Swali Rahisi: Nyerere aliwashughulikiaje Waganda "Illegals" wakati wa "chokochoko" Za Idi Amin?

Asante mkuu Elungata kwa kujikita katika kujibu swali la MWANAKIjiji. Nadhani na wengine wanaweza kuusaidia mjadala huu iwapo watafanya hivi
 
Last edited by a moderator:


JokaKuu utaona sijatumia nano "wakimbizi". Rudia tena kusoma uone kama ni apples na oranges..
 
Last edited by a moderator:
Kwnai mbwembwe za Kikwete zimeishia wapi mpaka unazifananisha na za Nyarandu?
bado tunaendelea na tutaendelea kuwa na wahamiaji haramu tena wenye madhara kuliko hao wachunga ngo'mbe ....usifikirie kama uko ndani ya chupa.kama kweli tuko serious na sio kusukumwa na hasira basi tuanze na wahamiaji MAHARAMIA ambao pengine wamo hata kwenye vyama vyetu na wana nyadhifa...najua unanielewa!
 

Unaharibu hoja ya maana.....unaanzakuingiza mashambulizi binafsi!!
Umehodhi thread ya mtu kwa upuuzi!! Ndio maana nawachukia sana mashabiki wa JK na CCM yake!
 

Sasa ndugu yangu Kishimbe wa Kishimbe, kwani nimebisha wasiondoke? Hawa waondoke tu. Lakini kwa namna ambayo haiwafanyi Watanzania na Wanyarwanda maadui. Uhusiano mzuri kulegalega kati ya nchi hizi siyo jambo zuri hata kidogo na wala halina faida yoyote kwa yeyote!

Na ni kwa nini hili zoezi lije leo wakati hawa wahamiaji wana miongo kadhaa humu? Mbona nashawishika kuwa ni hasira tu za manenomaneno ya Rais wa Jirani?

Noo bhana! pamoja na matusi yako ya dhati kwangu, nadhani hakuna haja ya ubabe na hasira. Hii siku zote huwa haijengi. And you know what? watu wana draw lines kwa kuangalia nani amefanya nini! Sasa kama wewe unaona ni halali au inapendeza "chizi akichukua nguo zako wakati unaoga" na wewe utimke mbio kumfukuza haya. Mie simo
 

Umepata wapi wazo kuwa huu ni mwanzo tu?
 
Unajivunia kutukana tusi kubwa sana badala ya kujadili hoja kwa hoja?

Mkulu

Invisible na timu yake hawaruhusu matumizi ya lugha ngumu kwenye hii forum tukufu...lakini naomba ujue kwamba nimekutukana tusi kubwa sana...
 
Kwnai mbwembwe za Kikwete zimeishia wapi mpaka unazifananisha na za Nyarandu?
Jibu swali, kwa nini hilo la wachina aliachiwa waziri husika na hili la wanyarwanda Mkuu wa inchi ndio ameamua kulisemea?
 
Way too out again. Hakuna anayesema waendelee kukaa Tanzania. Tunasema busara na diplomacy ni better than bifu!
Wher's da beef?
Mbona mna perpetute mambo?

Do you know what beef is? Ask yorself, do you know what beef is?
- Sean "puffy" Combs, introducing whats beef, 1996.

" Beef is when you need two gats to go to sleep, beef is when your moms ain't safe up in the streets.
Beef is when I see you, guarantee to be I.C.U,

ONE MO' TIME!, WHATS BEEF

Beef is when you make your enemies start their Jeeps, Beef is when you roll No less than 30 deep,
Beef is when I see you, guarantee to be I.C.U,
And I'm thru.... "
-Notorious B.I.G, What's beef. 1996
 
Naendelea kusoma nakutafakari hoja iliyopo,

Ni nzuri na inamajibu mengi sana,

Ili tujifunze kwa upana hali ya diplomasia kati ya Julius Nyerere na Idd Amin Dada inatulazimu turejee nyuma kabisa mwanzoni mwa 1973, na tumulike mtazomo wa UN, OAU, na EA,

Kisha tuangaze TISS ya Julius Nyerere na filosofia zake za ndani na nje,

Tuangazia Military Intelligence yetu ilikuwa,

Kisha tuje shambulio la maguruneti ya Idd Amin pale Mwanza, na tumalizie na Vita kamili vya MTUKULA

Lakini naamini Mwanakijiji unamtazomo HASI juu ya agizo la Amiri jeshi mkuu wa Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama la kutaka WAHAMIAJI HARAMU wote kuondoka nchini kabla ya mkono wa SHERIA haujawafikia,

Nitarejea baadae
 

I give up my dear.
 
Jibu swali, kwa nini hilo la wachina aliachiwa waziri husika na hili la wanyarwanda Mkuu wa inchi ndio ameamua kulisemea?

Kweanza sio la wanyarwanda ni la wageni haramu bila kujali wanakotoka.

Pili ameingilia kati rais kwa sababu wahamiaji hao wanatumia silaha za kivita. Rais ndio amiri jeshi, hakuna waziria anayeweza kuamuru majeshi.

Umeshawahi kuona mchina kashika bunduki Kariakoo anaua watu?

Mwanakijiji anajitia aibu kwa chuki yake iliyomjaa kiasi cha kutetea watu wanaoua watanzania...
 
jokaKuu,
Mimi nimemwelewa Mwanakijiji. Of course Nyerere hajawahi kufukuza mkimbizi yeyote iwe ametoka Kenya, Uganda hata Malawi. Ndio point ya Mwanakijiji hiyo. Waganda waliosaidiwa ni wale waliokimbia kutoka utawala wa Idd Amin. Hivi huoni kuwa ni ajabu kwa rais Kikwete kutaka wakimbizi wasio halali warudi kwao wakati huu wa ugomvi wake na Kagame? Je, atafanya msako pale Kariakoo kuwaondoa Wachina, wahindi na wapakistan walioko Tanzania kinyume na sheria. Kwa nini wanaoondoka ni Wanyarwanda peke yao?
 
Swali la pili(sio kwamba la kwanza umepatia)
Je kati ya hayo 'mauaji' yaliyofanyika huko kagera na Mauaji ya watoto na kina mama wahanga wa mabomu kule olasiti na soweto kipi kinahitaji intervention ya Rais?

DOSE INAENDELEA!!
 
Mwanakijiji hana chuki yeyote na mtu yeyote, isipokuwa ana hoja nzuri, Unaposema Raisi ndio amiri jeshi mkuu wa majeshi, ina maana ameyaamuru majeshi kufanya kazi kuwarudisha kwao hao wahamiaji haramu?,
Hapo ndipo hoja ya mwanakijiji ilipo, Je huo ndio utaratibu wa kikatiba wa ku deal na wahamiaji haramu?
 

Mwanakijiji is an IDIOT asiyejua kinachoendelea Tanzania. Anaendeshwa na chuki iliyomjaa juu ya Rais wetu.

Hao wahamiaji haramu wana silaha za kivita na wanaua polisi na watanzania wengine wanaoishi maeneo hayo. Mtu mwenye silaha ya kivita unamuondoa kwa kutumia nini zaidi ya jeshi?
 
Swali la pili(sio kwamba la kwanza umepatia)
Je kati ya hayo 'mauaji' yaliyofanyika huko kagera na Mauaji ya watoto na kina mama wahanga wa mabomu kule olasiti na soweto kipi kinahitaji intervention ya Rais?

DOSE INAENDELEA!!

Kila kitu kina utaratibu wake wa kukishighulikia.
 

Nani aliyesema wanaoondoka ni wanyarwanda peke yao?
 
Ndio, ana mtazamo HASI, ndio maana amecritisize, tuambie wewe sasa, ni halali kufukuza raia wa nchi fulani kisa umetukanwa na mkuu wao wa nchi?
 
Nani aliyesema wanaoondoka ni wanyarwanda peke yao?
Hapa tuweni wakweli tu, waliolengwa kwenye huo mwavuli wa wahamiaji haramu ni wanyarwanda, tuacheni unafiki.
Kama hakulenga wanyarwanda, kwa nini azungumzie kwenye wahamiaji wengi wanyarwana asiende kuzungumzia mpaka wa Namanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…