Sweden waislamu ni laki mbili tu lakini wamejaa magerezani

Idadi ya wananchi Sweden ni million 11. Waislamu ni 220,000 tu lakini ndio wengi jela na magerezani kwa makosa ya kuua, kubaka, wizi, madawa na vurugu. Labda mfungo wa ramadhani utasaidia.

adios amigo Jagina adriz Adiosamigo

1. Bring the source
2. How does this help you ?
3. Do you know which countries are in a Top list of high criminal rate ?
 
Safi sana bwashee , mwanaume unapaswa kupitia mambo mengi , mimi mwenyewe huwa nataka kushusha uzi wangu ila nafuta nikihisi watadai chai🀣🀣
 
1. Bring the source
2. How does this help you ?
3. Do you know which countries are in a Top list of high criminal rate ?
Ni kweli Sweden inaharibiwa na waislamu vyanzo ni vingi google kidogo tu uone.

Shida ni kwamba wanasiasa wa mlengo wa kushoto wanaalika wahamiaji wengi bila kujali vigezo ili wapate wapiga kura wakutosha.

Mwishowe wanaalika waislamu wenye misimamo mikali ambao wanapinga mifumo ya huko. Pia wengi ni masikini hawafanyi kazi, hawana ujuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…