Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Kaachiwa uchawi anapaa tu utashangaa kesho yupo shinyangaWifi umekua upepo ama kitu gani??
Juzi ulikua Dar Jana Mapinga sijui Mafinga leo tena Tegeta
Ila mara nyingi anasema kweliGift anakuaga na uchizi. Anasemaga ye anaongeaga watu wanachotaka kukisikia hata kama ni uongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ShangaaaHivi mtu wa one night stand
Unamkumbukaje!?
Tena kuna watu watajaza treni tatu au tanotreni la mwakyembe
Sasa mbona unaanza kunitisha mkuuHeheheheh! Siyo kazi ndogo kuchagua maembe yote mazima. Unaweza kutaka uwe kama mimi ila ukapata maembe yenye wadudu.
We jamaa[emoji848] [emoji848] [emoji848] Hapana ila kuna watakaobaki nitawaweka kwenye mabasi manne ya Dar Lux
DahUkichelewa mezani, utakachokuta kitakuwa kishakuwa kiporo..
Dah kaka , uwe unankumbuka mdg wakoUkichelewa mezani, utakachokuta kitakuwa kishakuwa kiporo..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dah
Mkuu wangu kitambo sana
Au mi ndo nmebadilisha jukwaa
Maana siku hizi nmekodi chumba jukwaa la kule chini [emoji2]
Hata mm mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kodi yake ikoje mkuu na mimi nijichekeche hapa kabla mwaka haujaisha maana mipango mipya sitaki kuivuruga.
nipo mkuu ubusy wa kusaka tonge ndio umekuwa kikwazo kujumuika na wanazengo humu
Bonyeza reli mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kodi yake ikoje mkuu na mimi nijichekeche hapa kabla mwaka haujaisha maana mipango mipya sitaki kuivuruga.
nipo mkuu ubusy wa kusaka tonge ndio umekuwa kikwazo kujumuika na wanazengo humu
Staafu kusoma mkuu utazeeka bureHata mm mkuu
Daah likizo ndo inaisha leo saa 12
Saa 2 tuna lecture
Ngoja nivute subira kidogoBonyeza reli mkuu
[emoji28][emoji28][emoji28]Staafu kusoma mkuu utazeeka bure
Sawa mkuu ngoja nikutengenezee travelling medicines ili ukianza hizo route usipate shida kabisa[emoji28][emoji28][emoji28]
Bado kipind kifupi mkuu
Tuanze tu kupokea invitations kutoka india , sweeden , finland , usa , tz na kwingineko
Itakua ni bata sana
asante mkuuSawa mkuu ngoja nikutengenezee travelling medicines ili ukianza hizo route usipate shida kabisa
asante mkuu
Haya mateso ni ya muda tu ...