Swali Rahisi: Nyerere aliwashughulikiaje Waganda "Illegals" wakati wa "chokochoko" Za Idi Amin?

Ni maamuzi ya kisiasa kwasababu siasa intawala maisha yako. Kama Kgame alivyotukana hakuhitaji ushauri wa Daktari au Engineer. Haya ni maamuzi ya utawala unaowekwa kwa njia za siasa. FYI kurudisha wahamiaji haramu ni agenda katika kampeni za Marekani na kwingineko, je si maamuzi ya kisiasa?
Hivi unahitaji mtaalam wa madini, daktari au Engineer kuamua kuwa mhamiaji haramu aburuzwe kwenda kwao.

Maamuzi yamepangiliwa ndio maana hakuna Mtanzania anayepelekwa Rwanda kwa bahati mbaya, na kuwa wamezingirwa na wanvuka mpaka wenyewe. Bila mpangilio huwezi kukabaliana na M23 Tanzania branch ya Kagame

Hakuna ubaguzi wa kumshughulikia mhalifu. Serikali ya Tanzania haihitaji ridhaa ya Kagame katika kutekeleza majukumu yake.

Ni endelevu kwasababu wakirudi itatufutwa mbinu nyingine. Kwa kiasi fulani nakubaliana nawe kwasababu walipaswa wafikishwe mahakamani waadhibiwe, wakimaliza adhabu zao warudi kwa Kagame kwa amani.

naona taratibu unaanza kulielewa somo.
Umetoa mfano mzuri sana wa jinsi USA ilivyoshughulikia/inavyoshughulikia suala la wahamiaji haramu.Nieleze sera ya ccm juu ya suala wahamiaji.

Ni ubaguzi kwa kuwa wahamiaji haramu hawako kagera tu na wala si wanyarwanda tu(usiseme hawa ni wahalifu kwani uhalifu umetapakaa nchi nzima).

Sio endelevu kwa kuwa uamuzi huu haukuangalia chanzo halisi cha uwepo wa wahamiaji haramu badala yake chanzo kimekuwa ni matusi ya kagame.

Sote tunaipenda nchi yetu
Sote tunawapenda wana kagera
Sote tumechukizwa na matusi ya kagame dhidi ya taasisi ya urais

Kamwe tusilipe ubaya kwa mabaya bali tulipe ubaya kwa wema ikiwa kweli Tanzania ni kitovu cha amani.
 
naona taratibu unaanza kulielewa somo.
Umetoa mfano mzuri sana wa jinsi USA ilivyoshughulikia/inavyoshughulikia suala la wahamiaji haramu.Nieleze sera ya ccm juu ya suala wahamiaji.

Ni ubaguzi kwa kuwa wahamiaji haramu hawako kagera tu na wala si wanyarwanda tu(usiseme hawa ni wahalifu kwani uhalifu umetapakaa nchi nzima).

Sio endelevu kwa kuwa uamuzi huu haukuangalia chanzo halisi cha uwepo wa wahamiaji haramu badala yake chanzo kimekuwa ni matusi ya kagame.
Sina uhakika kama hilo lipo katika sera za CCM, lakini kwa kutambua kuwa sheria za uhamiaji zilitungwa CCM ikiwa chama pekee sina shaka kuwa uhamaiji haramu ni uhalifu na wahalifu wanapswa kufikishwa mbele ya sheria.

Pengine JK kama mwenyekiti na rais wa serikali ya CCM anaweza kuwa amekiuka misingi ya chama na serikali yake kuwaomba waondoke na si kuwafikisha mbele ya sheria kwa mujibu wa sheria za nchi

Uamuzi uliangalia chanzo na matokeo yake. Chanzo ni kutokuwa na hali ya amani na usalama nchini Rwanda. Matokeo yake ni kushamiri uajamazi uhalifu na udhalilishwaji wa wananchi wa Kagera.

Kwa mtizamo huo serikali ya Tanzania ikaona ni vema ianze na chanzo ambacho ni Watusi na Wahutu.
Ikamshauri Kagame aongee nao kwasababu mtutu wa bunduki haujawahi kuleta amani popote duniani.

Kagame akakataa kukabiliana na chanzo na kumtukana JK. jK hana chaguo bali kulinda sheria zitokanazo na katiba ya JMT aliyoapa kuitetea ikiwa ni pamoja na kuwapa ulinzi watu na mali zao wakiwemo wananchi wa Kagera kwa kuwaondoa wahalifu wahamiaji haramu kwa vile hana 'smart part partner' wa kushikiana naye.

Wahamiaji haramu wapo nchi nzima, hiyo haiondoi ukweli kuwa ni wahalifu.
Hata wangekuwa 2/3 ya nchi midhali kuna sheria inayowatambua kuwa ni wahalifu basi watabaki kuwa wahalifu hadi sheria hiyo itakapotamka vinginevyo.

Hakuna utetezi wa uhalifu kwa kuangalia uhalifu mwingine. Mnyarwanda hatashtakiwa kwa uhalifu kwasababu kuna Mtanzania mhalifu aliyeshtakiwa.

Vivyo hivyo mnayarwanda atashtakiwa kama Mnyarwanda bila kuangalia mchina au mrusi. Kila mtu anasiamama mbele ya sheria kukabiliana na asheria kama yeye na si kwa reference ya mtu mwingine.

Yes maneno ya Kagame kama rais wa Rwanda kumdhuru mwenzake huku akiwa na 20,000 wasiojulikana wameingiaje na wanaishi vipi tena wakiwa na historia chafu sana ya mauji na ujambazi kama Kagame haitoi nafasi ya kuliacha kundi hili eti kwasababu kuna Wagambia 2 wanaosihi kama wahamiaji haramu

Kama hawa si wahamiaji haramu, wapo kundi gani? I mean tuwaiteje?

Pili, huyu masikini aiyebeba gunia na SMG ni masikini wa kuonewa huruma huyu.
Kwanini msionee huruma watu wa Kagera wanaoteswa na hawa masikini.
Kwamba masikini wa Kagera ni dhalili zaidi ya masikini mhamiaji haramu wa Kinyarwanda?
Huna jipya na tunakujua with your ant Tutsi stance all over JF na kwa akili yako na wapuuzi wenzako mnafikiri wanaoathirika na hiyo kumba kumba ni tutsi peke yao(your wish) ingawaje huwezi kusema humu,FYI wanaoathirika ni hao maskini wahamiaji ambao hawajui hata sheria na hakuna mtu wa kuwasaidia na hawana idea na huo ujambazi au utekaji mabasi,wahamiaji waliosoma na wenye pesa wengi walisharudi kwao au wana paper zao tayari na wengi wao ndio madaktari wako wafanyabiashara wakubwa na wamejaa mpaka Havard,hao maskini wanahitaji msaada sio kuwaburuza kama kuku
 
Sina uhakika kama hilo lipo katika sera za CCM, lakini kwa kutambua kuwa sheria za uhamiaji zilitungwa CCM ikiwa chama pekee sina shaka kuwa uhamaiji haramu ni uhalifu na wahalifu wanapswa kufikishwa mbele ya sheria.

Pengine JK kama mwenyekiti na rais wa serikali ya CCM anaweza kuwa amekiuka misingi ya chama na serikali yake kuwaomba waondoke na si kuwafikisha mbele ya sheria kwa mujibu wa sheria za nchi

Uamuzi uliangalia chanzo na matokeo yake. Chanzo ni kutokuwa na hali ya amani na usalama nchini Rwanda. Matokeo yake ni kushamiri uajamazi uhalifu na udhalilishwaji wa wananchi wa Kagera.

Kwa mtizamo huo serikali ya Tanzania ikaona ni vema ianze na chanzo ambacho ni Watusi na Wahutu.
Ikamshauri Kagame aongee nao kwasababu mtutu wa bunduki haujawahi kuleta amani popote duniani.

Kagame akakataa kukabiliana na chanzo na kumtukana JK. jK hana chaguo bali kulinda sheria zitokanazo na katiba ya JMT aliyoapa kuitetea ikiwa ni pamoja na kuwapa ulinzi watu na mali zao wakiwemo wananchi wa Kagera kwa kuwaondoa wahalifu wahamiaji haramu kwa vile hana 'smart part partner' wa kushikiana naye.

Wahamiaji haramu wapo nchi nzima, hiyo haiondoi ukweli kuwa ni wahalifu.
Hata wangekuwa 2/3 ya nchi midhali kuna sheria inayowatambua kuwa ni wahalifu basi watabaki kuwa wahalifu hadi sheria hiyo itakapotamka vinginevyo.

Hakuna utetezi wa uhalifu kwa kuangalia uhalifu mwingine. Mnyarwanda hatashtakiwa kwa uhalifu kwasababu kuna Mtanzania mhalifu aliyeshtakiwa.

Vivyo hivyo mnayarwanda atashtakiwa kama Mnyarwanda bila kuangalia mchina au mrusi. Kila mtu anasiamama mbele ya sheria kukabiliana na asheria kama yeye na si kwa reference ya mtu mwingine.

Yes maneno ya Kagame kama rais wa Rwanda kumdhuru mwenzake huku akiwa na 20,000 wasiojulikana wameingiaje na wanaishi vipi tena wakiwa na historia chafu sana ya mauji na ujambazi kama Kagame haitoi nafasi ya kuliacha kundi hili eti kwasababu kuna Wagambia 2 wanaosihi kama wahamiaji haramu

dead wrong!!
Nimekuuliza sera za ccm na sio sheria za nchi.
Tulishapiga kelele juu ya kufanya mambo kwa zima moto na hili la wahamiaji haramu limeingia kwenye list.

Labda nikuulize,hawa wanyarwanda 20000(sijui hii figure umeitoa wapi) waliingia siku moja?

Leo hii unawaona wagambia wawili ni wachache na hivyo huchukui hatua kisa rais wao hajatukana.nakuhakikishia wagambia wawili watakuwa milioni mbili.

Inaelekea suala la uhamiaji haramu ni geni sana masikioni mwako.naona unachanganya kati ya uhamiaji haramu na ukimbizi!
 
Huna jipya na tunakujua with your ant Tutsi stance all over JF na kwa akili yako na wapuuzi wenzako mnafikiri wanaoathirika na hiyo kumba kumba ni tutsi peke yao(your wish) ingawaje huwezi kusema humu,FYI wanaoathirika ni hao maskini wahamiaji ambao hawajui hata sheria na hakuna mtu wa kuwasaidia na hawana idea na huo ujambazi au utekaji mabasi,wahamiaji waliosoma na wenye pesa wengi walisharudi kwao au wana paper zao tayari na wengi wao ndio madaktari wako wafanyabiashara wakubwa na wamejaa mpaka Havard,hao maskini wanahitaji msaada sio kuwaburuza kama kuku
No thank you sir! ninasema kutetea hoja zangu kwa mantiki. Sina sababu ya Ututsi wala Uhutu kwasababu hawanihusu in anyway. Nakuomba ujikite katika mada na mjadala wa hoja badala ya matusi.

Nimekuuliza kama si wahamiaji haramu wanaitwaje?
Je, kuna sheria gani ya nchi hii au duniani inayoruhusu mhalifu apewe msamaha kwasababu ya hali yake ya kimaisha.

Kama huwezi kukabiliana na hoja basi kaa kimya kwasababu sisi wengine hatuna elimu au vipaji vya matusi, sasa itakuwaje ukiwa mwenyewe ukumbini?
 
dead wrong!!
Nimekuuliza sera za ccm na sio sheria za nchi.
Tulishapiga kelele juu ya kufanya mambo kwa zima moto na hili la wahamiaji haramu limeingia kwenye list.

Labda nikuulize,hawa wanyarwanda 20000(sijui hii figure umeitoa wapi) waliingia siku moja?

Leo hii unawaona wagambia wawili ni wachache na hivyo huchukui hatua kisa rais wao hajatukana.nakuhakikishia wagambia wawili watakuwa milioni mbili.

Inaelekea suala la uhamiaji haramu ni geni sana masikioni mwako.naona unachanganya kati ya uhamiaji haramu na ukimbizi!
No, nimesema huko nyuma kuwa Wagambia wawili wasioungwa mkono na rais mpuuzi hawawezi kuleta madhara tunayotajia kutokea kwa Wanyarwanda 20,000 wenye hisyori chafu ya ujambazi.

Ni rahisi kukabiliana na wagambia 3 wanaotaka kunyang'anya nyumba ya mtu(hawana uwezo wa kuchukua mtaa) kuliko wanyarwanda 20-000 ambao tuna ushahidi usio na shaka kuwa wameleta madhara kwa nchi kubwa kukliko zote Afrika ya DRC. Hawa wanyarwanda wanaongozwa na mtu kama Kagame ni hatari sana kuliko Wagambia 2. Wanaweza kutuletea Goma nyingine. PK si mwanadamu wa kawaida yule

Kuhusu kama hiyo ni sera au si sera bado haiondoi ukweli kuwa sheria za nchi zinatamka kuwa wahamiaji haramu ni wahalifu. Kutokuwepo kwa sera hakufanyi Rwanda iwe na haki ya kusukumiza raia wake nchi nyingine tena ikielewa ni wahalifu na wanafanya uhalifu.

Mtu wa Kagera ukimuuliza kama hiyo ni sera ya CCM au la lazima atakuona punguani.
Shida yake si sera kwasasa, shida yake ni kuwa amekimbia yupo Mwanza na Shinyanga huku Wanyarwanda waliotumia magrenade kutwaa ardhi yake wakiweka mifugo yao eti tunaambiwa ni masikini wafikiriwe.

Ni upuuuzi uliokithiri kudhani masikini anayetumia SMG kufunga barbara na kupora anahitaji kufikiriwa kuliko raia mwema wa Kagera aliyekimbia nyumba yake. Tena masikini huyo akiwa mhalifu mkubwa
 
No thank you sir! ninasema kutetea hoja zangu kwa mantiki. Sina sababu ya Ututsi wala Uhutu kwasababu hawanihusu in anyway. Nakuomba ujikite katika mada na mjadala wa hoja badala ya matusi.

Nimekuuliza kama si wahamiaji haramu wanaitwaje?
Je, kuna sheria gani ya nchi hii au duniani inayoruhusu mhalifu apewe msamaha kwasababu ya hali yake ya kimaisha.

Kama huwezi kukabiliana na hoja basi kaa kimya kwasababu sisi wengine hatuna elimu au vipaji vya matusi, sasa itakuwaje ukiwa mwenyewe ukumbini?
say what you say,post zako zote ni tutsi hater so usijifanye hapa hawakuhusu wakati you preach your hate everyday,na kwa akili yako mbovu umerukia hii debate for reason only ya kuwachukia watutsi na wala sio uhamiaji haramu....just GTFO!!
 
Hoja ni kuwa kama si wahamiaji haramu, je wanaitwaje?
Je, kuna sheria gani Rwanda au duniani popote ambapo uvunjaji wa sheria unazingatia hali ya maisha ya mtu

Mimi sijali unasema nini, ninajali kam unapata darsa na nimeridhika kwasababu matusi ndio silaha nyepesi rahisi na nzuri uliyobaki nayo. Mimi sina silaha hiyo nina silaha inayoitwa hoja.
 
huna hoja,just keep your hate going!
 
No, nimesema huko nyuma kuwa Wagambia wawili wasioungwa mkono na rais mpuuzi hawawezi kuleta madhara tunayotajia kutokea kwa Wanyarwanda 20,000 wenye hisyori chafu ya ujambazi.

Ni rahisi kukabiliana na wagambia 3 wanaotaka kunyang'anya nyumba ya mtu(hawana uwezo wa kuchukua mtaa) kuliko wanyarwanda 20-000 ambao tuna ushahidi usio na shaka kuwa wameleta madhara kwa nchi kubwa kukliko zote Afrika ya DRC. Hawa wanyarwanda wanaongozwa na mtu kama Kagame ni hatari sana kuliko Wagambia 2. Wanaweza kutuletea Goma nyingine. PK si mwanadamu wa kawaida yule

Kuhusu kama hiyo ni sera au si sera bado haiondoi ukweli kuwa sheria za nchi zinatamka kuwa wahamiaji haramu ni wahalifu. Kutokuwepo kwa sera hakufanyi Rwanda iwe na haki ya kusukumiza raia wake nchi nyingine tena ikielewa ni wahalifu na wanafanya uhalifu.

Mtu wa Kagera ukimuuliza kama hiyo ni sera ya CCM au la lazima atakuona punguani.
Shida yake si sera kwasasa, shida yake ni kuwa amekimbia yupo Mwanza na Shinyanga huku Wanyarwanda waliotumia magrenade kutwaa ardhi yake wakiweka mifugo yao eti tunaambiwa ni masikini wafikiriwe.

Ni upuuuzi uliokithiri kudhani masikini anayetumia SMG kufunga barbara na kupora anahitaji kufikiriwa kuliko raia mwema wa Kagera aliyekimbia nyumba yake. Tena masikini huyo akiwa mhalifu mkubwa
Again punguza gazeti weka points!
Umeongelea wahalifu wahalifu wahalifu!
Nipe takwimu za idadi ya wahamaji haramu kutoka rwanda waliohusika kwenye ujambazi/utekaji.
 
Kama serikali haikujua huo ni uzembe mkubwa. Hiyo haitoi excuse kwa mhalifu. Kutakuwa na makosa mawili; Kwanza uzembe wa serikali na pili wahamiaji haramu.
Huu wa serikali sisi Watanzania tuta deal nao kwasababu ni tatizo sugu, lakini basi wahamiaji HARAMU waondoke kwasababu ni haki yao kuondoka na si haki yao kuishi bila kujua ni akina nani na wanafanya nini.

Katika nchi za ulaya na marekani ulizotaja hakuna iliyowahi kutoa uraia kwa wakimbizi kwa siku moja katika idadi ya 160,000. Je, hapo rekodi ya Tanzania haionekani? Kwanini ionekane kwa 10,000 tena wanaoombwa warudi kwao.

Nadhani kupewa muda wa kuondoka ni ukarimu sana ukizingatia uingiaji na ukaaji wao ni haramu.
Kilichopaswa kufanywa ni kuwazingira kuwakamata na kuwashtaki kwasababu wamevunja.
Kwa hili nadhani serikali imekiuka taratibu zake na kuvunja katiba kwa kutoacha mkondo wa sheria ufanye kazi yake

Suala la kuoa, kuzaa watoto n.k hilo ni la mtu binafsi. Hakuna taifa linalotoa uraia kwa mtu kwasababu amezaa watoto.
Watoto watapewa hadhi yao ya uraia na hiyo haiondoi ukweli kuwa wazazi wao ni wahalifu na wanatakiwa wachukuliwe hatua za kisheria na wala si kuambiwa waondoke.

Na mwisho, kwani kuna tatizo gani wao kuambiwa wameingia kinyume cha sheria na warudi kwao? Sheria au haki gani ya binadamu imekiukwa?

Mkuu nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa na kama nilivyosema hapo mwanzo hakuna anayependa kuona tatizo hili linaendelea ila, in case, linatokea kutokana na mapungufu yetu ya kiutendaji na hawa ni binadamu ni lazima lishughulikiwa kwa kuzingatia UTU na UBINADAMU wao!!

  • Katika RED BOLD hicho ndicho ilichopaswa kufanya serikali yetu. Na si umemsikia Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Rwanda akilalamika kuwa serikali yao haijahusishwa katika hili ili ijiandae namna ya kuwapokea? Sawa, wakati wa kuingia kwao nchini mwetu hawakufuata sheria (na kuwaita wahamiaji Haramu) laikini hili haliwaondolei haki ya kutendewa kama BINADAMU. Na pia kwa nini hili lifanyike katika wakati huu ambao Marais hawa (wa kwetu JK) na Rwanda PK wanalumbana juu ya mgogoro wa DRC na waasi FDRL? Walikuwa wapi hapo mwanzo mpaka watu wameishi miaka 5, 10 hadi 20 na wengine kuoa/kuolewa mpaka kumiliki ardhi na hata kudhani pengine kuwa hii nchi isiyo na taratibu wala sheria? Je, hii haitoi picha kwamba Rais wetu anaumiza watu wengine raia wa kawaida tu kwa ungomvi wao binafsi??...Mimi, honestly, nikiri sijui kuwa JK na PK wanachogombania na kurushiana maneno makali makali!!!

  • Katika BLUE BOLD hakuna TATIZO LOLOTE isipokuwa; KUTOKUWATENDEA KWA MUJIBU WA SHERIA za NCHI YENU WENYEWE na za KIMATAIFA ni kukiuka haki za binadamu na ni KUZIKIUKA SHERIA HIZO!.....(Rejea ibara za katiba alizozitoa MZEE MWANAKIJIJI mleta hoja hii)
 
Kama serikali haikujua huo ni uzembe mkubwa. Hiyo haitoi excuse kwa mhalifu. Kutakuwa na makosa mawili; Kwanza uzembe wa serikali na pili wahamiaji haramu.
Huu wa serikali sisi Watanzania tuta deal nao kwasababu ni tatizo sugu, lakini basi wahamiaji HARAMU waondoke kwasababu ni haki yao kuondoka na si haki yao kuishi bila kujua ni akina nani na wanafanya nini.

Katika nchi za ulaya na marekani ulizotaja hakuna iliyowahi kutoa uraia kwa wakimbizi kwa siku moja katika idadi ya 160,000. Je, hapo rekodi ya Tanzania haionekani? Kwanini ionekane kwa 10,000 tena wanaoombwa warudi kwao.

Nadhani kupewa muda wa kuondoka ni ukarimu sana ukizingatia uingiaji na ukaaji wao ni haramu.
Kilichopaswa kufanywa ni kuwazingira kuwakamata na kuwashtaki kwasababu wamevunja.
Kwa hili nadhani serikali imekiuka taratibu zake na kuvunja katiba kwa kutoacha mkondo wa sheria ufanye kazi yake

Suala la kuoa, kuzaa watoto n.k hilo ni la mtu binafsi. Hakuna taifa linalotoa uraia kwa mtu kwasababu amezaa watoto.
Watoto watapewa hadhi yao ya uraia na hiyo haiondoi ukweli kuwa wazazi wao ni wahalifu na wanatakiwa wachukuliwe hatua za kisheria na wala si kuambiwa waondoke.

Na mwisho, kwani kuna tatizo gani wao kuambiwa wameingia kinyume cha sheria na warudi kwao? Sheria au haki gani ya binadamu imekiukwa?

Mkuu nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa na kama nilivyosema hapo mwanzo hakuna anayependa kuona tatizo hili linaendelea ila, in case, linatokea kutokana na mapungufu yetu ya kiutendaji na hawa ni binadamu ni lazima lishughulikiwa kwa kuzingatia UTU na UBINADAMU wao!!

  • Katika RED BOLD hicho ndicho ilichopaswa kufanya serikali yetu. Na si umemsikia Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Rwanda akilalamika kuwa serikali yao haijahusishwa katika hili ili ijiandae namna ya kuwapokea? Sawa, wakati wa kuingia kwao nchini mwetu hawakufuata sheria (na kuwaita wahamiaji Haramu) laikini hili haliwaondolei haki ya kutendewa kama BINADAMU. Na pia kwa nini hili lifanyike wakati huu ambao hawa jamaa JK na Rwanda PK wanalumbana juu ya mgogoro wa DRC na waasi FDRL? Walikuwa wapi hapo mwanzo mpaka watu wameishi miaka 5, 10 hadi 20 na wengine kuoa/kuolewa mpaka kumiliki ardhi na hata kudhani pengine kuwa hii nchi haina sheria wala taratibu? Je, hii haitoi picha kwamba Rais wetu anaumiza watu wengine raia wa kawaida tu kwa ungomvi wao binafsi??...Mimi, honestly, nikiri wazi kuwa sijui JK na PK wanachogombania na kurushiana maneno makali makali!!!

  • Katika BLUE BOLD hakuna TATIZO LOLOTE isipokuwa; KUTOKUWATENDEA KWA MUJIBU WA SHERIA za NCHI YENU WENYEWE na za KIMATAIFA ni kukiuka haki za binadamu na ni KUZIKIUKA SHERIA HIZO!Au je, mhalifu naye si analindwa na sheria pia?? .....(Rejea ibara za katiba alizozitoa MZEE MWANAKIJIJI mleta hoja hii)
 
Again punguza gazeti weka points!
Umeongelea wahalifu wahalifu wahalifu!
Nipe takwimu za idadi ya wahamaji haramu kutoka rwanda waliohusika kwenye ujambazi/utekaji.

Haihitajiki takwimu ya kujua walio fanya uhalifu,hoja ni kuwa wahamiaji haramu warudi kwa rwanda! Hivi mtu au raia kuambiwa arudi kwao ni kunyanyaswa au kuonewa?
 
Kitaturu, murutongore, Jasusi, Ritz, Koba, Nguruvi3, meningitis,

..soma hii article hapa chini.

..as recent as July 31, 2013, Rwanda imefukuza wakimbizi toka Congo.

..sasa leo Rwanda wako kila mahali kutuchafua wa-Tz kwa kurudisha nyumbani wahamiaji haramu.

..wahamiaji haramu ni mzigo mkubwa sana kwa serikali yetu ambayo ni masikini. kwanini watu hawa hawabaki Rwanda ambako kuna hali nzuri ya kimaisha kuliko Tanzania??

..2003 wako wahamiaji toka Rwanda waliingia Tanzania. Serikali ilipojaribu kuwaandikisha kama wakimbizi wakakataa na kukimbilia Uganda.

..Let be honest jamani, hawa watu wanaingia nchini wakijua kabisa kwamba wana-violate sheria za uhamiaji za Tanzania.

Rwanda to expel 320 Congolese refugees

Kigali, Rwanda (PANA) – The Rwandan authorities will from next week expel 320 Congolese refugees in the Busasamana camp in the north-west of the country for attempting to return home recently by passing through non-authorised routes at the border with the Democratic Republic of Congo (DRC), official sources said on Wednesday in Kigali.

The mayor of the district of Rubavu in the north-west, Cheick Hassan Bahame, confirmed that his country was preparing to expel those refugees, some of who live in shelters in the village located near the Congolese border.

"Half of them didn’t want to be handed over to the UN High Commissioner for Refugees (UNHCR) in the camps ... Most of them insisted on returning home," said the Rwandan official.

He said that Rwanda waned to make sure that the return was done on strictly voluntary basis.

“But most (Congolese) refugees have broken the law by (deciding) to return home without the approval of the local administrative authorities,” said Bahame, adding that people to be expelled would be handed over to UNHCR officials for repatriation.

Rwanda hosts some 20,000 Congolese refugees most of who are accommodated in camps spread over its territory, including Kigeme (south), Nyabiheke (north-east), Kiziba (west), Gihembe (north) and Nkamira (north-west).
-0- PANA TWA/TBM/IBA/MSA/MA 31July2013
31 july 2013 22:32:32

Kitaturu, Nguruvi3, meningitis, Bukyanagandi,

..hata Uganda nao wameelemewa na mzigo wa wakimbizi.

Uganda expels Rwandan refugees

Reuters

GENEVA. Uganda forcibly returned 1 700 Rwandans seeking shelter in the East African country this week, breaking international norms covering the treatment of refugees, the United Nations refugees agency said yesterday.

UNHCR deplores Wednesday's operation and had unsuccessfully called on Uganda to halt it, spokeswoman Melissa Fleming said.

"UNHCR was very broadly aware of an agreement between the two governments to return asylum seekers who had failed to be recognised as refugees," she told a briefing.

"However, we were not informed of the timing and the specific brutal nature of this operation. "In fact UNHCR staff who were present in the settlements were asked to leave prior to the operation," she said.

UNHCR said refugees or asylum seekers whose applications have not been dealt with should only be returned voluntarily and in conditions of safety and dignity.

It called on Kampala not to carry out any further operations breaking national and international refugee law.

In one centre asylum-seekers were assembled on the pretext that they were to be informed of the results of their claims.

Panic broke out when police intervened, shots were fired and people were forced on to trucks and driven across the border in the middle of the night, she said.

In another location, people were called to a World Food Programme centre on the pretext of a distribution, then surrounded by police and armed men.

Those who did not escape were forced onto trucks and many could not take personal belongings.

Two men who jumped off trucks en route to Rwanda died, many children were separated from their parents, several people not deported were injured, including six pregnant women, she said. - Reuters.

Last edited by a moderator:
Kitaturu, murutongore, Jasusi, Ritz, Koba, Nguruvi3, meningitis,

..soma hii article hapa chini.

..as recent as July 31, 2013, Rwanda imefukuza wakimbizi toka Congo.

..sasa leo Rwanda wako kila mahali kutuchafua wa-Tz kwa kurudisha nyumbani wahamiaji haramu.

..wahamiaji haramu ni mzigo mkubwa sana kwa serikali yetu ambayo ni masikini. kwanini watu hawa hawabaki Rwanda ambako kuna hali nzuri ya kimaisha kuliko Tanzania??

..2003 wako wahamiaji toka Rwanda waliingia Tanzania. Serikali ilipojaribu kuwaandikisha kama wakimbizi wakakataa na kukimbilia Uganda.

..Let be honest jamani, hawa watu wanaingia nchini wakijua kabisa kwamba wana-violate sheria za uhamiaji za Tanzania.

Rwanda to expel 320 Congolese refugees

Kigali, Rwanda (PANA) – The Rwandan authorities will from next week expel 320 Congolese refugees in the Busasamana camp in the north-west of the country for attempting to return home recently by passing through non-authorised routes at the border with the Democratic Republic of Congo (DRC), official sources said on Wednesday in Kigali.

The mayor of the district of Rubavu in the north-west, Cheick Hassan Bahame, confirmed that his country was preparing to expel those refugees, some of who live in shelters in the village located near the Congolese border.

"Half of them didn’t want to be handed over to the UN High Commissioner for Refugees (UNHCR) in the camps ... Most of them insisted on returning home," said the Rwandan official.

He said that Rwanda waned to make sure that the return was done on strictly voluntary basis.

“But most (Congolese) refugees have broken the law by (deciding) to return home without the approval of the local administrative authorities,” said Bahame, adding that people to be expelled would be handed over to UNHCR officials for repatriation.

Rwanda hosts some 20,000 Congolese refugees most of who are accommodated in camps spread over its territory, including Kigeme (south), Nyabiheke (north-east), Kiziba (west), Gihembe (north) and Nkamira (north-west).
-0- PANA TWA/TBM/IBA/MSA/MA 31July2013
31 july 2013 22:32:32

umeisoma hii article mpaka mwisho na kuielewa?
Unadhani na sisi tulitakiwa kufanya kama walivyofanya Rwanda au la?
Tumejichafua wenyewe kwa kufanya mambo kwa visasi.
 
Kitaturu, Nguruvi3, meningitis, Bukyanagandi,

..hata Uganda nao wameelemewa na mzigo wa wakimbizi.

Uganda expels Rwandan refugees

Reuters

GENEVA. Uganda forcibly returned 1 700 Rwandans seeking shelter in the East African country this week, breaking international norms covering the treatment of refugees, the United Nations refugees agency said yesterday.

UNHCR deplores Wednesday’s operation and had unsuccessfully called on Uganda to halt it, spokeswoman Melissa Fleming said.

"UNHCR was very broadly aware of an agreement between the two governments to return asylum seekers who had failed to be recognised as refugees," she told a briefing.

"However, we were not informed of the timing and the specific brutal nature of this operation. "In fact UNHCR staff who were present in the settlements were asked to leave prior to the operation," she said.

UNHCR said refugees or asylum seekers whose applications have not been dealt with should only be returned voluntarily and in conditions of safety and dignity.

It called on Kampala not to carry out any further operations breaking national and international refugee law.

In one centre asylum-seekers were assembled on the pretext that they were to be informed of the results of their claims.

Panic broke out when police intervened, shots were fired and people were forced on to trucks and driven across the border in the middle of the night, she said.

In another location, people were called to a World Food Programme centre on the pretext of a distribution, then surrounded by police and armed men.

Those who did not escape were forced onto trucks and many could not take personal belongings.

Two men who jumped off trucks en route to Rwanda died, many children were separated from their parents, several people not deported were injured, including six pregnant women, she said. — Reuters.

kuelemewa kwa 'wakimbizi' sio sababu ya kukiuka utu wa mwanadamu.
Nashangaa sana kuona unashangilia mambo haya.
 
Last edited by a moderator:
Tuwaulize wagogo walitupokeaje wote wa Tanzania hadi kufikia kiwango hiki.... Na hao wagogo kuwa ni moja ya makabila duni nchini mwao? ? ask ze history?
 
umeisoma hii article mpaka mwisho na kuielewa?
Unadhani na sisi tulitakiwa kufanya kama walivyofanya Rwanda au la?
Tumejichafua wenyewe kwa kufanya mambo kwa visasi.
meningitis,

..kwanza uelewe kwamba tumeelemewa kwa mzigo wa wakimbizi na wahamiaji haramu toka Uganda, Rwanda,Congo, na Burundi.

..yes, nimeisoma hiyo article na naamini nimeielewa. kwanza kuna tofauti kati ya wahamiaji haramu toka Rwanda walioko Tanzania, na hao wakimbizi wa Congo waliokuwa Rwanda.

..Tanzania, Rwanda, na UNHCR, tulishaelewana kuhusu suala la wakimbizi. Kwa kifupi ni kwamba sasa hivi hali imeshatengemaa nchini Rwanda na hivyo hakuna sababu ya Mnyarwanda yeyote kuwa na refugee status in Tanzania. Kwa msingi huo basi Mnyarwanda yeyote yule anayeingia Tanzania sasa hivi anaingia kama mhamiaji. Sasa tujiulize kama wamefuata sheria za uhamiaji.

..Mwisho, serikali imewapa NOTICE ya siku 14 wahamiaji wote waweke masuala yao sawa, au warudi toka walikotokea. Pia siyo kweli kwamba walioamriwa kurudi ni Wanyarwanda peke yao, hata Waganda nao wanarudi kwao.
 
kuelemewa kwa 'wakimbizi' sio sababu ya kukiuka utu wa mwanadamu.
Nashangaa sana kuona unashangilia mambo haya.
meningitis,

..hakuna sababu ya Mnyarwanda kuwa mkimbizi Tanzania.

..hiyo ni kwa mujibu[cessation clause] wa serikali ya Rwanda.

..cessation clause maana yake ni kwamba Mnyarwanda akiingia Tanzania hana haki ya kupewa msaada na UNHCR.

..sasa labda ungetueleza serikali ya Tanzania ilipaswa kulishughulikia vipi suala hili? kumbuka kwamba suala hili tunahangaika nalo tangu wakati wa Raisi Mkapa.

..serikali ilitoa NOTICE ya siku 14 kwa wahamiaji haramu waweke mambo sawa, au warudi kwao.
 
Back
Top Bottom