Usicheke. Hapa nilipo nimevurugwa
Lissu na Zitto ndo wametuchongea Sweden. Wasaliti hawa wanastahili kuuawaCCM watumie akili kufikiri na kufanya maamuzi sahihi 2020 uchaguzi mgombea wao, watangulize maslahi na ustawi wa taifa mbele kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Endeleeni tu kujiweka uchi na akili zenu zilivyo na matope. Wenzenu saivi wanaendelea kusoma comments zenu humu ili kukusanya ushahidi.Lissu na Zitto ndo wametuchongea Sweden. Wasaliti hawa wanastahili kuuawa
Hatutaki misaada yao sasa, Tanzania nchi tajiri sana iliyobarikiwa kila kitu. Tutachimba dhahabu zetu na kuziuza, tutalima maeneo yako mengi sana hawa mabeberu watuache kabisa. Hizi ni figisu za mabeberu baada ya kuona Jemedari wetu Dr JPM amewabana kwenye mianya yao ya unyonyaji sasa wanatapatapa.. Go Go President Dr Magufuli.
Itakuwa hiyo hiyo wanammung'unya koni zake na gololi yey anagugumia kwa utamuLAS VEGAS ??
Ndio wakati wa ndege, sgr na makorokoro mengine kuleta faida.[emoji1782]Nchi haiwezi kujengwa kwa misaada
Kama unataka kujua ukweli jawabu ni ndio zilizobaki mi porojo za wanasiasaHivi kwani serikali ya sasa inategemea wafadhili?
[emoji3]
Nimepanga kutotukana mwezi huu.
Ila kama unataka tuache mjadala wa hoja na kuanza kutukanana, naweza pia.
Kwani tigo kuliwa mpaka uwe sehemu fulani?
Ukiwa Dar huwezi kuliwa tigo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamshauri Magufuli aache ubabe,hauna tija kwetu Watanzania wala kwa yeyote.Hilo sio Jambo la kushadidia km tunavyofanya ndg zangu watanzania. Kupunguza misaada kwa nchi yetu km Taifa waathirika Ni sisi watu wa chini lbdavkm anayeshabikia Ni tabaka la juu. Ni ushauri tu
Sent using Jamii Forums mobile app