white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,618
- 13,896
Empty set kazini!!!hao mabeberu wakikuamulia madini yako hutakuwa hata na sehemu ya kuyauza waulize zimbambwe na liberia!!!kwani hata kama akili zenu zimeegeshwa huwa hakuna wakati zinakuwa hata sawa kidogo?kwani hata SAA MBOVU KUNA WAKATI INAONYESHA MUDA SAHIHI!!!ila nyie yaani ,korosho tu mlihaha mala tutakula wenyewe!!yakowapi?eti kulima kilimo cha kutegemea mvua nacho ni kilimo!!!hayo maneno ya mkosaji tu!!!Hatutaki misaada yao sasa, Tanzania nchi tajiri sana iliyobarikiwa kila kitu. Tutachimba dhahabu zetu na kuziuza, tutalima maeneo yako mengi sana hawa mabeberu watuache kabisa. Hizi ni figisu za mabeberu baada ya kuona Jemedari wetu Dr JPM amewabana kwenye mianya yao ya unyonyaji sasa wanatapatapa.. Go Go President Dr Magufuli.
Tunaelekea barabara ya Zimbabwe. Yaani tunanuka kama pweza aliyeoza puani mwa ulimwengu uliostaarabika!!!Asipoondolewa huyu kichaa madarakani mapema nchi itaangamia, tuwe wakweli
Hawawezi kwa kua mwenyekiti ni Mkulu na Majeshi yote keshaweka watu Wake, hakuna zaidi yaye Mwenyewe Kujirudi na kupita njia waliyopita watangulizi WakeCCM watumie akili kufikiri na kufanya maamuzi sahihi 2020 uchaguzi mgombea wao, watangulize maslahi na ustawi wa taifa mbele kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Empty set kazini!!!hao mabeberu wakikuamulia madini yako hutakuwa hata na sehemu ya kuyauza waulize zimbambwe na liberia!!!kwani hata kama akili zenu zimeegeshwa huwa hakuna wakati zinakuwa hata sawa kidogo?kwani hata SAA MBOVU KUNA WAKATI INAONYESHA MUDA SAHIHI!!!ila nyie yaani ,korosho tu mlihaha mala tutakula wenyewe!!yakowapi?eti kulima kilimo cha kutegemea mvua nacho ni kilimo!!!hayo maneno ya mkosaji tu!!!
Mimi siungi mikono ukiukwaji wa haki za binadamu, ila naona vigumu na siafiki nchi rafiki kuwa kiranja katika nchi rafiki. Nakubali kuwa Makonda ni mkiukaji wa haki za binadamu, mdhalalishaji, na mtumia cheo chake ovyo. Mara nyingi anakurupuka na kuchukulia sheria mikononi mwake. Hatua ya Marekani kumuweka katika listi ya watu wasiotakiwa ni jukumu lao na mimi sioni ubaya yeye kupigwa marufuku. After all yeye ni nani katika TZ. Kazi yake ni siasa na ina ukomo.Sweden nao wameamua kujiridhisha pasina shaka kuwa Tanzania kuna Uminywaji wa haki za Binadamu na kupunguza misaada kwa Miaka mitano ijayo, maana yake Mpaka 2026 ambapo uwenda Magufuli akawa anatoka madarakani
Nadhani baada ya Zitto kumaliza barua kwa USA sasa hii imeandikwa na Kiranga
Source: Sverige sänker biståndet till Tanzania - Nyheter (Ekot)
Britannica
=========
Full story in English:
Sweden cuts aid to Tanzania
Published Saturday, February 1st, 2020
Sweden will reduce its assistance to Tanzania in the next five years. The government has decided this on the grounds that Tanzania has a negative development in terms of human rights and democratic space.
The aid will decrease by one quarter from SEK 800 million to SEK 600 million per year.
- We will reduce aid to Tanzania. We have been a major player in the country for many years, as a partner country, but developments in recent years have gone in the wrong direction. Shrinking democratic space, tougher grip on LGBT people and human rights, and also shrinking space for journalists, says Deputy Minister Peter Eriksson.
Ever since the 1960s, Tanzania has been one of Sweden's largest aid countries. But now the government has decided on a one-quarter reduction to SEK 600 million per year over the next five-year period.
The background is, among other things, that a dozen media companies have been shut down, inconvenient journalists and human rights activists are being imprisoned, and in local elections the regime countered opposition candidates.
Peter Eriksson visited Tanzania last year and criticized the President and the Prime Minister, among others.
- Unfortunately, I must say that it has not helped. Without us, we have made demands and the answers have not matched what we had hoped for, so that means we have to decide on a reduced effort in Tanzania, and above all, to reduce the efforts towards the state, says Peter Eriksson.
The new strategy provides support to organizations working for increased democracy, human rights and free media. In addition, the work for biodiversity and environmental assistance is being strengthenedView attachment 1344118
Assistance to Tanzania is thus reduced by one quarter. But the needs remain great and Sweden does not want to lose the knowledge and skills that exist, for example, in school education, says Peter Eriksson. But if the development goes even more wrong, aid can be stopped.
- We take strategies that are on a five-year perspective, but we can also change in the meantime. So that development would be tougher and harder and more negative then it is possible to change also during these five years, it is also important to remember. Although the intention is that Sida and other aid organizations should be able to plan their operations, says Peter Eriksson.
Tusifurahie jamani, kwa sisi watu wa chini maisha yanaenda kusimama!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini wamesema kwa miaka 5 ijayo? Waneshamjua atakayeshinda Urais?Aaahh I WISH WANGE KATA MISAADA YOTE KABISA MAANA HIYO 25% ILIYO BAKI BADO NI NYINGI GGGGGRRRRRRRRRRRRR!!!!!!! NAPATA HASIRAAAAA!!!!!!
Donner Country sasa tunataka tuwaone mkisimama kwa miguu yenu. Kutwa kutukana wakoloni wakati wakoloni walishajindokoe miaka zaidi ya 50 sasa.
Mimi wa Wa Tandale kwa tumbo.Halafu dada wewe sikusomagi kabisa na comments zako,samtaim Kama wa kijitonyama vileee?
Black butterfly
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Sweden kunapatikana vumbi la Kongo!?Balozi Slaa arudishwe nyumbani. Atakuwa amekula njama na hawa mabeberu wakate misaada. Kwa nini hakutetea nchi yetu dhidi ya beberu Sweden lisikate misaada?
Bure kabisa Balozi Slaa. Umeaibisha taifa. Badala ya kutetea taifa dhidi ya mabeberu unateleza kwenye barafu na Josephine tu
Usisahau pamoja na kuwatemea dendaHuyu kabudi sio mwanadiplomasia mzuri tutajikuta tupo jalalani alipokuwepo yeye,zaidi ya kutoa macho na kuhutubia kiingereza kwa mbwembwe nadhani haleti faida yamaana nchini!! Mbaya zaidi mteuzi mkuu naye nimtu wa vimabavu vyakitoto
Mimi wa Wa Tandale kwa tumbo.
Tupo majirani.
Binafsi neno msaada silipendi, tena nalichukia mno, sielewi kwa nini watanzania 'na waafrika tunaendekeza misaada. Hivi ni kwa nini tusiamue kujituma kila mtu afanye shughuli ya kuzalisha, wazururaji wakazalishe chini ya JKT, wafungwa wasilale mchana walale jioni ili wafanye kazi 'na kuepukana 'na ngono gerezani. Tuhakikishe kila mtu anazalisha ziada, kila mtu anawajibika.
Tunatia aibu, yaani waisraeli wako jangwani lakini wanatufundisha kilimo kwa nini? Hivi ngozi nyeusi ina nini? Kuna nchi zimetajirika kwa uvuvi, bahari tunayo lakini sisi ni masikini, madini tunayo lakini sisi masikini. Mpaka nahisi tuna baraka tusizostahili. Mungu tusaidie, nashindwa kuandika zaidi, tunaendekeza mno siasa, hivi sasa tunawaza uchaguzi badala ya kuwaza maendeleo.
Sweden nao wameamua kujiridhisha pasina shaka kuwa Tanzania kuna Uminywaji wa haki za Binadamu na kupunguza misaada kwa Miaka mitano ijayo, maana yake Mpaka 2026 ambapo uwenda Magufuli akawa anatoka madarakani