Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,172
Asante mkuu Elungata kwa kujikita katika kujibu swali la MWANAKIjiji. Nadhani na wengine wanaweza kuusaidia mjadala huu iwapo watafanya hivijibu ni kwamba hakukua na wahamiaji haramu kipindi hicho,kama walikuwepo hawakufika hata kumi so hawangeweza kuwa tishio.wapinzani wa idd amini wengi walikuwa wamekimbilia Tanzania akiwamo obote,hao hawakuwa tishio kwa usalama.
Wanyaru wa sasa wanatishia amani huko mikoa ya pembezoni.
Last edited by a moderator: