Salaam, Shalom!!
Wote tunajua masaibu yaliyomkuta TUNDU Lissu, Hadi tunavyoongea risasi Moja haijatolewa mwilini mwake.
Hakuna askari Nchi hii asiyemjua TUNDU Lissu na Hali yake kiafya na ulemavu aliosababishiwa, mliowatuma askari kumburuta TUNDU Lissu mtetezi wa Haki za wananchi mnalenga kujenga taswira Gani katika JAMII?
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
Swali: Niambieni nini Kiko nyuma ya unyama huu dhidi ya Tundu Lissu?
Kwani ni LAZIMA kutonesha majeraha yaliyoanza kupona?
Tanzania Nchi yangu 🇹🇿, umebarikiwa sana na Mungu. Atajibu tena.
Karibuni 🙏