SWALI: Wapenzi (X) ulioachana nao wanajaa kwenye gari gani?

Wangu sijui kama nitawakuta, maana unaleta mmoja unamuingiza kwenye noah, unafuata mwingine, ukirudi unakuta yule wa mwanzo kachukuliwa maana ni x wa mtu mwingine pia. Ah boda tu itatosha kumbeba mmoja nitakaye mpata wa kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka mpaka machozi yametiririka
 
Tatizo nyie mtu akijisema umalaya ndio mnaona yuko real, kusema nywele ameagiza mara amenunua hapahapa ndio kuwa real?
Gift anakuaga na uchizi. Anasemaga ye anaongeaga watu wanachotaka kukisikia hata kama ni uongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo nyie mtu akijisema umalaya ndio mnaona yuko real, kusema nywele ameagiza mara amenunua hapahapa ndio kuwa real?
Sizungumzii suala la kuvaa nazungumzia suala la mapenzi na kuongea mambo aliyopitia hajui kuficha ukweli hasa kama mambo ya mapenzii kapitia wapi na kafanya nn ndo amejipangia labda utakuwa umeelewa tofaut na ninachomaanisha
 
Kuna mmoja yuko njiani kwa ajili ya skukuu akifika ndio nitatoa idadi ya usafiri utakao hitajika.......
 
Kuna mmoja yuko njiani kwa ajili ya skukuu akifika ndio nitatoa idadi ya usafiri utakao hitajika.......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uzinzi mpaka kwenye sikukuuu
 
Hivi mtu wa one night stand
Unamkumbukaje!?
Hahahahha mwingine umedumu naye miez hata 6 tu unamsahau hao wa night stand[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna familia nimekula mama na watoto wake wawili bila wao kujijua hpo tayari nimejaza boda boda niishie hpo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…