Pre GE2025 Swali: Ujasiri wa kumburuta Tundu Lissu mnautoa wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
It's only when Judas betrayed Christ, that the Pharisees were emboldened to crucify him.​
 
Chuki niliyonayo na askari wa nchi hii ipo siku mtanisoma magazetini na mitandao ya kijamii..ujinga huwa sipendi
 
Huyu mama sijui kapatwa na nini!

Nadhani naye anatamani sana kuuona ule mkono unaoandika ukutani kama mtangulizi wake.

Asisahau tu kwa Afrika hii nchi ni special, wananchi wamelala ila vimbwanga vikizidi Mungu anabalansi mizani
 
Sheria ipi nchini inazuia maandamano na HAKI ya kukusanyika Kwa shughuli za kisiasa?
 
Lisu aanze kwa kujihurumia yeye mwenyewe kwanza kwa kuepuka kuwa kwenye mikusanyiko kama hiyo inayoashiria kutokea kwa vurugu. Angekuwa mtu mwenye akili timamu angeshang'amua hilo kitambo sana. Kuwa mlemavu haiwezi kuwa excuse ya kushiriki kwenye kwenye mikusanyiko ya uvunjifu wa sheria na kutaga kuvuruga amani kwenye jamii. Vinginevyo polisi watafanya kazi yao bila kujali kuwa wewe ni kilema au la!
 
Chuki niliyonayo na askari wa nchi hii ipo siku mtanisoma magazetini na mitandao ya kijamii..ujinga huwa sipendi
Mbaya zaidi ukikaa ukatulia utajua kuwa hao askari hawatoki nje ya Nchi,

Ni ndugu zetu na watoto wetu wanaoingia huko kutafuta kujikimu kimaisha.

Tufuate Sheria na Katiba ya nchi, tuheshimiane, vita ya wenyewe Kwa wenyewe Si njema.
 
Sheria ipi nchini inazuia maandamano na HAKI ya kukusanyika Kwa shughuli za kisiasa?

Kaulize Polisi, ukifika waambie nimekuja, sheria ipi inazuia kuandamana, ukikosa nenda kaandamane, alafu uje JF useme nini kiliendelea, hakuna nchi kila mtu atajifanyia mambo yake tu, TII SHERIA BILA SHURUTI, la sivyo, SHURUTI ITATUMIKA KWA NGUVU ILI UTII SHERIA
 
Mbaya zaidi ukikaa ukatulia utajua kuwa hao askari hawatoki nje ya Nchi,

Ni ndugu zetu na watoto wetu wanaoingia huko kutafuta kujikimu kimaisha.

Tufuate Sheria na Katiba ya nchi, tuheshimiane, vita ya wenyewe Kwa wenyewe Si njema.
Nchi hii tusipouana kamwe hatutaheshimiana.
Niko serious sana katika hili na sitarudi nyuma katika hili.
Kuna mahali askari walishalijua hili kuwa sitanii.

Last week kidogo niwavunje wawili
 
kule tarime walimchaniaga nguo, hawa jamaa mh,
 
Nchi hii tusipouana kamwe hatutaheshimiana.
Niko serious sana katika hili na sitarudi nyuma katika hili.
Kuna mahali askari walishalijua hili kuwa sitanii.

Last week kidogo niwavunje wawili
labda mandojo, sasa unataka kuua nani?
 
Chuki niliyonayo na askari wa nchi hii ipo siku mtanisoma magazetini na mitandao ya kijamii..ujinga huwa sipendi
wamekuwaje tena siwamewaachia, sasa sugu hawezi kujaza watu hata stand hadi msaada wa costa kutoka ilala
 
Yaani kwenye dini tunapigwa, kwenye Siasa nako ni vipigo kwa kwenda mbele, Afrika nani ameturoga jamani?
 
Kwani kavunja Sheria? Mbona hajapelekwa mahakamani?
 
Mbaya zaidi ukikaa ukatulia utajua kuwa hao askari hawatoki nje ya Nchi,

Ni ndugu zetu na watoto wetu wanaoingia huko kutafuta kujikimu kimaisha.

Tufuate Sheria na Katiba ya nchi, tuheshimiane, vita ya wenyewe Kwa wenyewe Si njema.
Ni mamluk toka zanzbar.hawana uchungu na watanganyika ndyo mana awadh alimpiga sugu bila huruma
 
Yaani kwenye dini tunapigwa, kwenye Siasa nako ni vipigo kwa kwenda mbele, Afrika nani ameturoga jamani?
UMOJA unahitajika,

Kundi linalotuhujumu ni dogo sana kama tone la maji ndani ya bahari. Tushikanane.
 
Tundu Lissu ni nani asiburuzwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…