Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Hata mimi nimejiuliza, kumburuta ndio kufanya nini?Kumburuta?
Hebu tuwekeeni picha wakimburuta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nimejiuliza, kumburuta ndio kufanya nini?Kumburuta?
Mbowe ndiye mhusikaKama "tuliyohadithiwa" yalifanyika kweli basi si kitendo chema, kwa mtu kama TAL ambaye serikali hii hii imemtia kilema cha kudumu.
mtu ambaye familia yake inatunzwa na wazungu ubelgiji anakuteteaje? hebu aonyeshe hata dawati moja alilowanunua wana ikungi? ukitaka kuiondoa africa kwenye umasikini utapigwa vita kila kona ya dunia, wazungu hawaamini kama africa inaweza kuwa na treni ya umeme. Fitina lazima zitengenezwe na lazima tusimame imara kuchunga nchi yetu.Nakumbuka, alikuwa akitetea wananchi dhidi ya waporaji wa Dhahabu yetu Toka nje.
Ikiwa anajua kabisa kuwa ni mlemavu, basi asitumie udhaifu huo kuvuruga amani.Salaam, Shalom!!
Wote tunajua masaibu yaliyomkuta TUNDU Lissu, Hadi tunavyoongea risasi Moja haijatolewa mwilini mwake.
Hakuna askari Nchi hii asiyemjua TUNDU Lissu na Hali yake kiafya na ulemavu aliosababishiwa, mliowatuma askari kumburuta TUNDU Lissu mtetezi wa Haki za wananchi mnalenga kujenga taswira Gani katika JAMII?
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
Swali: Niambieni nini Kiko nyuma ya unyama huu dhidi ya Tundu Lissu?
Kwani ni LAZIMA kutonesha majeraha yaliyoanza kupona?
Tanzania Nchi yangu 🇹🇿, umebarikiwa sana na Mungu. Atajibu tena.
Karibuni 🙏
Kuna sheria ya kukataza maandamano ya amani nchini kwenu.?Wewe kumbe Div 0 kabisa
Kuwa mlemavu au kuwa na tatizo la kiafya sio sababu ya kuvunja sheria, hata hilo hujui?
Tena aliye mlemavu au mwenye tatizo la kiafya, huwezi mkuta anaandamana au kuchochea maandamano barabarani na yeye yuko, huyo sio mlemavu au mwenye tatizo la afya..!!
Polisi wakikukuta barabarani au kwenye maandamano waliokataza na wametoa amri mtu asiwepo katika maandamano alafu wewe ukikutwa unaanza kujitetea jamani mimi na tatizo la kiafya au mimi ni mlemavu wala hawana muda wa kukusikiliza ni kupigwa Tanganyila jeki mpaka ulie sana, sbb mlemavu au ukiwa mgonjwa unafanya nini kwenye maandamano? Hakuna mtu kujificha eti mimi mlemavu msiniburuze au kunipiga Tanganyika jeki, unapigwa tena kwa speed hadi ujue kumbe hawa polisi hawana utani na mtu ukivunja sheria au ukikataa kutii sheria bila shuruti
Nadhani tatizo wanalo Watu wa CHADEMA wenyewe, masaibu kama hayo yaliyowakumba ni mchezo ambao wapinzani wamekuwa wakifanyiwa miaka yote kabisa tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania.Je, kwa nini wamekuwa hawachukui hatua kali ili kukomesha hali Kama hiyo isijitikeze Tena????? Why??Salaam, Shalom!!
Wote tunajua masaibu yaliyomkuta TUNDU Lissu, Hadi tunavyoongea risasi Moja haijatolewa mwilini mwake.
Hakuna askari Nchi hii asiyemjua TUNDU Lissu na Hali yake kiafya na ulemavu aliosababishiwa, mliowatuma askari kumburuta TUNDU Lissu mtetezi wa Haki za wananchi mnalenga kujenga taswira Gani katika JAMII?
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
Swali: Niambieni nini Kiko nyuma ya unyama huu dhidi ya Tundu Lissu?
Kwani ni LAZIMA kutonesha majeraha yaliyoanza kupona?
Tanzania Nchi yangu 🇹🇿, umebarikiwa sana na Mungu. Atajibu tena.
Karibuni 🙏
Siasa za mabavu ziliahashindikana Nchi hii.Kilema sasa atulie na ukilema wake. Akichezea amani na utulivu wa TAIFA lazima aburutwe. TAIFA ni kubwa kuliko utundulisu wake.