati zako za kuchochea chuki na vurugu nchini. Sasa kwenye ile list umeongeza harakati nyingine ya kutetea wahamiaji haramu wanaoua watanzania. Kwa hiyo updated list toka kwenye thread inayoelezea fitina zako kwa nchi yetu ya awali inakuwa hivi:
Miongoni mwa vurugu alizochochea Mwanakijiji ni pamoja na :
kutetea wahamiaji haramu wanaoua watanzania
kuhamasisha walimu wasifundishe wanafunzi
Kuhamasisha madaktari wasitibie wagonjwa
Kuhamasisha watu wasilipe kodi
Kumchochea Kadinali Pengo aanzishe vita
Kuhamasisha watanzania kususia mchakato wa Katiba Mpya
Kuhamasishwa wananchi waikataze serikali kununua mitambo ya kuzalisha umeme
Kusambaza habari za uongo juu ya Rais wa Nchi
Kuhamasisha chama cha siasa kuanzisha kikundi cha vurugu
Kuhamasisha watu waukatae Muungano
Kuhamasisha wananchi wakatae kushiriki shughuli za maendeleo.
Mkuu umesahau hili;Hii ni dalili kuwa unaona aibu kwa chuki ulizoanza kuzisambaza. Watu wanaokusoma humu na waliosoma thread yako ambayo ilibidi ifutwe immediately kwa kueneza chuki mbaya,wanaona jinsi malengo yako yasivyo mema. Ndio maana mgomo wako wa simu UMEFELI...
Kuna thread moja iliorodhesha baadhi ya harakati zako za kuchochea chuki na vurugu nchini. Sasa kwenye ile list umeongeza harakati nyingine ya kutetea wahamiaji haramu wanaoua watanzania. Kwa hiyo updated list toka kwenye thread inayoelezea fitina zako kwa nchi yetu ya awali inakuwa hivi:
Miongoni mwa vurugu alizochochea Mwanakijiji ni pamoja na :
kutetea wahamiaji haramu wanaoua watanzania
kuhamasisha walimu wasifundishe wanafunzi
Kuhamasisha madaktari wasitibie wagonjwa
Kuhamasisha watu wasilipe kodi
Kumchochea Kadinali Pengo aanzishe vita
Kuhamasisha watanzania kususia mchakato wa Katiba Mpya
Kuhamasishwa wananchi waikataze serikali kununua mitambo ya kuzalisha umeme
Kusambaza habari za uongo juu ya Rais wa Nchi
Kuhamasisha chama cha siasa kuanzisha kikundi cha vurugu
Kuhamasisha watu waukatae Muungano
Kuhamasisha wananchi wakatae kushiriki shughuli za maendeleo.
Mkuu umesahau hili;
Kuhamasisha watu wapate ukimwi kwa kuandika kitabu hiki
Tatizo la wahamiaji haramu halijaanza leo, ni la muda muda mrefu, na haliko kagera tu, mipakani pote watu wanaingia TZ kama kwao. pia ukumbuke kuwa hawa wametapakaa nchi nzima kwa sasa, so ningetegemea rais aongelee wahamiaji wote, yaani iwe ni operation ya taifa Zima. Kimsingi timing ya uamuzi huu wa rais, na aina ya wahamiaji ambao tunajua ndo wataathirika sana na tamko hili wanaeleweka, so nahisi uamizi n wa jazba iliyotokana na kutuolewana kwake na kagame,Tatizo la Mwanakijiji ni kutokuijua Tanzania vizuri.
Yaani macho yake yameishia kuona kwamba wahamiaji haramu ni swala linalohusu chokochoko za kagame. Hujui kabisa kuwa Tanzania kuna sehemu huwezi kusafiri bila escort ya polisi kwa sababu ya wahamiaji haramu.
Hivi hao waganda unaowazungumzia walikuwa wanazuia watanzania kufanya movements zao nchini kwao?
Kumchukia kwako Kikwete kunakufanya kila analosema au kulifanya utafute jinsi ya kulipinga!
By the way, unapomlinganisha Nyerere na Kikwete unataka kujustify nini???
Chuki itakupeleka kubaya Mwanakijiji.