GWAMAKA USWEGE
JF-Expert Member
- Feb 23, 2023
- 1,398
- 5,198
It's only when Judas betrayed Christ, that the Pharisees were emboldened to crucify him.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuki niliyonayo na askari wa nchi hii ipo siku mtanisoma magazetini na mitandao ya kijamii..ujinga huwa sipendiSalaam, Shalom!!
Wote tunajua masaibu yaliyomkuta TUNDU Lissu, Hadi tunavyoongea risasi Moja haijatolewa mwilini mwake.
Hakuna askari Nchi hii asiyemjua TUNDU Lissu na Hali yake kiafya na ulemavu aliosababishiwa, mliowatuma askari kumburuta TUNDU Lissu mtetezi wa Haki za wananchi mnalenga kujenga taswira Gani katika JAMII?
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
Swali: Niambieni nini Kiko nyuma ya unyama huu dhidi ya Tundu Lissu?
Kwani ni LAZIMA kutonesha majeraha yaliyoanza kupona?
Tanzania Nchi yangu 🇹🇿, umebarikiwa sana na Mungu. Atajibu tena.
Karibuni 🙏
Huyu mama sijui kapatwa na nini!..Mama anataka fomu moja sio ktk Ccm tu, bali ktk nchi nzima.
..Kwa hiyo hata wapinzani hawatakiwi kuonyesha nia ya kugombea Uraisi.
..Msigwa amejiriwa kuhakikisha anamshambulia na kumchafua Mbowe ili amkatishe tamaa kugombea Uraisi.
..Lissu naye ikiwezekana atiwe ulemavu mkubwa zaidi, au afungwe, ili asiweze kugombea.
..Mama Abduli anataka kupita bila kupingwa 2025.
Sheria ipi nchini inazuia maandamano na HAKI ya kukusanyika Kwa shughuli za kisiasa?Wewe kumbe Div 0 kabisa
Kuwa mlemavu au kuwa na tatizo la kiafya sio sababu ya kuvunja sheria, hata hilo hujui?
Tena aliye mlemavu au mwenye tatizo la kiafya, huwezi mkuta anaandamana au kuchochea maandamano barabarani na yeye yuko, huyo sio mlemavu au mwenye tatizo la afya..!!
Polisi wakikukuta barabarani au kwenye maandamano waliokataza na wametoa amri mtu asiwepo katika maandamano alafu wewe ukikutwa unaanza kujitetea jamani mimi na tatizo la kiafya au mimi ni mlemavu wala hawana muda wa kukusikiliza ni kupigwa Tanganyila jeki mpaka ulie sana, sbb mlemavu au ukiwa mgonjwa unafanya nini kwenye maandamano? Hakuna mtu kujificha eti mimi mlemavu msiniburuze au kunipiga Tanganyika jeki, unapigwa tena kwa speed hadi ujue kumbe hawa polisi hawana utani na mtu ukivunja sheria au ukikataa kutii sheria bila shuruti
Lisu aanze kwa kujihurumia yeye mwenyewe kwanza kwa kuepuka kuwa kwenye mikusanyiko kama hiyo inayoashiria kutokea kwa vurugu. Angekuwa mtu mwenye akili timamu angeshang'amua hilo kitambo sana. Kuwa mlemavu haiwezi kuwa excuse ya kushiriki kwenye kwenye mikusanyiko ya uvunjifu wa sheria na kutaga kuvuruga amani kwenye jamii. Vinginevyo polisi watafanya kazi yao bila kujali kuwa wewe ni kilema au la!Wote tunajua masaibu yaliyomkuta TUNDU Lissu, Hadi tunavyoongea risasi Moja haijatolewa mwilini mwake.
Hakuna askari Nchi hii asiyemjua TUNDU Lissu na Hali yake kiafya na ulemavu aliosababishiwa, mliowatuma askari kumburuta TUNDU Lissu mtetezi wa Haki za wananchi mnalenga kujenga taswira Gani katika JAMII?
Mbaya zaidi ukikaa ukatulia utajua kuwa hao askari hawatoki nje ya Nchi,Chuki niliyonayo na askari wa nchi hii ipo siku mtanisoma magazetini na mitandao ya kijamii..ujinga huwa sipendi
Sheria ipi nchini inazuia maandamano na HAKI ya kukusanyika Kwa shughuli za kisiasa?
Nchi hii tusipouana kamwe hatutaheshimiana.Mbaya zaidi ukikaa ukatulia utajua kuwa hao askari hawatoki nje ya Nchi,
Ni ndugu zetu na watoto wetu wanaoingia huko kutafuta kujikimu kimaisha.
Tufuate Sheria na Katiba ya nchi, tuheshimiane, vita ya wenyewe Kwa wenyewe Si njema.
kule tarime walimchaniaga nguo, hawa jamaa mh,Salaam, Shalom!!
Wote tunajua masaibu yaliyomkuta TUNDU Lissu, Hadi tunavyoongea risasi Moja haijatolewa mwilini mwake.
Hakuna askari Nchi hii asiyemjua TUNDU Lissu na Hali yake kiafya na ulemavu aliosababishiwa, mliowatuma askari kumburuta TUNDU Lissu mtetezi wa Haki za wananchi mnalenga kujenga taswira Gani katika JAMII?
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
Swali: Niambieni nini Kiko nyuma ya unyama huu dhidi ya Tundu Lissu?
Kwani ni LAZIMA kutonesha majeraha yaliyoanza kupona?
Tanzania Nchi yangu 🇹🇿, umebarikiwa sana na Mungu. Atajibu tena.
Karibuni 🙏
labda mandojo, sasa unataka kuua nani?Nchi hii tusipouana kamwe hatutaheshimiana.
Niko serious sana katika hili na sitarudi nyuma katika hili.
Kuna mahali askari walishalijua hili kuwa sitanii.
Last week kidogo niwavunje wawili
wamekuwaje tena siwamewaachia, sasa sugu hawezi kujaza watu hata stand hadi msaada wa costa kutoka ilalaChuki niliyonayo na askari wa nchi hii ipo siku mtanisoma magazetini na mitandao ya kijamii..ujinga huwa sipendi
Kwani kavunja Sheria? Mbona hajapelekwa mahakamani?Wewe kumbe Div 0 kabisa
Kuwa mlemavu au kuwa na tatizo la kiafya sio sababu ya kuvunja sheria, hata hilo hujui?
Tena aliye mlemavu au mwenye tatizo la kiafya, huwezi mkuta anaandamana au kuchochea maandamano barabarani na yeye yuko, huyo sio mlemavu au mwenye tatizo la afya..!!
Polisi wakikukuta barabarani au kwenye maandamano waliokataza na wametoa amri mtu asiwepo katika maandamano alafu wewe ukikutwa unaanza kujitetea jamani mimi na tatizo la kiafya au mimi ni mlemavu wala hawana muda wa kukusikiliza ni kupigwa Tanganyila jeki mpaka ulie sana, sbb mlemavu au ukiwa mgonjwa unafanya nini kwenye maandamano? Hakuna mtu kujificha eti mimi mlemavu msiniburuze au kunipiga Tanganyika jeki, unapigwa tena kwa speed hadi ujue kumbe hawa polisi hawana utani na mtu ukivunja sheria au ukikataa kutii sheria bila shuruti
Ni mamluk toka zanzbar.hawana uchungu na watanganyika ndyo mana awadh alimpiga sugu bila hurumaMbaya zaidi ukikaa ukatulia utajua kuwa hao askari hawatoki nje ya Nchi,
Ni ndugu zetu na watoto wetu wanaoingia huko kutafuta kujikimu kimaisha.
Tufuate Sheria na Katiba ya nchi, tuheshimiane, vita ya wenyewe Kwa wenyewe Si njema.
Nakumbuka, alikuwa akitetea wananchi dhidi ya waporaji wa Dhahabu yetu Toka nje.kule tarime walimchaniaga nguo, hawa jamaa mh,
UMOJA unahitajika,Yaani kwenye dini tunapigwa, kwenye Siasa nako ni vipigo kwa kwenda mbele, Afrika nani ameturoga jamani?
Tundu Lissu ni nani asiburuzwe!Salaam, Shalom!!